Bei ya Mahindi katika kila mkoa

Bei ya Mahindi katika kila mkoa

Bariadi debe limeshuka kutoka 20000 miezi miwiliyo iliyopita hadi 9,000 kwa sasa
 
Bariadi debe limeshuka kutoka 20000 miezi miwiliyo iliyopita hadi 9,000 kwa sasa
Leo nimepata habari zisizo rasmi,NFRA (serikali) imeanza kutoa mahindi ya bei nafuu kanda ya Ziwa,sina uhakika sana. Kama ni hivyo,tarajia bei kushuka zaidi!
 
Leo nimepata habari zisizo rasmi,NFRA (serikali) imeanza kutoa mahindi ya bei nafuu kanda ya Ziwa,sina uhakika sana. Kama ni hivyo,tarajia bei kushuka zaidi!
Kushuka ni kwa muda tu, na ni nafasi nzuri kwa wafanyabiashara kujilimbikizia stock. NFRA hawalimi, na msimu uliopita walinunua mahindi kidogo sana kwa sababu fungu walilopewa ni dogo, mahindi yaliyopo hayatoshelezi soko, tegemea bei kufika 1500 kwa kilo.
 
Mbeya ipi hiyo,soko kuu la mahindi Mby ni Mbalizi na debe ni Sh.10,000/=
Thats around 500 kwa kilo, kama una gari yako peleka Mtwara kauze mia 8. Aliyeko Mtwara alete current price.
 
Mbeya kwa sasa 14000 sehemu nyingine 12000 ukitaka Mahindi ya mwaka jana wanauza 18000 kwa Debe
 
Bei ya mahindi inasemaje kwa mikoa ilio karibu na Dar es Salaam
 
Back
Top Bottom