Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 31,147
- 88,819
Wakikuuliza unaita fork lift linanyanyuliwa linaamishiwa mtaani kwa waulizaji. Watajipa majibu wenyewe. 😁Halafu watu wakikuuliza kama bado umepanga, unaeza sema nimejenga au nimenunua kontena?
Wakikuuliza unaita fork lift linanyanyuliwa linaamishiwa mtaani kwa waulizaji. Watajipa majibu wenyewe. 😁Halafu watu wakikuuliza kama bado umepanga, unaeza sema nimejenga au nimenunua kontena?
Mbona badoupo hujaenda huko kwababa yako. Msiwe mnaleta utani kwenyemambo yamsingiHata hivyo duniani sio makao, haina haja ya kujenga. Makao yetu ni kwa Baba tuu
Acha nongwa za kujikuta kiranja humu. Upo seriooutadhani ina ghorofaMbona badoupo hujaenda huko kwababa yako. Msiwe mnaleta utani kwenyemambo yamsingi
Dah...Cement kupanda na bidhaa zinazotengenezwa na cement zitapanda yaani
1.tofali
2.zege
3.nguzo za zege
Etc
Ukiangalia katika perspective hiyo utaona buku ni ndogo! Buku ninkwaa kila kilo 50 ya cement, dangote anazalisha tani zaidi ya 5000 kwa siku.Kumbe ni buku tuu,sawa tuliambiwa hivyo Bungeni
Ujumbe unafika mkuu...Tuendelee kuandamana nyuma ya KEYBOARD wakuu...sisi ni zaidi ya mazuzu... maneno mengi nyuma ya keyboard, action ni 0.
Serikali isiyojali maendeleo ya watu wake wenye kipato cha chini.
Kuwaamsha vijana wa Nchi hii kazi sana, wangezaliwa kabla ya uhuru sidhani kama wangepambana kutuletea Uhuru.Wanatuonyesha njia ya kufanya mageuzi ila tumelala kama pono, inakera, tozo kodi na hupati huduma kamilifu umeme kero, maji kero duh
Sent using Jamii Forums mobile app
Wao wanajengewa nyymba kww kodi zetu halafi wanataka sisi tusijengeWatawala hawana huruma.
Tuko na mchumi No 1. asiyejua athari za kuziia watu lujenga nyumba boraNimeona pia taarifa ya Mbeya cement, nayo imeonesha hilo ongezeko la shilingi 1,000 kwa kila mfuko wa saruji.
Yaani pamoja na ugumu huu wa maisha wameamua ku impose mzigo mwingine wa kodi kwa Raia wake![]()
=======
Ingekuwa Nchi nyingine zinazoejielewa mfumko huu wa maisha ingekuwa tiketi ya Viongozi hao wakuu na Serikali yao kuondoshwa madarakani
Anasema yeye ni Daktari Bingwa wa Uchumi, anajua namna ya kuutibu Uchumi wa Nchi yetu barabaraTuko na mchumi No 1. asiyejua athari za kuziia watu lujenga nyumba bora
Ili zikapigwe na mafisad? Mara utasikia report B kadhaa zimepigwa na ni marufuku kuwachukulia hatua yoyote!! Bora kwel asilimia mia ingeenda kweny maendeleo.Tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi

Lice at his finest!!Kumbe ni buku tuu,sawa tuliambiwa hivyo Bungeni

Tulijua wanapiga soga tu😂Bado na mafuta ya magari yanapanda pia..
Kwani wakati Serikali inasema itaongeza hizo bei Bungeni nyie mlikuwa mnajua itakuaje labda? Watanzania ni watu wa ajabu sana
Ujambazi wa Hali ya juuSerikali inachukua 600k kwa tani 30 za cement. Huu ni unyang’anyi kabisa. Bei kesho kwa dsm haitakuwa 17k kwa mfuko itakuwa 18k.
