Njia rahisi sana ya kupunguza bei ya mafuta kwa wenye akili watanielewa
Mfano
Kodi zote ni 31% ya bei ya mafuta
Ths 3500 kwa lita kodi zote ni Tsh 1,085
Mfano sasa bei ni Tsh 4500 kodi ni Tsh 1,395
Serikali ikisema tu kwamba badala ya kukusanya kodi kwa 31% tukusanye kwa kiasi kabla ya vita yaani kwa bei ikiwa Tsh 3500 kama kweli wana nia ya kusaidia maana yake kodi itakuwa Tsh 1,085 hivyo bei ya sasa ingekuwa pungufu kwa Ths 310 ambayo ni Ths 4,190 sio Tsh 4500