Beki tatu wetu

Tayari ant-mshana jr ameishashusha timu yake. ...ila nafaham kuwa kazi ya Fasihi ni Kuelimisha na kuburudisha ....sasa unapomkashifu mtu na wakati yeye Kaja kuburudisha tu jukwaa unamaana gani. .??..Kila mtu anafaham kuwa siyo wa kwao huyo....nn shida kwann wewe tu. ??...
 
75ffdcf00273c2fce0510477db2fa4a6.jpg
Huyu sio beki tatu atakuwa ombaomba
 
kuna mdada(binti mdogo) aliongozana na mtoto analia kamasi zmetapakaa nkamuuliza kwani nin humtulizi mtoto anyamaze hata kwa kumnyonyesha, akanijbu huyu hana baba na mimi sina baba dawa yake c titi ni kumpata baba! duuu!
Teh
 
Tayari ant-mshana jr ameishashusha timu yake. ...ila nafaham kuwa kazi ya Fasihi ni Kuelimisha na kuburudisha ....sasa unapomkashifu mtu na wakati yeye Kaja kuburudisha tu jukwaa unamaana gani. .??..Kila mtu anafaham kuwa siyo wa kwao huyo....nn shida kwann wewe tu. ??...
kumbuka kitu kimoja wapuuzi hawajibiwi
 
Bibi angu alikuwa akiachiwa mtoto alikuwa anamfunga hivi ili mtoto asimtoroke
 
Umemuamini mleta mada kuwa huyo ni "beki tatu" wao?

Mleta mada ni muongo wa kutupwa. Hiyo picha inaonesha huyo mama yupo daraja la watembea kwa miguu amma anaomba omba amma ana biashara zake amma kujikumbusha tu na kamfunga mwanae miguuni.

Huyo anaejiita Mshana Jr. mimi huwa nnasema mara nyingi sana, kazi yake ni kupotosha na kudanganya umma kupitia JF.

Sielewi huwa anapata faida ipi anapopotosha watu.

Hakika huyo ni shetani mpotoshaji.

Muwe makini sana na mabandiko yake.
Hata fikra yako bado ni nadharia,hata kama amedangaya haina madhara ya kuumiza yoyote,bali kufikirisha na kufanya muda uende
 
Back
Top Bottom