Before You Leave Your Doctor's Consultation Room Make Sure You Read And Approve....

Before You Leave Your Doctor's Consultation Room Make Sure You Read And Approve....

The Finest

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2010
Posts
21,605
Reaction score
6,097
SICK ED.jpg

Make Sure You Read And Approve What Your Doctor Has Written On That ED Sheet Otherwise...................
 
hahahahahaha kifua mbele unaipeleka kwa kazi!!!
 
duh ni noma hapo na kazi utakuwa umekosa hapo
Nasikia kila Jumatatu huwa unaenda na ED ofisini kuwa unaumwa...:eyebrows:...ngoja uje ukutane na ya hivyo siku usipomtoa daktari wako na wekundu
 
Hahahhaha. . . . kwa hali hiyo wabongo wengi sana wangepatikana maana hata kusoma risiti tu hua wanaona tabu.
 
Hahahhaha. . . . kwa hali hiyo wabongo wengi sana wangepatikana maana hata kusoma risiti tu hua wanaona tabu.
Kwenye risiti acha tu...nina uhakika hapa lazima awe makini au either huyu mshikaji wakati anaandikiwa hii ED alikuwa bado ana hangover kwahiyo hata kusoma akaona uvivu...lol
 
Nasikia kila Jumatatu huwa unaenda na ED ofisini kuwa unaumwa...:eyebrows:...ngoja uje ukutane na ya hivyo siku usipomtoa daktari wako na wekundu

huyo Doc ana yake bana
Mi si nimemfuata nataka ED sasa mambo ya kuniandikia kulwa kila jumatatu ndo zangu ni mambo gani haya
Mi namtoaga sana Doc wangu na wekundu anaandika vizuri kabisa kuwa mi mgonjwa sihitaji kuiona pc ya ofc kwa siku hiyo
 
Madaktari mengine bana!

Ndo nini kuwaumbua walipa kodi namna hii?
 
Kwenye risiti acha tu...nina uhakika hapa lazima awe makini au either huyu mshikaji wakati anaandikiwa hii ED alikuwa bado ana hangover kwahiyo hata kusoma akaona uvivu...lol

Hehehehehe, mtakoma na hangover zenu.
 
na ofisi zenyewe zilivyo hapo ana kibarua tena kweli.
 
Dokta Hwoyeeeeeeee

Ila ni kumwendea Sumbawanga tu.
 
Back
Top Bottom