Beki tatu wetu

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,605
696,697
75ffdcf00273c2fce0510477db2fa4a6.jpg
 
Mtoto hapotei hapo
Ni kweli mtoto hatapotea ila ni vigumu kupata huduma stahiki. Upweke uko wazi. Upendo nk. hapati.

Mama wanao waachia watoto wa kazi watoto au watu wazima waliojichokea hata kama ni ndugu zao wajifunze.
 
Mazingira yanaonesha huyo ni Mama yake Mzazi, na hapo ni sehemu anapofanyia kazi Mama wa Mtoto. Kitu kama Sokoni hivi.

Mama wa Mtoto anaonesha amechoka, ameamua kujipumzisha na hakuna wa kumuangalia Mtoto zaidi ya yeye mwenyewe, na ndio maana akaamua kutumia mbinu hiyo.

Nchi zilizoendelea wanakuwa na mikanda mirefu anajivisha Mzazi na Mtoto wake, huku wakiwa wanatembea. Na mara nyingi sehemu zenye wingi wa watu
 
Ni kweli mtoto hatapotea ila ni vigumu kupata huduma stahiki. Upweke uko wazi. Upendo nk. hapati.

Mama wanao waachia watoto wa kazi watoto au watu wazima waliojichokea hata kama ni ndugu zao wajifunze.
beki 3 ni mfanyakazi kama wengne na c mlezi. lengo la kuja kufanyakazi ni kupata hela na c kulea!
 
Anaweza akawa ni mamaake kabisa huyo. Wamama hatupumui linapokuja suali la ulezi. We acha tu
kuna mdada(binti mdogo) aliongozana na mtoto analia kamasi zmetapakaa nkamuuliza kwani nin humtulizi mtoto anyamaze hata kwa kumnyonyesha, akanijbu huyu hana baba na mimi sina baba dawa yake c titi ni kumpata baba! duuu!
 
Ni kweli mtoto hatapotea ila ni vigumu kupata huduma stahiki. Upweke uko wazi. Upendo nk. hapati.

Mama wanao waachia watoto wa kazi watoto au watu wazima waliojichokea hata kama ni ndugu zao wajifunze.

Umemuamini mleta mada kuwa huyo ni "beki tatu" wao?

Mleta mada ni muongo wa kutupwa. Hiyo picha inaonesha huyo mama yupo daraja la watembea kwa miguu amma anaomba omba amma ana biashara zake amma kujikumbusha tu na kamfunga mwanae miguuni.

Huyo anaejiita Mshana Jr. mimi huwa nnasema mara nyingi sana, kazi yake ni kupotosha na kudanganya umma kupitia JF.

Sielewi huwa anapata faida ipi anapopotosha watu.

Hakika huyo ni shetani mpotoshaji.

Muwe makini sana na mabandiko yake.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom