Ni kweli mtoto hatapotea ila ni vigumu kupata huduma stahiki. Upweke uko wazi. Upendo nk. hapati.Mtoto hapotei hapo
Anaweza akawa ni mamaake kabisa huyo. Wamama hatupumui linapokuja suali la ulezi. We acha tuNi kweli mtoto hatapotea ila ni vigumu kupata huduma stahiki. Upweke uko wazi. Upendo nk. hapati.
Mama wanao waachia watoto wa kazi watoto au watu wazima waliojichokea hata kama ni ndugu zao wajifunze.
Mazingira yanaonesha huyo ni Mama yake Mzazi, na hapo ni sehemu anapofanyia kazi Mama wa Mtoto. Kitu kama Sokoni hivi.Ni kweli mtoto hatapotea ila ni vigumu kupata huduma stahiki. Upweke uko wazi. Upendo nk. hapati.
Mama wanao waachia watoto wa kazi watoto au watu wazima waliojichokea hata kama ni ndugu zao wajifunze.
sio kuchat...anaonekana kachoka sana kazi nyingiBila shaka anachat social network
beki 3 ni mfanyakazi kama wengne na c mlezi. lengo la kuja kufanyakazi ni kupata hela na c kulea!Ni kweli mtoto hatapotea ila ni vigumu kupata huduma stahiki. Upweke uko wazi. Upendo nk. hapati.
Mama wanao waachia watoto wa kazi watoto au watu wazima waliojichokea hata kama ni ndugu zao wajifunze.
kuna mdada(binti mdogo) aliongozana na mtoto analia kamasi zmetapakaa nkamuuliza kwani nin humtulizi mtoto anyamaze hata kwa kumnyonyesha, akanijbu huyu hana baba na mimi sina baba dawa yake c titi ni kumpata baba! duuu!Anaweza akawa ni mamaake kabisa huyo. Wamama hatupumui linapokuja suali la ulezi. We acha tu
Ni kweli mtoto hatapotea ila ni vigumu kupata huduma stahiki. Upweke uko wazi. Upendo nk. hapati.
Mama wanao waachia watoto wa kazi watoto au watu wazima waliojichokea hata kama ni ndugu zao wajifunze.