Bei ya korosho zilizobanguliwa

Bei ya korosho zilizobanguliwa

Kumbe korosho huk majuu ina bei nzuri.
Kuna nchi nyingine Afrika/duniani wanaolima korosho au ni sisi tu kwenye mikoa yetu ya Mtwara, Lindi na Pwani?
 
kwa exchange rate ya leo robo kilo ni shilingi elfu 8.
 
No ni £ si €

Mimi nafikiri kwanza tujiulize haya.

1. Ukibangua kilo moja ya Korosho unapata korosho unapata kiasi gani?
2. Gharama za kubanjua zikoje

Haya mengine ya kusafirisha na logistice zingine tutazipata huko baadae kwasababu kwa harakaharaka inaonekana bei ya korosho zilizobanguliwa ni kama TZS 30,000 kwa kilo
 
Sisi tumekalia kushangilia Wahindi Dewji's kuwaimbia mapambio kuwaita Mabilionea, tunawapigania kufa na kupona huku wao wakibasamu na kutuona takataka kumbe wanatajirikia kupitia mgongo wetu!

Haya negroes ule wimbo wetu, imbeni tena kwa sauti ya juu kabisa,

Bring back our Mo, bring back our Mo, bring back our Mo, ...
Vip mzee tunaongelea korosho hapa.Sijaona sehem yyte palikoandikwa Mo
 
Aisee inamaana itakua zaid ya 5laki?
Na wewe unaingia katika mtego wa huyo kipofu hapo? SkyEclat kaandika kwa ufasaha kabisa £2,75 maana ya pauni za kiingereza 2 nukta 75 sawa na takriban shiling za kitanzania elfu saba sasa hayo malaki yenu mnayatoa wapi.
Au ndio yale yale mkikosa point mnaishia kuhangaika na misspelled words and grammar kitu ambacho kwa post ya sky eclat hakuna makosa hayo isipokuwa kuna uzwazwa wenu tu wa kutozingatia mnachokisoma
 
Mimi nafikiri kwanza tujiulize haya.

1. Ukibangua kilo moja ya Korosho unapata korosho unapata kiasi gani?
2. Gharama za kubanjua zikoje

Haya mengine ya kusafirisha na logistice zingine tutazipata huko baadae kwasababu kwa harakaharaka inaonekana bei ya korosho zilizobanguliwa ni kama TZS 30,000 kwa kilo
Tukiomba mkopo wa kujengea kinu cha kubangulia korosho mbona tungeweza na vijana wangepata ajira.
 
Kumbe korosho huk majuu ina bei nzuri.
Kuna nchi nyingine Afrika/duniani wanaolima korosho au ni sisi tu kwenye mikoa yetu ya Mtwara, Lindi na Pwani?
Mozambique wanalina hata Ghana na Benin
 
View attachment 930706
Hii ni pack ya robo kilo au 250gm ni £2.75 Tesco Supemarket



View attachment 930712
Sainsbury’s pack ya nusu kilo au 500mg ni £7.00

View attachment 930719Wazee wa fursa kwa jina la healthy food Holland and Barrett 200gm ni £3.99


View attachment 930739
Waitrose Supermakert kilo moja ni £14.67
exchange rate ni ngapi now tupate picha kamili. Lakini Sky kuja kuifikisha kama hivyo huko London super market, labour power embedded in it is high and consequently high price! You can not by any stretch of imagination call this exorbitant price!
 
Wazungu wanapenda ubora kuanzia kwenye packaging mpaka presentation
 
Back
Top Bottom