Bei za Mafuta zapanda kuanzia Septemba 1, 2021

1 Nyerere maisha yalikuwa magumu mno
2 Mwinyi mzee wa rukhsa, alifungulia kila ki2
3 Mkapa alikuwa ana unafuu japo co saaaana
4 Kikwete maisha yalikuwa bora
5 Magu maisha yalikuwa magumu
6 Mama samia, anaelekeya 6 months, hopu ataweka mambo sawia. 2mpe muda.

Ukitazama hapo,,,namba 2 na 4 maisha yalikuwa the best haswaa.

So Uyu mama amekuta nchi ipo kwenyi wakAti mugumu,,,,ili aiweke saWa itachukua muda mzehe.
Kusema mama amekuta nchi katika hali ngumu ni uongo wa kupindukia
 
Umeme haueleweki, maji hayaeleweki, petrol haieleweki, miamala haieleweki....etc!

Ngoja akili zitukae sawa kwanza...!
 
Wenye njaa kali wako ccm mana nlizoea vya kunyonga,wakti wa msiba wa kwandikwa nliwakuta masumbwe wamepaki magari ya ccm wamejazana wanashambulia machungwa na miwahuku wamevaa mashati yao ya kijani,vumbi mpka kwenye kope,ndio mtajua hamjui
Ndio mama anawakomesha mataga, sukuma gang na kufuta legacy
 
Dah ,nauza brevis wazee
yamekufika hapa
IMG_20210406_141901.jpg
 
Hehehe...

Tutaanza kununua bajaj sasa kama chombo cha usafiri...dadadek
 
Back
Top Bottom