Naona unaanza kulia lia ndiyo kwanza kumekucha nyie ndiyo mmeamua kubadili mjadala kuleta masuala ya Yesu tunaelekea mnapotaka nyie vijana wa Kanisa na Chadema.Vijana wa Mohammed Said wanachezewa nusu uwanja, muda si mrefu watatoa timu uwanjani. Wamecheza faulo hazijasaidia.
Hapa ndio unakuja umuhimu wa shule.
Nyakageni,
Hapa tulipofikishana ndugu yangu panatosha.
Kuanzia sasa mimi sitajibu chochote kutoka kwako.
Nakusihi uheshimu msimamo wangu.
Picha hiyo naingia hoteli Makka tayari kwa ibada ya hijja.
![]()
Kwani toka mjadala umeanza kuna uliyemjibu? You have failed to convince sasa una confuse
na sikuachi ng'ooo
poor English
kuna watu wataridhika siku wakisikia uhuru wa tanganyika uliletwa na maswahaba kutoka mecca na madina.
okay, so you are also stuck repeating the same verse! Una maswali saba ya Nguruvi3 hebu yatolee majibu na siyo kujibu ki Gavana through `copy and paste'
Kumbe inakuuma kwamba wahusika na wapigania uhuru hawa walioandikwa ni wazee wake??
au kinachokuuma nini hasa??
kwan huu sio ukweli?
teh teh teh
Maalim Faiza,Al Alama Mohamed Said, huyo uliyesimama nae ni mdogo wangu Aziz au nimemfananisha?
unataka ujibiwe kwa lugha ya yesu namna hii
Kila mti hutambulika kwa matunda yake (Luka 6:44) na vile vile mtu anatambulika kwa ulimi na lugha yake kwamba anazo khulka za aina gani?
Maana lugha ya mtu inaonesha masomo yake, tabia na khulka yake.
baadhi ya maneno na lugha ya Bwana Yesu aliyotumia katika uhai wake.
1. (wasio Waisraeli) wameitwa mbwa na nguruwe. (Mathayo 7:6).
2. Aliwaita watu wabaya: Enyi wazao wa nyoka (Mathayo 12:34).
3. Mayahudi waliitwa: Kizazi cha zinaa. (Mathayo 12:40,, 16:4).
4. Mayahudi waliitwa Wazinifu na wakosefu. (Marko 8:38).
5. Ole wenu waandishi na wafarisayo, wanafiki, (Mathayo 23:16).
6. Ole wenu viongozi vipofu. (Mathayo 23:16).
7. Enyi nyoka, wana wa majoka (Mathayo 23:33).
8. Watu wengine waliitwa mbwa. (Mathayo 15:27).
9. Aliwaita manabii wenzake: wote walionitangulia ni wevi na wanyang'anyi. (Yohana 10:8).
10. Aliwaita wanafunzi wake: Enyi kizazi kisicho amini, kilichopotoka. (Mathayo 17:17).
11. Akamwambia Petro Nenda nyuma yangu Shetani. (Mathayo 16:23).
12. Akamwambia mama yake: Ewe mwanamke nina nini nawe? (Yohana 2:4).
13. Akasema mama yangu ni nani na ndugu zangu ni akina nani? (Mathayo 12:48).
14. Siku ya Kiyama atawaita wahubiri Wakristo: Nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi mtendao maovu. (Mathayo 7:23).
Mkuu Awadh hizi techniques za kitoto tumesha zioea.
Yule anaejiita PainKiller alinipiga ban ya wiki mbili kwa kosa la Kumwambia mgalatia mmoja kuwa kosa ni la mama yake kumkosesha malezi.
Leo naweka vitu vya uhalisia hapa Mods Wanafuta lkn Upuuzi wa kuchora picha Za Uchi mbele ya jukwaa linalotazamwa na wadau wa kila Umri wanaziacha.
Tutakwenda nao hivyo hivyo na huo Mfumo Galatia wao mpaka jukwaa lifugwe au vinginevyo.
Wapi umeshaona Mficha Ukweli Akafanikiwa?
Maalim Faiza,
Huyu anaitwa Nadir Mahfoudh kutoka Zanzibar.
Watu wawili wawili.
KVM,
Ningependa Prof. Njozi angekuwapo hapa akakujibu mwenyewe. Juu ya hayo...
Kwani madrasa ina ubaya gani? Mimi nimesoma mengi ninayochangia hapa katika madrasa.
Kubwa nililofunzwa katika madrasa ni adabu ya mnakasha.
Yaani adabu ya mjadala.
Elimu hii alinifunza Maalim Haruna. Allah amrehemu.
Sasa ni juu yako kunipima kama elimu ile imenifaa au vipi.
Dada yangu Faiza husema sisi tunakwenda chuoni tukiwa wadogo na nyie wenzetu mnaingia chuoni watu wazima.
Mengine nimeyaacha kuyajibu kwa makusudi.
Huu mjadala afadhali Hirji kaka pembeni,unampunguzia hadhi yake,akina Mohamed Said hata wakijibu hoja bado wana damu ya "coolies" ya wale dockworkers- MS anaweza kuwa hatukani lakini hafanyi juhudi yoote kuzua matusi-hivyo basi anapendelea vurugu ili kuzuia watu kupata majibu
a
k
I
n
I