Bei ya zao la mbaazi mwaka 2025

Bei ya zao la mbaazi mwaka 2025

Naona bei inazidi kuporomoka tu.
 

Attachments

  • Screenshot_20250826-195629.jpg
    Screenshot_20250826-195629.jpg
    238.6 KB · Views: 31
Hapo alichoma si chini ya 15m, mi mhanga mwenzake nililima 20 heka nikaambulia kilo 450. Nilichoma 10m.
Nilifungulia Uzi hapa ulisema shikamoo kilimo. Mods wamepita nao.
Mkuu ekari 20 ukapata kg 450? Ina maana kwa ekari hukupata hata gunia 5?
 
Mkuu ekari 20 ukapata kg 450? Ina maana kwa ekari hukupata hata gunia 5?
Unaokoteza tu hapa na pale. Kifupi hali ili kua mbaya
Kibaya zaidi ghalani bei ikaporomoka pia.
 
Mkuu hakuna mwaka ambao mbaazi iliuzwa kwa bei ya hasara kama kipindi cha dictator Magufuli hasa 2017 imagine kg 1 iliuzwa 150t

Mkuu hakuna mwaka ambao mbaazi iliuzwa kwa bei ya hasara kama kipindi cha dictator Magufuli hasa 2017 imagine kg 1 iliuzwa 150tsh
Mwaka huu ufuta tumeanguka mbaaz tumeanguka sjuw korosho tukianguka na hapo tumekufa

Ila GSM bil kumi kumbe hakutoa yeye si ndio hizi tunatoa sisi wakulima
 
Kweli sisi wakulima wanasiasa wanatuumiza sana.wanashirikiana na wafanyabiashara matapeli kuumiza wakulima.
 
Back
Top Bottom