Bei ya mahindi Songea kizungumkuti, tofauti ya bei ya mahindi na mbolea ni kama mbingu na ardhi

Sadiki Abdallah

JF-Expert Member
Jul 13, 2016
885
579
Hali ni tete kwa wakulima wa mahindi, bei ya mahindi na bei mbolea tofauti yake ni kama mbingu na ardhi.
bei ya mbolea aina ya urea ni tsh,58 000,
bie ya mahindi kwa gunia ni tsh,24000,
basi kwa niaba ya wakulima tunaomba wenye mamlaka waokoe jahazi, maana tutashindwa kuzalisha mahindi kwa ufanisi msimu wa kesho.
 
Kwani bei ya mahindi ikiwa 24000 na mbolea ikiwa 58000 kuna ahida gani? Kama ungekuwa unavuna gunia moja ndio ingekuwa tatizo. Kama unatumia mbolea mfuko m1 na unapata mahindi gunia 10 mbona sawa tu.

Limeni acheni uvivu
hapana mkuu usimjibu kwa jazba. Serikali lazima iwasaidie wakulima yani haiwajali kabisa. Ikishindikana kuwapa ruzuku Basi iwasaidie kwa kupunguza Bei pembejeo wakati huu Hali mbaya kwao Sasa kazi ya Waziri wa kilimo Ni Nini?

Nchi zilizoendelea mbona serikali zao zinawapiga jeki Na tough wakati was mauzo yakiwa chini?
 
Ukilima heka 1 utatumia jumla ya mifuko 3 na ukizingatia mashart km palizi na kuweka mbolea kwa wakati utavuna gunia 17-22 kwa heka hivyo ukiuza hata gunia kea elf 20 utapata wastani Wa tsh400000 kwa heka wakati mbolea Itakuwa ni tsh 150,000. Tusikate tamaa tuendelee kulima
 
Hali ni tete kwa wakulima wa mahindi, bei ya mahindi na bei mbolea tofauti yake ni kama mbingu na ardhi.
bei ya mbolea aina ya urea ni tsh,58 000,
bie ya mahindi kwa gunia ni tsh,24000,
basi kwa niaba ya wakulima tunaomba wenye mamlaka waokoe jahazi, maana tutashindwa kuzalisha mahindi kwa ufanisi msimu wa kesho.
upo songea ipi,bei elekezi ya UREA ni shilingi 41,700/- kama ukinunulia kwenye maghala(SODECO) tsh 40,500/- umeuziwa wapi ndugu?
 
Hali ni tete kwa wakulima wa mahindi, bei ya mahindi na bei mbolea tofauti yake ni kama mbingu na ardhi.
bei ya mbolea aina ya urea ni tsh,58 000,
bie ya mahindi kwa gunia ni tsh,24000,
basi kwa niaba ya wakulima tunaomba wenye mamlaka waokoe jahazi, maana tutashindwa kuzalisha mahindi kwa ufanisi msimu wa kesho.
Kwani Mbolea Gunia moja ndio inatoa Mahindi Gunia moja??
 
Kwanza,mbunge wenu ni wa chama gani kama ni upinzani mnakomolewa kama ni ccm mnazomewa mmekuwa mang'ombe
 
Ukilima heka 1 utatumia jumla ya mifuko 3 na ukizingatia mashart km palizi na kuweka mbolea kwa wakati utavuna gunia 17-22 kwa heka hivyo ukiuza hata gunia kea elf 20 utapata wastani Wa tsh400000 kwa heka wakati mbolea Itakuwa ni tsh 150,000. Tusikate tamaa tuendelee kulima
hizi ni hesabu za mezani. vitendea kazi ni karatasi, kalamu na kikokotoo (calculator). nenda kwenye uhalisia/vitendo; utakuta formula zako ni useless
 
Wakulima badilikeni heshimuni ushauri na maelekezo ya wataalam wa kilimo. Kazi kuungana na wasiasa kuwashambulia wataalam. Itawasaidia nini? Mnapigwa machanga ya macho na wanasiasa Si wanataka kura zenu. USHAURI: limeni mazao kwa kuzingatia mahitaji ya soko? Hamwelewi nyinyi? Mahindi siyo dili kwa sasa. Kila Mkoa na kabila chakula chao ni ugali wa mahindi hivyo wote wanazalisha mahindi. Mbaya tena soko la mahindi yetu la Kenya limedorora Wanadai ni machafu na yana sumu. Wananunua mahindi ya Zambia! Na kwa namna Serikali yetu isivyokipa kipaumbele cha kutosha kilimo hatuwezi kushindana na Zambia kwani Serikali yao inaweka ruzuku nzuri ktk kilimo. Msimu uliopita waliingiza mahindi meupe nchini kwa TSh. 28,000. 00 kwa mfuko wa kilo 100 !Tulipiga kelele hao! Wakulima badilikeni. Msiwe marafiki wa wanasiasa. Muwe marafiki wa wataalam! Kwanza wengi wa wanasiasa wetu wana taaluma za sanaa. Sayansi ya kilimo na mifugo wapi na wapi!
 
Hapo umenena mkuu
 
Back
Top Bottom