Ben 10 ni nn?

Ben 10 ni nn?

Huyu Ben 10 anaumiza sana akili ya wazazi hasa wenye boys. Pale kwangu Nina 2 boys, yaani Kila kitu chao wanataka Ben 10. Mmoja ndo hadi shule wanamwita Ben 10. Tumeshanunua sana hizo games za Ben 10 mpaka tumechoka. School bags, saa, jackets, shoes,........, usipoleta vya Ben 10 wala hujawabamba, Yaani huyo Ben 10 ni janga. Kama utaweza kumweka mwanao mbali na Ben 10 utakuwa umefanya la maana sana. Kama unataka kumwingiza kwenye huo ulimwengu basi kila la heri
 
Mtafutie ps3 ben10 imo ndani.
Pia mnunulie tshirt,bag glass,sahani,shuka ,taulo,posters pia photopoint mpeleke akapige picha na ben10.
Kubwa kuliko mtafutie saa ya ben10.
Inshort ben10 ndo habari ya mjini kwa watoto.
Kila saa kuweka reminder kwa tv ben10

natafuta mahala nami nikanunua hizi items, maana sipumui kwa maombi yanayotolewa kila siku, japo picha anazo zakutosha...
 
Soma Ben 10 na Illuminati consipirancy

Huyu Ben 10 anaumiza sana akili ya wazazi hasa wenye boys. Pale kwangu Nina 2 boys, yaani Kila kitu chao wanataka Ben 10. Mmoja ndo hadi shule wanamwita Ben 10. Tumeshanunua sana hizo games za Ben 10 mpaka tumechoka. School bags, saa, jackets, shoes,........, usipoleta vya Ben 10 wala hujawabamba, Yaani huyo Ben 10 ni janga. Kama utaweza kumweka mwanao mbali na Ben 10 utakuwa umefanya la maana sana. Kama unataka kumwingiza kwenye huo ulimwengu basi kila la heri
 
Ben 10 ni cartoon character kama vie samurai x, tom, jerry, coyote, Road Runner, Silvester, Tweety, Dexter, Deedy, Micky Mouse na wengineo
Mkuu unazungumzia "dexter" ile ya series?
 
aiseee hii kitu huwa nikiiona hadi natamani kukimbia maana ni soo mpunga lazima utoke.. thats why i hate going to shopping mall with my kids..

Hahaha!!! Ndo mana huwa najihami mapema kumnunulia mwanangu vitu, asije siku akanililia mbele za watu.
 
games mbona kawaida tu, hata wakubwa huwa wanacheza, ina-refresh ubongo kwa mtoto hata kwa mtu mzima, sema tu umuwekee limit ya muda gani wa kucheza na muda gani wa kufanya home work zake. ni bora umnunulie mtoto game acheze nyumbani kuliko akuage na kwenda kucheza michezo usiyoijua akaiga na tabia za ajabu.
 
Nimejitahidi kumweka mbali mwanangu na huyu Freemason bila mafanikio.
Kila nikikanyaga home dogo ananiletea remote niweke Ben10 na kama hayupo ni kilio, alikomjulia sifahamu kwa kweli ila watoto wakishamjua wanakuwa addicted.

kuna kitabu nilisoma hii ben10 ipo associated na kuzimu,na lengo lake ni kumshika mtoto akili na kuiga hizo tabia zake.
 
Nina kama miezi minne hv mtoto wangu ananisumbua kuhusu hii kitu anataka movies au something animated ananipigia story ambazo nashindwa kuziconnect naomba mnisaidie jamani ni nn hii? Is it a cartoon? Or something else? Naweza kupata wapi details zake?

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

hata mi naisikia tu sijaiona ila huku machinjioni mickey mouse ndo mpango mzima watoto hawali kisa hako kapanya japo kanafundisha sana kwa watoto hasa wanaoanza shule za awali so adictive kama facebook.
 
Mtafutie ps3 ben10 imo ndani.
Pia mnunulie tshirt,bag glass,sahani,shuka ,taulo,posters pia photopoint mpeleke akapige picha na ben10.
Kubwa kuliko mtafutie saa ya ben10.
Inshort ben10 ndo habari ya mjini kwa watoto.
Kila saa kuweka reminder kwa tv ben10

jamani amu huu sasa si mtaji wa kujengea nyumba mbagala?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom