Si utumie hiyo mitandao mingine?Hiki kifurushi ni jipu kwa ukulipia 500 unapewa mb 150 wakat mitandao mingine unapata mb 350 hebu jaribuni kuweka usawa hapo.
Maana Voda wamekuja na vifurushi vizuri vya University promotionIvi tigo mmejipangaje na ivi vifurushi
We bado unaendelea kutumia lain ya tigo?
Voda nao wana university promotion???Izi vodacom na Tigo, nimeanza kuzitumia kitambo tokea 2002. Kwa iyo sio rahisi kuhama hama kwa sababu ya promotions za University