Beki tatu wetu

Beki tatu wetu

Hata fikra yako bado ni nadharia,hata kama amedangaya haina madhara ya kuumiza yoyote,bali kufikirisha na kufanya muda uende

Unaemsikia anapeleka muda uende kwa uongo ujuwe maisha yake anayoishi ni uongo mtupu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti mama yuko juu ya daraja la watembea kwa miguu na blah blah nyingine kibao...sasa sijui mitungi ya gesi inangoja nini juu ya daraja
Katika maisha kuna watu huna haja ya kujibizana nao...unachokifanya ni kuwashughulisha tuu
Mi na kukubali sana mkuu uyo bibi umefanya la maana sana kumpuuza.hao sindo walewale wa kijani wachumia tumbo yupo tayari kuikana dini yake kisa kijani
 
13bca1ac29a7ce2e836a819a12fdd291.jpg

Kaka bado hujamuona wa kwetu, ni shida!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
 
Umemuamini mleta mada kuwa huyo ni "beki tatu" wao?

Mleta mada ni muongo wa kutupwa. Hiyo picha inaonesha huyo mama yupo daraja la watembea kwa miguu amma anaomba omba amma ana biashara zake amma kujikumbusha tu na kamfunga mwanae miguuni.

Huyo anaejiita Mshana Jr. mimi huwa nnasema mara nyingi sana, kazi yake ni kupotosha na kudanganya umma kupitia JF.

Sielewi huwa anapata faida ipi anapopotosha watu.

Hakika huyo ni shetani mpotoshaji.

Muwe makini sana na mabandiko yake.

looo! (bold)
 
hahaha [emoji23]

woooooooozahhhhh

bibi nakuona unatoa mkong'oto...

ngoja niicheki hii mechi.

sibanduki. [emoji23]
 
ngoja Faiza foxy aje kututhibitishia kama ni kweli uyo house girl wenu [emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23]

haha

bibi kashatoa dozi.

ila nasikia eti huenda mshana na faiza baadae wakafunga ndoa 🙄 🙄
[emoji23]
 
Umemuamini mleta mada kuwa huyo ni "beki tatu" wao?

Mleta mada ni muongo wa kutupwa. Hiyo picha inaonesha huyo mama yupo daraja la watembea kwa miguu amma anaomba omba amma ana biashara zake amma kujikumbusha tu na kamfunga mwanae miguuni.

Huyo anaejiita Mshana Jr. mimi huwa nnasema mara nyingi sana, kazi yake ni kupotosha na kudanganya umma kupitia JF.

Sielewi huwa anapata faida ipi anapopotosha watu.

Hakika huyo ni shetani mpotoshaji.

Muwe makini sana na mabandiko yake.
We k. utakua na matatizo makubwa sana kwenye medula oblangata yako'
 
bro heshima kwako!!

hivi ulimfanya nini Faiza Foxy??

she is very allergic to you.

ila nasikia eti mnaweza mkafunga nae ndoa hapo baadae 🙄 🙄 🙄
[emoji15] [emoji40] [emoji40] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom