Bei ya korosho zilizobanguliwa

Bei ya korosho zilizobanguliwa

Mimi nafikiri kwanza tujiulize haya.

1. Ukibangua kilo moja ya Korosho unapata korosho unapata kiasi gani?
2. Gharama za kubanjua zikoje

Haya mengine ya kusafirisha na logistice zingine tutazipata huko baadae kwasababu kwa harakaharaka inaonekana bei ya korosho zilizobanguliwa ni kama TZS 30,000 kwa kilo
kiwanda cha korosho ni nn maana huko naona wabanguaji ni wanawake wa kihindi na matanuri ya kukaanga korosho
 
Hata South Africa ni wanunuzi wazuri kwa supermarkets zao
 
Acha wivu na ubaguzi nani alio kukataza kuazisha kiwanda cha korosho....tumekalia majungu na fitina....huyu unae msema kaajiri raia wa ngapi? wewe onyesha mchango wako pia.

Uko sawa ni wivu na ubaguzi na hakuna aliyenikaza kuanzisha kiwanda,

haya imba tena kwa sauti nigger usiye mbaguzi, lkn unabaguliwa,

Bring back our Mo, bring back Our Mo, Bbring back our Mo, ...
 
Kwahiyo issue ni kiwanda cha kubangua.
nadhani hata kiwanda si ishu maana ukiangalia huko india wanaofanya hizo kz ni wanawake wakibangua kuna kitu hatujakielewa maan watu tunao, korosho ipo, tungeanzisha viwanda vidogo tuuze kwanza ndani watu wale korosho hili kitu korosho ni ghali sana ukipanda basi ndo utaijuia
 
Hata South Africa ni wanunuzi wazuri kwa supermarkets zao
kama mtu anaweza anzisha kiwanda kutengeneza matofali au kusindika unga, maziwa, matunda nadhani si gumu kuanzisha kiwanda cha kubangua
 
kama mtu anaweza anzisha kiwanda kutengeneza matofali au kusindika unga, maziwa, matunda nadhani si gumu kuanzisha kiwanda cha kubangua
SIDO hawana mashine hizi?
 
Siwezi kuingia kwenye huo mtego ,iwe kwa bahati mbaya au kwa kukusudia
 
exchange rate ni ngapi now tupate picha kamili. Lakini Sky kuja kuifikisha kama hivyo huko London super market, labour power embedded in it is high and consequently high price! You can not by any stretch of imagination call this exorbitant price!
£1 =Tsh 2,946.23
 
Mimi nafikiri kwanza tujiulize haya.

1. Ukibangua kilo moja ya Korosho unapata korosho unapata kiasi gani?
2. Gharama za kubanjua zikoje

Haya mengine ya kusafirisha na logistice zingine tutazipata huko baadae kwasababu kwa harakaharaka inaonekana bei ya korosho zilizobanguliwa ni kama TZS 30,000 kwa kilo

Hapa ndio tatizo kiongozi na umeongea ukweli mtupu.na hapo bado kodi za hapa na kule unako peleka mzigo na logistics zake.
 
Back
Top Bottom