Ben 10 ni nn?

Ben 10 ni nn?

Huyu Ben 10 anaumiza sana akili ya wazazi hasa wenye boys. Pale kwangu Nina 2 boys, yaani Kila kitu chao wanataka Ben 10. Mmoja ndo hadi shule wanamwita Ben 10. Tumeshanunua sana hizo games za Ben 10 mpaka tumechoka. School bags, saa, jackets, shoes,........, usipoleta vya Ben 10 wala hujawabamba, Yaani huyo Ben 10 ni janga. Kama utaweza kumweka mwanao mbali na Ben 10 utakuwa umefanya la maana sana. Kama unataka kumwingiza kwenye huo ulimwengu basi kila la heri
Umenishauri vizuri, lakini unawezaje kuwaweka mbali na hiyo kitu wakati tayari wameshaijua? Sio ilitakiwa uwaepushe kabla hawajaijua ?

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Watoto digital wazazi analog basi full majangaaaa
Smile mi ni mzazi sawa, lkn si wa zamani kiivyo! Ila muda tena wa kuangalia tv,au kujua what's going on in cartoon au movie industry nimekosa kabisa! Nimefanya kila njia nirudi kwenye normal life nimeshindwa! Nilikua nawatch movie sita every weekend lkn now nina movie 22 nyumbani mwezi wa pili nimeshindwa! Pressure za noti zinaninyima fursa ya kufurahia maisha sana! Lkn mwisho wa siku mi naamin ni mtoto wa mjini japo wa miaka ya tisini mwishoni na elf mbil mwanzoni

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Hahaha!!! Ndo mana huwa najihami mapema kumnunulia mwanangu vitu, asije siku akanililia mbele za watu.
mamaa,huwezi kumnunulia mtoto kila kitu! Vingine utamuharibu au ni gharama sana !

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Amu! Kama uko tayari kuna rosti na ndizi mbili pale uwanja wa sanaa oposite na san siro anytime ni pm

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

ha ha ha siriaz ujue ndizi silagi thanx labda nyama tu
Usiwasikilize hao wanaodai cjui niaje.
Mi mtoto wa sista skonga wa kwanza homework kama kawa,analala mapema.
Yeye na benkumi damdam jumamoc kwa tv humtoi anaangailia.
Kama mtoto wako kilaza kilaza hata umfanyeje.
Na kama yupo vizuri yupo vizuri t u.
Mtoto mwache ainjoi.
Wasimsingizie ben wa watu.
 
Smile mi ni mzazi sawa, lkn si wa zamani kiivyo! Ila muda tena wa kuangalia tv,au kujua what's going on in cartoon au movie industry nimekosa kabisa! Nimefanya kila njia nirudi kwenye normal life nimeshindwa! Nilikua nawatch movie sita every weekend lkn now nina movie 22 nyumbani mwezi wa pili nimeshindwa! Pressure za noti zinaninyima fursa ya kufurahia maisha sana! Lkn mwisho wa siku mi naamin ni mtoto wa mjini japo wa miaka ya tisini mwishoni na elf mbil mwanzoni

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

0714016963 wacha weeeee ndo namba yako umetuwekea tukupe data za benson?
 
Umenishauri vizuri, lakini unawezaje kuwaweka mbali na hiyo kitu wakati tayari wameshaijua? Sio ilitakiwa uwaepushe kabla hawajaijua ?

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
hapo sasa, wazazi wa siku hizi tunajidai tunataka kuwapa watoto wetu chochote wanachotaka, shida ndo inaanzia hapo.
Mimi sioni ubaya kwa hiyo cartoon, kama upo tayari kucheza huo mchezo endelea tu.... ila nina kuhakikishia utalazimika kununua kila kinachotokea kwenye huyo mdudu.....
Mimi kama nina kitu sitaki wanangu wafanye, hata kama wanakijua, huwa naongea nao kwa upendo tu. Ingawa inabidi uwe na sababu nzito haswa za kuwashawishi, huwa wanaridhika bila malalamiko.
Uamuzi ni wako, kama utatujoin, welcome to the club......
pa kuanzia tu ma-ben 10 wote wana saa, asipokuwa nayo hatakuwa ben 10, lol!
images
images
images

images

images
 
Hahaha fuata moyo wako mkuu...siye wote tumejaribu kutoa highlights tu z akuhusu Ben 10....ila kuna wengine wamekushauri animations nyingine ambazo ni nzuri kwa watoto...

Akili nashanganykiwa kapsa mleu! Nkiki! Sasa ninunue au nisinunue ?

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Malezi ni ajira tosha kwa wazazi, kuna baadhi ya wamama wanadiriki kuacha kazi na biashara ili wawalee watoto wao ila shekeli inagomba. Ni vizuri mzazi ukatafuta muda wa kushiriki vitu anavopitia mtoto wako hasa wakiwa wadogo, mfano kama mwanao anapenda mziki/kudance tafutra siku uwe home baada ya kula chakula cha mchana weka mziki anza kudance na mwanao utaona jinsi anavokuwa karibu na wewe, kama mwanao anapenda kusoma story books tafuta nafasi usome nae kisha muulizane maswali au umsaidie anapokwama like wise kwenye cartoons au movies anazoangalia.
Watu wengi humu washakujibu ben 10 ni nini ila mie ninachangamoto moja, wanangua wanpenda sana katuni ya KIRIKUU sasa wanataka niwanunulie begi, saa, taulo, shati na kaptura, sendozi na vikorokoro kibao vya KIRIKUU. Msaada tafadhali kwa anayejua vinakopatikana nimezunguka maduka karibu yote ya mjini nimekwama.
Kama ambavyo ninawaambia pipi, chokolate, biskuti na ice cream zinaozesha meno na wakiona saa ingine wanasema mama inaozesha meno eeeh basi nakuwa nimepona, njia hiyohiyo nimewatoa kwenye ben 10 maana ilikuwa inataka kuntoa roho nikawaambia hii inafanya mtoto aende kwa shetani, basi wanaogopa hadi leo hawataki sasa wamehamia kwa kirikuu, nisaidieni tafadhali..........
 
Nimejitahidi kumweka mbali mwanangu na huyu Freemason bila mafanikio.
Kila nikikanyaga home dogo ananiletea remote niweke Ben10 na kama hayupo ni kilio, alikomjulia sifahamu kwa kweli ila watoto wakishamjua wanakuwa addicted.

Mtengenezee saikolojia kuwa hilo ni shetani na kama akiliendekeza ataenda motoni. Upuuzi wa utandawazi ndio huo, kwetu kunakuwa kwao na si kinyume. Angalia jinsi uchumi unavyoflow kwenda marekani kupitia huu ujinga ujinga...
 
mtengenezee saikolojia kuwa hilo ni shetani na kama akiliendekeza ataenda motoni. Upuuzi wa utandawazi ndio huo, kwetu kunakuwa kwao na si kinyume. Angalia jinsi uchumi unavyoflow kwenda marekani kupitia huu ujinga ujinga...
wewe kweli ndio mbumba
 
Nina kama miezi minne hv mtoto wangu ananisumbua kuhusu hii kitu anataka movies au something animated ananipigia story ambazo nashindwa kuziconnect naomba mnisaidie jamani ni nn hii? Is it a cartoon? Or something else? Naweza kupata wapi details zake?

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

let me google this for you...
 
watu8 basi siku moja niko ofisini kwa elizabeth dominic , si akaniuliza swali kumbe akawa ana gugo majibu, uzuri nikamjibu exactly kama gugo, mara ghafla akasema "daaah kumbe jibu lako la kweli nimeangalia hapa" nikaona duuuuh kumbe alikuwa ananipima tu aone kama nataka kumuingiza chaka
 
Last edited by a moderator:
Hahahah....long live gugo...long live C6 pacha ake gugo

Back
Top Bottom