Bei ya Cement yapanda

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,745
218,335
Taarifa iliyosambazwa na Uongozi wa kiwanda cha cement cha Dangote , inaeleza kwamba sababu za kupanda kwa Bei ya cement ni ongezeko la kodi ya serikali kwenye bidhaa hiyo .

Taarifa yao hii hapa .

FB_IMG_1688145687723.jpg
 
Taarifa iliyosambazwa na Uongozi wa kiwanda cha cement cha Dangote , inaeleza kwamba sababu za kupanda kwa Bei ya cement ni ongezeko la kodi ya serikali kwenye bidhaa hiyo .

Taarifa yao hii hapa .

View attachment 2674532
Yaani mie ninapojipanga kujenga kachumba self na sebule na wao wanapandisha gharama. Aise basi bwana wacha hizi milion mbili nikale pisi kali
 
Nimeona pia taarifa ya Mbeya cement, nayo imeonesha hilo ongezeko la shilingi 1,000 kwa kila mfuko wa saruji.

Yaani pamoja na ugumu huu wa maisha wameamua ku impose mzigo mwingine wa kodi kwa Raia wake 🙌

=======
Ingekuwa Nchi nyingine zinazoejielewa mfumko huu wa maisha ingekuwa tiketi ya Viongozi hao wakuu na Serikali yao kuondoshwa madarakani
 
Bado na mafuta ya magari yanapanda pia..

Kwani wakati Serikali inasema itaongeza hizo bei Bungeni nyie mlikuwa mnajua itakuaje labda? Watanzania ni watu wa ajabu sana
 
Back
Top Bottom