Bwana mdogo Vienna unapafahamu ? nauli unayo ? Una hela au kazi ya kuweza kupata visa ? kama majibu ya maswali haya ni ndio nitafute nikupeleke kwa Belinda acha kujaza nafasi hapa JF.WanaJF huyu mtu naomba contact zake tuuuuu.....najua yuko hapa kila wakati.....ana mdomu umejaa strawberry sijui, sijui nini yaani full utamu...BelindaJacob mama kama unanisikia kilio changu.....