bhachu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 8,357
- 9,546
Dawa ni kucommit suicide na kuwaachia linchi lao watawale wapendavyo
Mjeshi unakimbiaje uwanja wa Vita.
Dawa ni kucommit suicide na kuwaachia linchi lao watawale wapendavyo
JIWE KWENYE KODI ALIKUWA MAKINI SANAUle mwingi ulikuwa kipindi cha fungate tuu.. Sasa limeisha.. Hakika kazi iendelee.. Maa ulituingiza cha city vibaya mnooo
Dah..Mimi binafsi naungana na serikali katika kuhakikisha kila mtanzania anawajubika kulipa Kodi na kukiletea maendeleo taifa lake,hatuwezi kuwa taifa la watu wanapenda kulalamika kwa kila kitu,kikubwa tozo husika zitumike kuleta maendeleo
Elimu ya makaratasi haijamsaidia Dr...hii serikali ya awamu hii hovyo kabisa maisha yanazidi kuwa magumu kwa kila kituDr wa uchumi aliambiwa hili kuwa bei zitapanda baada ya mafuta kupanda bei kwenye soko la dunia jibu alilitoa, hata mimi mwenye degree ya uchumi ya kuunga kwa super glue nilijua jamaa hajui anachoongea.
Aisee hii nchi watu wa madegree ambayo hayana maana.
Hawajui tunaelekea wap et wanafufua uchumiElimu ya makaratasi haijamsaidia Dr...hii serikali ya awamu hii hovyo kabisa maisha yanazidi kuwa magumu kwa kila kitu
Tuliingizwa cha mirembe kiongozi...!!Ule mwingi ulikuwa kipindi cha fungate tuu.. Sasa limeisha.. Hakika kazi iendelee.. Maa ulituingiza cha city vibaya mnooo
Halafu tuhamie burundiWaongeze tu. Ingekuwa 10,000/=@ liter ingependeza zaidi na serikali ingepata mapato mengi zaidi.
Pia wao vigogo wajiongezee kasma x2.
Hapana ni jiweHahah!!
Kwani mama ndio anapanga bei za mafuta?
Mtamkumbuka nyie wasukumaMtanikumbuka JPM 3:18
Mwamba GT umefurahiii. Na mbadoooo
Mkuu naona unaupiga mwingi 😂😂😂Mtamkumbuka nyie wasukuma
Mkuu wewe una fuel card?Safi sana sana na bado! Shensi
Yapande tu tuheshimiane 😂😂Kabisa Mkuu yaendelee kupanda tu!