Before You Leave Your Doctor's Consultation Room Make Sure You Read And Approve....

Hakuna raha kama kuhudhuria kwenye kikao uko bwax afu cha kazi.

Unakua na majibu ya maswali yoote magumu.

Ila pombe zinaleta akili sometimes.
Ila kwenye hiyo ED ndio utatia akili vilivyo...:lol:
 
hahahhhaaaaahhihihiihihiahhhhhahhahhahhahaaaaa!!!!
aaah asee..! doctor ana bifu eeeeh..! ukikutana nae kwa unoko na unuxi wake hadi unapona aaahh hii kali kaka aah
Anajifanya ana uchungu na kampuni kuliko hata mwajiri au wemye kampuni mwenyewe
Madoctor wengine nuksi sana
Hawa ni wale ukikutana nae unapona hata shida zako zinayeyuka maana unoko mpaka machoni
 
hahahhhaaaaahhihihiihihiahhhhhahhahhahhahaaaaa!!!!
aaah asee..! doctor ana bifu eeeeh..! ukikutana nae kwa unoko na unuxi wake hadi unapona aaahh hii kali kaka aah

kabisa
unoko mpaka machoni huyu
ukikutana nae una ugonjwa wako unapona fasta
 
Mchizi ndo hivyo anapoteza kazi hivi hivi
yaani ni noma kaka

sasa kama ni wewe rocky na kwakweli hukujua doctor kaandika nini hapo..! halafu kweli ukafukuzwa kazi..! na kwenye tafiti zako ukaja kugundua kua doctor ndie aliharibu siku ile..! utamfanyaje doctor...!?
 
Doctor yuko kazini mkuu na hiyo ni professional opinion siwezi kuichallenge maana imetolewa na mtu aliyesomea taaluma yake
Sana sana ni kumtafuta siku yuko kwenye viti virefu unamnunulia bia za kutosha akishalewa unamwambia asante sana kwa kazi nzuri uliyofanya
 
hapo hatakumbuka kitu sana sana atakumbuka kua umemnunulia beer tu..! kuna mambo yanauma mzee..! we itakua ulipiga law manake unaonekana kua considerate katika kila kitu..!

Tungekuwa na Madaktari mia mbili wa hivyo hapa Bongo, jeuri ya baadhi yetu ingekwisha!

Thumbs up Doc!
 
hapo hatakumbuka kitu sana sana atakumbuka kua umemnunulia beer tu..! kuna mambo yanauma mzee..! we itakua ulipiga law manake unaonekana kua considerate katika kila kitu..!

Hahahahahaha haya mkuu
Nashukuru kwa compliment yako
Uko karibu na ukweli japo sio sana
 
Back
Top Bottom