Bei ya suti za Sheria Ngowi

CIF ya Verosa ni kwako wewe na mimi.

Kwa mwingine mwenye hela anaona hawezi kushuka kwenye Range Rover kavaa suti ya 70,000/=

Lazima tuelewe diversity za consumers, uwezo, tastes na vipaumbele. Mwingine anaona hawezi kununua suti ya $500 lakini ana iPhone ya $1,000 mfukoni, bei ya ardhi Mkuranga! Personal priorities.
Kwani nilivyosema Cif ya Verossa nimemtaja mtu? Watu wengine bana.
 
kwa mtu alietembea duniani na mjanja huwezi kumuuzia suti laki 6 iliyoshonwa mwenge...

maana hata hicho kitambaa kimetoka china tu na asia wakijitahidi uturuki..

wakati laki sita ukiweka kwenye usd.. unaagiza suti safi kabisa kutoka milan.. na inatumwa kwa ems au dhl parcel mpaka mlangoni...

fundi wa mwenge kuuza suti laki 3 tu ni wizi mkubwa....

Okay, wewe mjanja na uliyetembea duniani huvai suti za Mwenge kwa sababu vitambaa vyake ni vya China. Hizo zako za Italy vitambaa vimetoka wapi?

Kwa sababu suti inaposema "Made in Italy" haijasema kitambaa kilitoka wapi. You should know that. Kingine, suti nyingi za maelfu ya dola unakuta zimetengenezwa India, China, Vietnam, Mexico n.k. Manufacturing labor cost ni aghali mno nchi za Magharibi kwenye ma designer, makampuni, wateja, maduka na makampuni ya nguo. Again, you should know this.

Kingine, kwa wewe uliyetembea sana na mjanja nilitegemea ujue kwamba wenzio "wajanja" hao hawanunui suti ya "kuagiza toka Milan" ambayo hawajapimwa wala kuijaribu. Inaweza isikae sawa. Hakuna one-size-fits-all formula kwenye uvaaji.
 
Unless ana pesa ya kuvaa made to order from Versace, Gucci, Armani, na wengineo lakini hizo za high street zote ni kutoka huko huko Vietnam, Thailand, Sri Lanka, na kwingineko.
 
Unless ana pesa ya kuvaa made to order from Versace, Gucci, Armani, na wengineo lakini hizo za high street zote ni kutoka huko huko Vietnam, Thailand, Sri Lanka, na kwingineko.
hata hizo made to order I don't see why zisitengenezwe huko huko Vietnam, China, Singapore, n.k.

Globalisation, which is under siege currently, imefanya manufactures watafute mahala popote penye cheapest labor, na tukirudi kwa huyu designer wa kwetu Sheria Ngowi, sielewi kwa nini suti zake ziwe mamilioni kwenye dirt-cheap labor kama Tanzania. Tuone itakuwaje siku za usoni akianza kupata stiffer competition.
 
Made to order haziwezi kutengenezwa huko kwani ni suit moja tu unashonewa kwa makubaliano yako na designer na hiyo ni pamoja na muda, unaweza kushonewe ndani ya masaa 24.

Tindikali
 
We shida yako Suti nzuri ya kukupendeza au ya kuvaa miaka mingi? Ukitaka za kuvaa miaka mingi shonesha Suti za ngozi ya mamba,ng'ombe,punda hizo zinadumu mana wenzio kina Mpoto wanashonesha hadi za magunia
Aisee, umeuaaaa wewe hujui tu
 
Made to order haziwezi kutengenezwa huko kwani ni suit moja tu unashonewa kwa makubaliano yako na designer na hiyo ni pamoja na muda, unaweza kushonewe ndani ya masaa 24.

suit moja tu unashonewa lakini hauko peke yako, bado wanahitaji ki cheap labor factory cha ku deal na made-to-order production. Tena hizo made to order za kuwatumia vipimo vyako online nadhani zinatengenezwa na automated 3D copy machine, I won't be surprised. Kwa sababu template ya designer iko pale pale, ni kubadili vipimo tu, mashine inazichapisha hizo I tell you. Na kuna combination fulani za vipimo zinaombwa more often, unakuta washazichapa hata kabla huja order. No wonder zinakuja in 24 hrs kama ulivyosema. Guangzhou bado inahusika.
 
Mi wakati naoa nilinunua suti pale Woolworths wakati huo ndo suti za maana wanauza wao baada ya wiki nikapita kariakoo nikakuta suti iliyotulia zaidi ya ile ikanilazimu kununua tena. Tena Na material ilikua imetulia zaidi ya ile ya Woolworths
 
suit moja tu unashonewa lakini hauko peke yako, bado wanahitaji ki cheap labor factory cha ku deal na made-to-order production. Tena hizo made to order za kuwatumia vipimo vyako online nadhani zinatengenezwa na automated 3D copy machine, I won't be surprised. Kwa sababu template ya designer iko pale pale, ni kubadili vipimo tu, mashine inazichapisha hizo I tell you. Na kuna combination fulani za vipimo zinaombwa more often, unakuta washazichapa hata kabla huja order. No wonder zinakuja in 24 hrs kama ulivyosema. Guangzhou bado inahusika.

Ukishakuwa na pesa ya kufanya order ya suit direct kutoka kwa Versace, unakuwa na number ya Stella Versace mwenyewe na vipimo vyako wanavyo, suit inashonwa within 24 hours kutoka ofisini kwao.
 
Njoo kariakoo utapata Suti nzuri kuanzia kwa 90,000 na kuendelea kama unachukua moja kama ni nyingi kuanzia 3 ni kuanzia 70,000 na kuendelea ni kali ukivaa hata kama ulikuwa na gundu la mavi utakuwa clean yaani better like never before
Mkuu we upo k/koo
 
ha ha ha ikija nylon inabidi uwe unavaa masika tu kwenye outdoor party
ndio hapo sasa, linakuwa koti la mvua. Kitambaa ni muhimu sana kujua kabla. Na mara nyingi polyester, nylon, wanaficha kwenye mitandao ya kuagiza.

Ukishakuwa na pesa ya kufanya order ya suit direct kutoka kwa Versace, unakuwa na number ya Stella Versace mwenyewe na vipimo vyako wanavyo, suit inashonwa within 24 hours kutoka ofisini kwao.

Stella Versace ndio nani?

Matajiri wa kununua suti za dola 3000 duniani ni wengi mno, hawawezi kuwa wanampigia simu mtu mmoja tu ku order suti, akiwa kalala hayo masaa 24 yanaanza kuhesabiwa akiamka, au? Magari custom made ya dola milioni yanatengenezwa na machinga Mexico na hawana simu za kina Daimler Benz, itakuwa nguo ya $5,000? Hakuna manufacturing industry ambayo ilikuwa impervious to globalization.

Suti za Sheria Ngowi inabidi ziwe dirt-cheap kwa sababu ya pittance labor cost za Tanzania.
 
Mwaka 2013 niliuliza nilijibiwa suit ni dola 1000 inaweza kupungua hadi dola 800 kutegemea na style, hiyo ilikuwa ya kike sijui kuhusu za kiume.
 
Mkuu bei zake huanzia 5K mpk milioni 7 huko...

Wengine ndo tunashauri kuliko kununua zile takataka kwa bei hiyo bora aagize tu ulaya kwenye suti za maana.

Hivi we jamaa una tatizo gani, Usichokipenda usikiite takataka! Toa maoni yako regarding price na quality but usiite takataka! Acha uwehu mkuu! Edgar Lungu, Majaliwa Majaliwa, mawaziri kibao na Kikwete wanavaa suti za sheria ngowi na hawaonekani wamevaa takataka! We ni puyuyu kabisa, acha hiyo tabia mkuu siyo nzuri. Kama kitu hukimudu usi attack kaa kimya!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom