HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 72,939
- 102,693
Wakisema wakaze Chadema watasema oneni serikali inawabana wanyonge, hivyo wameamua kuacha ili kila mtu alipie kama tozoNdio tunarudi kulekule wameshindwa kukusanya kodi kwa kuendekeza siasa
Wakisema wakaze Chadema watasema oneni serikali inawabana wanyonge, hivyo wameamua kuacha ili kila mtu alipie kama tozoNdio tunarudi kulekule wameshindwa kukusanya kodi kwa kuendekeza siasa
Ikiwa hawa waliowekwa nmadarakani na Waingereza walikuwa hivi , na wanamuita eti ni Baba yao , utegemee kitu gani kwa hawa tulionao
View attachment 2674610
Utakuwa umesahau hebu rejea kuna nyuzi nyingi jf archive.Pale walipojitoa tu ndo ilikuwa mwisho wake, kosa jingine ni kutotaka shiriki uchaguzi bila katiba mpya
Kumbe wale wanaosema chadema inaongoza nchi wako sahihi !Wakisema wakaze Chadema watasema oneni serikali inawabana wanyonge, hivyo wameamua kuacha ili kila mtu alipie kama tozo
Kwanini mkuuCCM ilishapoteza dira siku nyingi, kumbukeni alichosema Horace Kolimba.
. Bashiru SI alisema kwamba watatumia Dola kubaki madarakani?Wafanyabiashara wengi hasa wakubwa hawalipi kodi inayostahili udanganyifu ni mwingi sanaWakisema wakaze Chadema watasema oneni serikali inawabana wanyonge, hivyo wameamua kuacha ili kila mtu alipie kama tozo
Kodi zao hulipwa na walajiWafanyabiashara wengi hasa wakubwa hawalipi kodi inayostahili udanganyifu ni mwingi sana
Pomoja na hiyo, imagine Ulaya walipandisha bei ya Mkate tu watu waliandamana hadi bei ikashushwa.
Kwetu huku Majanga
Nazungumzia Corporation taxes sio VATKodi zao hulipwa na walaji
Mwanachi anaumia sana wanasiasa hawana hurumaInasikitisha sana mkuu!!
Huyo dogo sio mzima...🤣🤣🤣🤣😂😂 we dogo kuna wakati huwa sikuelewi, hasa tokea suala la dp lije!
Aliposema hivyo akaitwa Dodoma kuhojiwa na tume ya maadili ya chamaCCM ilishapoteza dira siku nyingi, kumbukeni alichosema Horace Kolimba.
Kwenye uchumi ongezeko la buku ni hela kubwa sanaKumbe ni buku tuu,sawa tuliambiwa hivyo Bungeni
Fikiria mtu anakula bure, analala bure, anaendesha bure, karibia 100% ya maisha yake anaishi bure kwa kutegemea watu fulani wampe, lakini hao wanaompa ili aishi vizuri anazidi kuwakandamiza.Mwanachi anaumia sana wanasiasa hawana huruma
Sawa tuu si wameounguziwa kwingineko..Kwenye uchumi ongezeko la buku ni hela kubwa sana
Dangote 42.5 Truck semi hubeba mifuko 600 bei ilikuwa ni 15,000 jumla unapata 9,000,000/=
Sasa hivi baada ya serikali kuongeza 1000 ni 16,000 ukiagiza semi ni 9,600,000/=
Hii cement ya Dangote 42.5 ndio huwa inatumiwa sana na viwanda vya kutengeneza tofali
Mtengeneza tofali naye ataongeza bei ya tofali ili kufidia hizo buku buku
Mtumiaji wa mwisho mwananchi akisema aanze ujenzi akienda kununua matofali anakuta bei iko juu akinunua na cement anakuta bei imepanda
Mambo ya Hon. Dr. Nchemba hayo
Kwa kuwa karibu kila kitu kwao ni bure wanasahau maumivu wanayopitia raia wao ambao hawana cha bureFikiria mtu anakula bure, analala bure, anaendesha bure, karibia 100% ya maisha yake anaishi bure kwa kutegemea watu fulani wampe, lakini hao wanaompa ili aishi vizuri anazidi kuwakandamiza.
Hivi waliobuni mifumo ya kuongozwa na siasa ni nani kama sio upumbavu? There mofos are so selfish.