Bei ya sms juu

Igabiro

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
242
27
Hivi inakuwaje makampuni ya simu kama voda,tigo na airtel bei sms ni juu kiasi hiki? yaani sms moja ni zaidi ya tsh 100/=, au nao ndio msimu wao wa kuvuna?
 
maisha bora kwa kila mtz hayo ndugu yangu................ tena sasa kwa ari zaid, nguvu zaidi na kasi zaidi................
 
hii imeanza lini?maana niliua najua bei ni 59 kwa sms. maka 60.. ngoja nami nichunguze.
 
are you sure mpwa, hebu tumeni sms fasta maana mimi nimejiunga asbh so i wont see the issue, chunguzeni fasta ili niwatafutie kibwagizo
 
he....imepanda lini....ilikuwa shs 45-59....ukituma msg nje ya Tz kwa voda nadhani ni shs 130....hawa *&^%* zantel waliniambia nikijiunga na highlife msg nje itakuwa shs 50 badala yake nakuja kugundua ni shs 97....pambaf....kweli wanatuona watz ni mazoba
 
Mimi nadhani kutwanga ni rahisi kuliko ku-sms, endapo unatwanga kwenye mtandao wa aina moja!
 
ila bado issue ya extreme sms ipo au nayo ndio ishaota miguu... Hawa watu wakiamua kukaa pamoja na kuanza kupanga bei basi tumekwisha....
 
Sasa ndio mnashtuka, na bado maana wakati mnapokea Tshirts na Kofia za njano na kijani jino werereeeeeeeeee

Mmesahau kwamba waha jamaa sasa wanaplay part II ambayo maumivu matupu maana mpaka wamalize madeni ya uchaguzi

Hadi kufikia 2015 watu watakuwa mbavu tupu na maumivu makali.

sasa ndio watu wajenge akili siyo kuka kushabikia oyee oyee wakati hujui kitafuata nini.
Ufisadi kwa kwenda mbele.
 
subili nikueleweshe uzibiti wa bei hapa tanzania haupo pia na kodi zinachangia kukandamiza makampuni
 
Back
Top Bottom