Hapa kiloa inacheza Tsh15k to 18k mpaka 20kKwa U.K hizo ni bei za kawaida sana, Bongo kwenyewe bei yake si mchezo, licha ya umasikini uliopo na zinalimwa huku
Hata nusu yake basiexchange rate ni ngapi now tupate picha kamili. Lakini Sky kuja kuifikisha kama hivyo huko London super market, labour power embedded in it is high and consequently high price! You can not by any stretch of imagination call this exorbitant price!
Tungekuwa na viwanda, korosho tu ingetosha kuipeleka mikoa ya kusini kwenye uchumi wa kati. Pia cheki na retail price ya kahawa, unaweza lia.Hii ni dhahabu ya kijani hatuja iweka hivyo kwenye mind set zetu.
Soma vizuri£275 Kwa 250gm?
Jamani tuwe serious
Mozambique wanalina hata Ghana na Benin
£ 2.75 mkuu... Au hiyo dot/point hujaiona nini?£275 Kwa 250gm?
Jamani tuwe serious
Iko moja W. AfricaKumbe korosho huk majuu ina bei nzuri.
Kuna nchi nyingine Afrika/duniani wanaolima korosho au ni sisi tu kwenye mikoa yetu ya Mtwara, Lindi na Pwani?
Sawa mkuu.Sky eclat hajakosea kaandika£ 2,75
Kwako hiyo ina justify mtu apotezwe?Sisi tumekalia kushangilia Wahindi Dewji's kuwaimbia mapambio kuwaita Mabilionea, tunawapigania kufa na kupona huku wao wakibasamu na kutuona takataka kumbe wanatajirikia kupitia mgongo wetu!
Haya negroes ule wimbo wetu, imbeni tena kwa sauti ya juu kabisa,
Bring back our Mo, bring back our Mo, bring back our Mo, ...
Exchange rate ni £1 = Tshs 2,986.
kabisa mm naona nitakufa wacha nisikilize nyegezi ya Diamond ohhh nayo wameifu gia basataKuna vitu vingine ukifuatilia utakufa na hata tusijue umekufakufaje !!
Huku kwetu Mtwara ni anasa kununua korosho zina beiKwa U.K hizo ni bei za kawaida sana, Bongo kwenyewe bei yake si mchezo, licha ya umasikini uliopo na zinalimwa huku
Tanzania niya pili kwa korosho africaKumbe korosho huk majuu ina bei nzuri.
Kuna nchi nyingine Afrika/duniani wanaolima korosho au ni sisi tu kwenye mikoa yetu ya Mtwara, Lindi na Pwani?
hata tukiipeleke mikoa mingine korosho iliyobanguliwa bado inalipaUkiwa na kiwanda hata ukiwauzia Tesco ujazo wa kilo 25-50 wao wafanye packaging yao wenyewe pia si haba.
Acha wivu na ubaguzi nani alio kukataza kuazisha kiwanda cha korosho....tumekalia majungu na fitina....huyu unae msema kaajiri raia wa ngapi? wewe onyesha mchango wako pia.Sisi tumekalia kushangilia Wahindi Dewji's kuwaimbia mapambio kuwaita Mabilionea, tunawapigania kufa na kupona huku wao wakibasamu na kutuona takataka kumbe wanatajirikia kupitia mgongo wetu!
Haya negroes ule wimbo wetu, imbeni tena kwa sauti ya juu kabisa,
Bring back our Mo, bring back our Mo, bring back our Mo, ...