Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

mkuu matola, kuna muda ninapata taabu kumuelewa huyu mzee! Analaumu `inside job' ya serikali meaning anawalaumu ccm kwani ndiyo pekee walioongoza nchi toka adam. Lakini wafuasi wake akina faiza, punjab/ritz, bill cosby kahtaan ni makada nguli wa ccm!!!
Who is his real enemy?

hahahahahaha!!
Cdm tame your galatias, beware the ides of oct 2015
 
Kwa akili yako ndogo unafikiri nitapoteza nini CDM wasiposhinda?

Mie nategemea elimu yangu, bora washindwe ili tukutane kwenye minakasha rais akiwa Lowasa aliyesaini MOU ili asaini zingine ha ha haaaa
 
Kikwete anachukiwa kutokana na "dini yake"

Naona toka bundle za net kupunguzwa mpaka 8 mb sasa shemeji yako amekua mkali kidogo kwa hasa katika masuala ya matumizi ya net... umekua umapotea haraka kama ushuzi wa papa
 
Manyerere,
Kuna mengi ningeweza kusema...
Prof. Hirji kaandika baada ya mimi kusema.

Alikuwa wapi siku zote?
Mimi huna haja ya kunihimiza.

Siku zote nimekuwapo.

Ningependa kutoa historia fupi ya kibinafsi

Mwaka 1969: Mimi, Karim Hirji, nilikuwa Mhariri Mkuu wa jarida la wanafunzi wa UDSM
liitwalo CHECHE. Tuliunga mkono siasa ya ujamaa lakini tulisema ukweli kuwa utekelezaji
wake na TANU ilikuwa mbaya sana. Wazee wa TANU walikasirika sana na Jarida letu ilpigwa
MARUFUKU.
Mwaka 1973:Niliandika makala kukosoa sera ya Mwalimu Nyerere kuhusu elimu ya kujitegemea
iliochapishwa UDSM kwenye jarida la Maji Maji Nilionyesha utekelezaji wake shuleni ilikuwa una
mapungufu mengi. Wakati ule nilikuwa Assitant Lecturer wa Mathematics. Mwalimu alikasirika
na mimi nilifukuzwa UDSM na nilipelekwa SUMBAWANGA.
Mwaka 1979: Niliandika chapter kwenye kitabu A HISTORY OF COLONIAL TANGANYIKA kuhusu
sera za wajaremani ya elimu na niligusia suala la dini pia.

Na kuna mengi zaidi. Watu wengi wana sema mambo ambayo kwa wakati ule walikaa kimya.
Mmi nili sema ukweli wazi wazi na nilipewa adhabu kali.

Ndugu Saidi mimi pia nina historia ndefu ya kuandika mambo ya social historical analysis.
Na wewe pia una historia ndefu ya kufanya hivyo. Lakini mimi sisemi kwa wengine
nyinyi mlikuwa wapi wakati wote huu.

Kuuliza swali kama hilo ni a diversionary tactic. Hai fai hata kidogo. Leo wewe na mimi
tumekutana kwenye majadiliano ya mambo muhimu kwenye nchi yetu. Tujaribu kujibu
hoja kwa hoja, wazo kwa wazo, na siyo kuuliza ULIKUWA WAPI? Kila mtu ana haki ya
kujiingiza katika mjadiliano yeyote wakati wowote.

Prof. Karim Hirji
 
Karim Bhai, so you are the only right person to write and Prof. Mohammed Said is a liar and disfranchised to reality?

Can you bring here what you had written that contradict his writtings?
If you have written and got punishment for your writtings and because Prof. Mohammed did not get punished, is that the motive for you critique to the extent of you calling him a liar?

Well if you wrote against Nyerere and got punished why now you have become big defender of Nyerere? Is it personal gains an opportunity to manipulate taking the advantage of the current political devide of the country?

Khuda Hafiz
PHP Singh.
 
Al Alama Mohamed Said njoo Ujibu tafadhali.
 
Last edited by a moderator:

Where did he say that is a right person to write, and MS should not?, you are making your own questions to lay an atomic bomb on his head?

I am waiting for you
 
Uzuri wa Prof Hirji hana muda wa kujibu akina Khuda Hafiz, au wanaojitongozesha kwa akina Aziz Bakhresa, yeye na mzee mzima!
 
Ningependa kutoa historia fupi ya kibinafsi

Mwaka 1969: Mimi, Karim Hirji, nilikuwa Mhariri Mkuu wa jarida la wanafunzi wa UDSM
liitwalo CHECHE. Tuliunga mkono siasa ya ujamaa lakini tulisema ukweli kuwa utekelezaji
wake na TANU ilikuwa mbaya sana. Wazee wa TANU walikasirika sana na Jarida letu ilpigwa
MARUFUKU.
Mwaka 1973:Niliandika makala kukosoa sera ya Mwalimu Nyerere kuhusu elimu ya kujitegemea
iliochapishwa UDSM kwenye jarida la Maji Maji Nilionyesha utekelezaji wake shuleni ilikuwa una
mapungufu mengi. Wakati ule nilikuwa Assitant Lecturer wa Mathematics. Mwalimu alikasirika
na mimi nilifukuzwa UDSM na nilipelekwa SUMBAWANGA.
Mwaka 1979: Niliandika chapter kwenye kitabu A HISTORY OF COLONIAL TANGANYIKA kuhusu
sera za wajaremani ya elimu na niligusia suala la dini pia.

Na kuna mengi zaidi. Watu wengi wana sema mambo ambayo kwa wakati ule walikaa kimya.
Mmi nili sema ukweli wazi wazi na nilipewa adhabu kali.

Ndugu Saidi mimi pia nina historia ndefu ya kuandika mambo ya social historical analysis.
Na wewe pia una historia ndefu ya kufanya hivyo. Lakini mimi sisemi kwa wengine
nyinyi mlikuwa wapi wakati wote huu.

Kuuliza swali kama hilo ni a diversionary tactic. Hai fai hata kidogo. Leo wewe na mimi
tumekutana kwenye majadiliano ya mambo muhimu kwenye nchi yetu. Tujaribu kujibu
hoja kwa hoja, wazo kwa wazo, na siyo kuuliza ULIKUWA WAPI? Kila mtu ana haki ya
kujiingiza katika mjadiliano yeyote wakati wowote.

Prof. Karim Hirji

Prof. Karim Hirji aka kfhirji,
Heshima yako Mzee wangu( kwa umri wewe ni kama Mzee wangu kabisa). Jambo moja la msingi Prof. ningependa uwe verified user hapa au uthibitishe bila shaka yoyote ni wewe unayetoa mabandiko haya. Huna haja ya kuogopa(kama unaogopa) maana hutapelekwa Sumbawanga tena(Nyerere kashakufa tayari). Nimesema hivyo sababu nachelea usije kuyakana mabandiko yako huko mbeleni , kama vile ulivyosema mwanzo hapa kwamba pepa yako haikuwa imekamika. Na Pia Prof. Hirji, unadhani hii ndo njia sahihi ya kukosoana kitaalamu(baina ya watalaam)? Nachelea pia usije adhihirika na kufedheheka Maana nafaham/tunafaham uwezo wa Al alama Mohamed Said kwenye mijadala hasa upande political history.
Shukran
 
Asante Professor kwa majibu na ufafanuzi wako mzuri sana.
 
Tulia wewe, mzee Mohammed said alikimbia kutoa majibu kwa kisingizio kwamba Prof alikuwa wapi? Sasa dunia. yote imeona nani alikuwepo kabla ya mwenzie. Wewe subiri chenga nyingine pamoja na kurudishwa kwenye mjadala, huyo MS ana uwezo mdogo sana hamjamjua tu,sema anazungumza vitu vya kiimani ili kugusa hisia ndio maana anapata attention.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wangu Nyakageni Heshima kwako.

Hawa watu ni wa kuwavumilia kwa kweli, tujaribu kwenda nao taratibu hivihivi, ingawa ni wakorofi, na huwa napata wasi wasi huenda wana team kabisa, maana huvamia hapa mithili ya Ngedere wa Saadani wanapoona chakula.
 
Mkuu GAUTAMA hawa wana team kabisa na lengo lao kuu ni kupinga ukristo na wala si CCM!!
Ukiangalia kwa umakini utagundua kuwa Faiza, Ritz, Punjab, Kahtaan ni makada kindakindaki wa CCM na wapinga UKAWA
Ritz alishangilia siku sheikh Ponda aliposwekwa ndani kwa kuwa anaichachafya serikali pendwa ya CCM
 
Ahsante kwa Elimu hii Mkuu, maana huwa nawashangaa sana hawa watu
 
Last edited by a moderator:
Ningependa kutoa historia fupi ya kibinafsi

Mwaka 1969: Mimi, Karim Hirji, nilikuwa Mhariri Mkuu wa jarida la wanafunzi wa UDSM
liitwalo CHECHE. Tuliunga mkono siasa ya ujamaa lakini tulisema ukweli kuwa utekelezaji
wake na TANU ilikuwa mbaya sana. Wazee wa TANU walikasirika sana na Jarida letu ilpigwa
MARUFUKU.
Mwaka 1973:Niliandika makala kukosoa sera ya Mwalimu Nyerere kuhusu elimu ya kujitegemea
iliochapishwa UDSM kwenye jarida la Maji Maji Nilionyesha utekelezaji wake shuleni ilikuwa una
mapungufu mengi. Wakati ule nilikuwa Assitant Lecturer wa Mathematics. Mwalimu alikasirika
na mimi nilifukuzwa UDSM na nilipelekwa SUMBAWANGA.
Mwaka 1979: Niliandika chapter kwenye kitabu A HISTORY OF COLONIAL TANGANYIKA kuhusu
sera za wajaremani ya elimu na niligusia suala la dini pia.

Na kuna mengi zaidi. Watu wengi wana sema mambo ambayo kwa wakati ule walikaa kimya.
Mmi nili sema ukweli wazi wazi na nilipewa adhabu kali.

Ndugu Saidi mimi pia nina historia ndefu ya kuandika mambo ya social historical analysis.
Na wewe pia una historia ndefu ya kufanya hivyo. Lakini mimi sisemi kwa wengine
nyinyi mlikuwa wapi wakati wote huu.

Kuuliza swali kama hilo ni a diversionary tactic. Hai fai hata kidogo. Leo wewe na mimi
tumekutana kwenye majadiliano ya mambo muhimu kwenye nchi yetu. Tujaribu kujibu
hoja kwa hoja, wazo kwa wazo, na siyo kuuliza ULIKUWA WAPI? Kila mtu ana haki ya
kujiingiza katika mjadiliano yeyote wakati wowote.

Prof. Karim Hirji

Prof Hirji,

Ahsantum kwa kujipambanua japo kwa kifupi. Ingawa mpaka sasa bado sijapata taarifa zako ingawa wote tulipita hapo UDSM mwishoni mwa miaka ya 70's na wengine tulikuwa washiriki wazuri wa Mzee Punch.

Na nimefurahi kujipambanua kuwa wewe ni Mtaalam wa Hisabati na SIO History. Hivyo nakushauri sana HISHIMU TAALUM. Kama ingekuwa Historia ni Rahisi na wewe basi ungesomea hicho. WASOMI HUWA TUNAHISHIMIANA KWA TAALUMA ZETU.

Lakin kama umesoma vitabu vya Al Akhiy Mohamed Said utaona kwenye Utangulizi wa vitabu vyake amebainisha wazi kuwa yeye anaelezea mchango wa wazazi wake (wazee wa kariakoo) ambao umesahaulika na kutowekwa katika historia ya Tgk katika kupigania uhuru wa Nchi yenu.

Sasa ukichambua kwa kina utatazama Je Mohamed Said alikuwa akiishi maeneo gani na katika mazingira gani. Utaona wazi kuwa ameishi maeneo ya Uislam na alililewa kiislam na wala hajalificha hilo.

Na hata ukipitia katika maandiko yake anasema wazi amesimuliwa moja kwa moja kutoka kwa wazee hao na hata alipokuwa mdogo kabla kupata fikra za kuanza kuandika historia hizo alikuwa anawafahamu kwa kuwaona kwa namna moja au nyingine wazee hao.

Kama ukisoma kwa kina amegusia hata baadhwi ya wa Kristo kama akina Rupia, Nyerere na wengineo lakin hao wameingia mara baada ya kukutana katika harakati na wazee wake na hilo kitaaluma linarukhusiwa. Kwani amejikita katika kuandika mchango wa wazee wake uliosahauliwa na nchi IMA kwa bakhati mbaya au kwa makusudi. Lakin yeye amewaenzi kwa kuandika mchango wao ambao wengine mumeona baada ya miaka 50 ya kusahaulika wengine wamekumbukwa na hata kupewa Nishani na nchi.

Sasa unaposema UDINI , Prof hapa ndipo ninapokushangaa kwani umeanza kusoma page number 1 na kuendelea BILA KUSOMA Utangulizi ambao ndio mwongozo wa kitabu chochote Duniyani.

Kama utasoma vitabu page by page nafikiri utajifunza mengi saana na kuona kwanini Historia aliyoandika inapendwa na wasomi na kutumiwa na Universities mbalimbali duniyani ukilenganisha na ile iliyoandika kivukoni na Akina Kiwanuka.

Nakushauri rudi tena darsani au muombe akudarsishe kidogo kukhusu historia alizoandika na wewe ujibu suala la kwanini wazee hao kwa wingi wao na mchango wao mkubwa wakasahaulika na kuwekwa akina Rashid Kawawa ambao waliingia wakt chakula kimeiva.

Nonsense!
 
Nonsense!

Wasomi haturukhusiwi kusema Nonsense bila kwenda mbale zaidi na kusema Sense ni ipi.

Kuwa msomi kiduchu japo kwa kwenda hatua moja zaidi na kuweka bayana zako.

Ndio yale yale Al Akhiy Mohamed said Kaandika kitabu mnasema kaandika uzushi, Mkielezwa andikeni ukweli mnagwaya.

Pole sana

Back
Top Bottom