I hear ur argument madam. hata mm nilisha tathimini hilo ni kweli. kuna madem nawajua wana hook na waume za watu + boyfrend+ flirtionship kibao but wanaolewa. I think the trick is, ukiwa na vidumu vingi they manage ku fake kuwa loving ili usishitukiwe kwamba unae mwingine so they guy thinks u lov him soooo damn much, and he will be like hey ! bby will you marry me? n the girl will be like WHY NOT BBY!. Bingoo!
ni mtazamo tuu na sio General rule.
My conclution naona bora tu mtu uwe mcharuko ishi maisha yako achana na kujitaidi kuwa ms or mr perfect ili lolote litakalotokea mtu usiwe na chochote cha kuregreat, na hata ukipata ndoa bora alhamdullilah usipopata kukawa na vurugu mechi pia inshallah tuendelee kukomeshana huko ndoani maisha yaendelee..kweli wife material sucks!!!kuna mwenye wazo la tofauti???
i have read your thread very careful & i have discovered what problem hinders you ... "pride." no man in this planet will desire to live with such a woman even if she is beatiful like an angel, or classy as you have referred to; do you read the bible? Do you remember vashti? Do you know why the king dumped her & chose esther to be the new queen? Read the book of esther.
Hao unaowaita gold diggers (although they are not) & may be not attractive as you are, they get married because they have casted their pride aside, they are humble & obedient. This is what any man would desire his wife to have. You can try to change if you wish! Stay blessed.
nisamehe kwa ku-quote post yako....nimekosa kitufe cha "like"....kwahiyo nimechukua nzimanzima ili nikupe hiyo like live na jf yote ijuwe nimekupa like...1000 times.
Wenye sifa hizo wengi huwa wanajifanya wapo serious sana hata ukimsalimia tuuu mfyonyooo utakao pata kama umemshika kwenye nani bila ruhusa ake! Ndo maana wanaume huwa hatupendi kutongoza demu anae jifanya yupo serious Kama Anafanyia kiwanda cha sumu
pili wengi wao wasifa hizo huwa na dharau sana unaweza omba nmba ake ya simu pengine siku hio smartphone ako iphone six imeisha charge ukawa na nokia tochi unampa aandike namba anaivunja au anaidondosha kwa dharau kwamb hawezi kuandika namba kwenye nokia tochi
Hapo ndo anapo jikuta miaka inaenda na haolewi akija kushtukia ana miaka 27 mara 30 anaanza kutwerk kila mtaa wakati huo anakuta mtaa wote wanaume wameoa
Atalazimisha kwa kukaa nusu uchi sasa kama sio msomi na asitongozwe
Kikubwa dhRau haifai