data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,943
- 23,883
Nshaachaga huo ujinga
Kwahiyo sasa hivi wewe unapigwa tu mtaa na kuachwa...... umeamua kuwa rambo.
Nshaachaga huo ujinga
Hahaha. Habari yangu poa sana. Mzima wewe?
Nimeuliza kwa sababu nahisi sikuelewa. Ni kama amesema yeye ndio ana hizo sifa, ila naona irony tu.
Kweli hujaona???em angalia vizuriHahaha. Habari yangu poa sana. Mzima wewe?
Nimeuliza kwa sababu nahisi sikuelewa. Ni kama amesema yeye ndio ana hizo sifa, ila naona irony tu.
Umepanic brother...cool down alaf soma tena iyo thread alaf u comment..hakuna mashindano ya matusiha ha ha mkuu upo.? usiumize kichwa na huyu mpuuzi huyu ni ma-ya-ya mzoefu tu eti wife material shenzi tu huyu.
Ubarikiwe....Upo single? Mr right nipo hapa njoo pm....
Msinikuu vibaya....
Back to the topic.
Miaka ishirini na saba bado kidogo jua lizame but still una muda wa kutosha tuu kutulia na kuchanga karata zako vizuri.
Hata siku moja usiishi maisha ya maigizo ishi maisha yako ya kawaidia ili mr right akija akukute katika hali ambayo wewe upo!!! Usiigize wewe ni church girl kumbe club girl, mr right atakukuta to the right site.
Kumbukua kumuomba mungu, na pia usiwe mwepes mwepes utalia.
Sawa nimekusomakuwa natural...! iachie nature ifanye kazi..do not use external force.
Kweli hujaona???em angalia vizuri
Kwahiyo sasa hivi wewe unapigwa tu mtaa na kuachwa...... umeamua kuwa rambo.
Forgive me my lady QUEENBM for telling you this, huo ushauri unaowapa vijana wenzako sio ushauri wenye maana wala manufaa kwao. Pili kuwa wife material hakukufanyi wewe upate husband material ila kuwa na tabia za wife material kunakuweka wewe katika nafasi nzuri za kupata husband material.
Kupata au kutoapata husband material ni chaguo la mtu, unaweza ukawa wife material na ukachagua mtu ambaye si husband material na unaweza ukawa sio wife material na ukachagua mtu ambaye ni husband material. La msingi hapa ni kujua sifa za mwanaume ambaye unataka kuwa naye katika maisha yako na uvitumie vigezo hivyo katika kumtafuta huyo mwenzi wako wa maisha huku ukimtanguliza Mungu mbele.
..My conclution naona bora tu mtu uwe mcharuko ishi maisha yako achana na kujitaidi kuwa ms or mr perfect ili lolote litakalotokea mtu usiwe na chochote cha kuregreat
Inawezekana bs nimejipa sifa ambazo sina..au.labda kauli zangu hazireflect who I real amNo offense, ila yote uliyoongea humu na namna ulivyoyaongea ndio kinyume sahihi cha God fearing, educated, na classy.
Inawezekana bs nimejipa sifa ambazo sina..au.labda kauli zangu hazireflect who I real am