Bei ya suti za Sheria Ngowi

Bei
Ukishakuwa na pesa ya kufanya order ya suit direct kutoka kwa Versace, unakuwa na number ya Stella Versace mwenyewe na vipimo vyako wanavyo, suit inashonwa within 24 hours kutoka ofisini kwao.
Gani?
 
Suit alizokua akivaa JK toka kwa huyo sheria Ngowi nyingi hazikufit vizuri muundo wa mwili unakuta zinalepweta baadhi ya maeneo na mabegani kuja chini makwapani ni kituko tupu...

Zile zinawafaa kama akina diamond ambao muda wote wanajiweka ki mapozi mapozi lkn kwa mtu unayejiheshimu na unayehitaji kuwa huru mbele ya watu si suti za kuvaa...

Binafsi Bongo kwenye kada ya suti sijaona bado halafu eti ndo laki sita kwenda juu ptuuu!
Una asili ya majungu na bila shaka utakuwa ukawa tu haina namna
 
Aiseee,watu mnafeli kwa swali dogo tu,jamaa ameuliza bei gani???nami nasubiri jibu nijue bei ya hizo suti,ila nachosoma hapa kwa watu wa kaliba yako ni kujibu swali usiloulizwa
Ndo shida ya wabongo,ndo maana huws tuna fail sanaaa,et bei huiwezi ndo jbu gani sasa hilo??
Humu hatujuani na vipato vyetu hamvijui vzuuri af mnasema eti cjui ni bei ghali,,
Hata ikiwa mil 3 suti tunabeba kama iko bomba sanaaaaaaa.
 
Mbona sioni tofauti yoyote kati ya hizo suti za special za bei ghali na hizi za kushona kwa mafundi wataalamu?
Naona hizo ni mbwembwe tuu hazina lolote tena ni rahis kuchanika na huvai miaka mingi
Kuna mavazi huvaliwa kwa special event tu kisha baada ya hapo unatupa kule haijalishi umenunua bei gani! Ila ni vizuri vazi kama suti ukajitahidi angalau ukawa nazo japo pea mbili tatu siku moja moja ukawa unatupia.
 
Stuart Hughes Diamond Edition $892,500
stuarthughes.jpg
 
ila kuna huyu dogo naye yupo vizur aisee, anajitahid kwa kias fulan....." Geofrey Jonathan " ingawa hajulikan Sana'a lkn kaz zk zinaelewekaaa na zipo standard.... na bei Zak ni nafuuu kuanzia lak 3 na nusu, depend na package unayoitakaa....

kamchekin Instagram @geoffrey_jonathan
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom