Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

Sibonike,
Nami sina uhakika unaingiaje kwenye swali ambalo hukuulizwa wewe.
Ingependeza tukamsikia mwenyewe Prof. Hirji.

Ikiwa wewe unaona kuwa Prof. Hirji kanijibu ukweli ni kuwa bado hajajibu
yote.

Sheikh Mohamed. Prof Hirji is a very wise person. baada ya yeye kutoa balanced view yake kama "analyst", hawezi kujiingiza kwenye huu "utoto" (ashakum si matusi) wa kubishana humu jamvini.

hilo kawaachia ninyi "zealots" wa Kikristo na Kiislamu.
 
a graduate student of Mohamed Said, bado course moja hujafaulu! Ya kupachika mapicha, hebu tupia sheikh

Nyakageni,
Nakuongezea picha nyingine nikiwa Zentrum Moderner Orient (ZMO),
Berlin.

Hapo nipo ofisini kwangu namaliza sura za mwisho za kitabu.

Picha ya kwanza iilikuwa aliyonipiga Mzee Shebe nikiwa na umri wa
mwaka mmoja au miwili.

Picha ya pili niliweka nikiwa UN Geneva, ya tatu Capitol Hill Washington
picha ya nne na Maalim wangu Prof. Mazrui Nile Hilton Kampala na hii
ya tano ZMO, Berlin.

Ikiwa mnachonyotwa na hasad basi nataka mzidi kuumia zaidi.

Kila mtu anaweza kufanya kebehi.

SAM_2016.JPG
 
Sheikh Mohamed. Prof Hirji is a very wise person. baada ya yeye kutoa balanced view yake kama "analyst", hawezi kujiingiza kwenye huu "utoto" (ashakum si matusi) wa kubishana humu jamvini.

hilo kawaachia ninyi "zealots" wa Kikristo na Kiislamu.

M-Mbabe,
Nimekusoma na ninaheshimu mawazo yako.
 
Gramophone inapiga mziki sawa sawa, tatizo ni wewe hutaki kueleza mziki huo una maana gani.

Unachotaka ni watu waondoke katika ukweli, tusonge mbele ukiendeleza upotoshaji kwa kutumia takwimu feki, duni, dhalilli zisizokidhi hata kuitwa takwimu

Huwezi kusimama kutetea takwimu zako, halafu unataka umma uamini kile unachosema.
Unataka twende mbele tu, huko ni kubariki upotoshaji wako.

Ulimataka prof, amekuja ukakimbia. Umetuita tumekuja hutaki kukabiliana na hoja. Unachotaka ni watu kumeza tu. Wewe ni fundi wa majina ya watu, kitaaluma lipo tatizo..

Unapewa namba hujui zinazungumzia nini! Na bila aibu unaendelea kuzitumia!
Hatuondoki hadi ueleze umma kuhusu haya:

Mohamed Said
Table 2

Maswaili ni haya: Hivi'inasemekana' linaweza kuwa neno la mtafiti na la kiutafiti

Pili, hivi Mohamed anawezaje kupata data za maelfu ya watu UDSM ashindwe kupatadata za wabunge 300 hadi aseme inasemekana

Tatu, kama tutakubaliana na 'inasemekana, hivi wakatoliki si Wakristo nakwanini wawe kundi jingine na kusiwe na Shia, Ismailia, kadiani n.k. katikamakundi tofauti ya waislam

Nne, kama tutakubali chanzo ni UDSM , je hiyo miaka iliyorukwa haikuwa nausajili UDSM na kwanini.
Conclusion inawezaje kufikiwa tukiwa na data ambazo hazijitoshelezi,hazijielezi na wala hazielezeki

Tano,Mohamed kasema hizi si 'official statistics''
a)je kuna tofauti gani na neno hypothetical alilotumia prof Hiriji na kwaniniiwe nongwa kwa Prof na si Mohamed
b)Mohamed anawezaje kufikia hitimisho kwa kutumia data zisizo official nakusema huo ni utafiti

Sita, Kwanini utafiti wake haukwenda kufanyika katika faculty za Agriculture,Vertenary medicine na Medicine.

Je, huko hali ikoje na sababu gani zilizopekea yeye kutokwenda huko, ikiwahitimisho lake ni takwimu za UDSM kwa ujumla

Saba, Punjab kasema Daily news ni propaganda machine ya serikali.
Kama ni hivyo, Mohamed anawezaje kwenda kuchukua data kutoka chanzo ambacho nipropaganda?

Je, mtu anaweza kuchukua takwimu za kisomi kutoka gazeti la Uwazi, RisasiJumamosi, Tanzania Daima au Nipashe, akazifanyia kazi na kutoa hitimisho lakisomi?

Saba, Punjab kasema Daily news propaganda machine ya serikali.

Did you read well what I wrote?

Go to my post and read again Nguruvi3, did I use "Propaganda" or "Propagating" from Propagate, Propagation:

Main Entry: propagate
Part of Speech: verb
Definition: breed, reproduce
Synonyms: bear, beget, engender, father, fecundate, fertilize, generate, grow, impregnate, increase, inseminate, make pregnant, mother, multiply, originate, procreate, produce, proliferate, raise, sire
Antonyms: destroy, kill

Main Entry: propagation
Part of Speech: noun
Definition: procreation
Synonyms: breeding, generation, multiplication, producing, proliferation, reproduction

Main Entry: propaganda
Part of Speech: noun
Definition: information that is designed to mislead or persuade
Synonyms: advertising, agitprop, announcement, brainwashing, disinformation, doctrine, evangelism, handout, hogwash, hype*, implantation, inculcation, indoctrination, newspeak, promotion, promulgation, proselytism, publication, publicity
Antonyms: truth

Omg! there it goes, resort to teaching!!
 
Last edited by a moderator:
Nyakageni,
Nadhani unachokusudia kwa kuniita, "Mujadid," sicho.
Pitia tena kamusi yako.

Mengine namwachia Maalim Faiza.

Hata wale wasionipenda hawajapata hata kwa mbali kunifikiria mimi ni
"mpumbavu."

kukuita "mujadid" nimekupa sifa kubwa ya mtu unayehuisha uislam Tanzania, na nimetumia quotation marks kwa maana huna sifa hizo ila nimekukuza

sijawahi na sitegemei kukuita mpumbavu kamwe. Nilinukuu kifungu cha Biblia kumjibu kahtaan na si wewe baada ya yeye kunukuu Biblia kitabu cha Mithali

wewe jibu maswali saba ya Nguruvi3 na hoja za prof Hirji
 
wewe jibu maswali saba ya Nguruvi3 na hoja za prof Hirji na kama umeshindwa kiri kuliko kuleta DISPLACEMENT DEFENSE MECHANISM

shikamoo mujadid Mohamed Said
 
Last edited by a moderator:
Nyakageni,
Nakuongezea picha nyingine nikiwa Zentrum Moderner Orient (ZMO),
Berlin.

Hapo nipo ofisini kwangu namaliza sura za mwisho za kitabu.

Picha ya kwanza iilikuwa aliyonipiga Mzee Shebe nikiwa na umri wa
mwaka mmoja au miwili.

Picha ya pili niliweka nikiwa UN Geneva, ya tatu Capitol Hill Washington
picha ya nne na Maalim wangu Prof. Mazrui Nile Hilton Kampala na hii
ya tano ZMO, Berlin.

Ikiwa mnachonyotwa na hasad basi nataka mzidi kuumia zaidi.

Kila mtu anaweza kufanya kebehi.

SAM_2016.JPG

Your pics are useless to me and destined to trash bin!

nimeona picha za watu wengi sana wakiwa na suti, hijabu au hata uchi

jibu hoja za Nguruvi3 na Prof Hirji acha kuhororoja na kujipamba na mipicha ya Ulaya. Weka picha za HIJA AU UMRA
 
kukuita "mujadid" nimekupa sifa kubwa ya mtu unayehuisha uislam Tanzania, na nimetumia quotation marks kwa maana huna sifa hizo ila nimekukuza

sijawahi na sitegemei kukuita mpumbavu kamwe. Nilinukuu kifungu cha Biblia kumjibu kahtaan na si wewe baada ya yeye kunukuu Biblia kitabu cha Mithali

wewe jibu maswali saba ya Nguruvi3 na hoja za prof Hirji

Nyakageni,
Hapa tulipofikishana ndugu yangu panatosha.
Kuanzia sasa mimi sitajibu chochote kutoka kwako.

Nakusihi uheshimu msimamo wangu.
Picha hiyo naingia hoteli Makka tayari kwa ibada ya hijja.

001%2B%282%29.jpg
 
Wanamajlis,
Baadhi yetu wameghadhibika.

Ukiwa na ghadhabu huwezi kufikiri vyema.

Matokeo yake ni kupotea kwa adabu.

Ninachosoma ni maneno ya watu ambao vifua vyao vimejaa chuki.

Hii inaondoa murua.

wewe ndiyo umefura kwa mihasira ya kushindwa kujibu maswali ya Nguruvi3 na hoja za Prof Hirji

Data zako zime backfire!

hatuandiki historia kwa kutumia EMOTIONAL QUOTIENT (E.Q.) bali INTELLIGENCE QUOTIENT (I. Q.)
 
Nyakageni,
Hapa tulipofikishana ndugu yangu panatosha.
Kuanzia sasa mimi sitajibu chochote kutoka kwako.

Nakusihi uheshimu msimamo wangu.

Kwani toka mjadala umeanza kuna uliyemjibu? You have failed to convince sasa una confuse

na sikuachi ng'ooo
 
Your pics are useless to me and destined to trash bin!

nimeona picha za watu wengi sana wakiwa na suti, hijabu au hata uchi

jibu hoja za Nguruvi3 na Prof Hirji acha kuhororoja na kujipamba na mipicha ya Ulaya. Weka picha za HIJA AU UMRA
Inabindi Ustaadh aende likizo japo ya majuma mawili alafu ndio arudi japo kujibu hoja za Prof.
Hapa hata mtu akilileta picha aliyopiga akiwa mwezini bila kutolea ufafanuzi makini hizi hoja italeta mashaka ya kazi zote za uandishi alizozifanya, ikiwezekana tuziondoe kwenye mashelf kuepusha upotoshaji wa watafuta maarifa wasio na hatia!
 
wewe ndiyo umefura kwa mihasira ya kushindwa kujibu maswali ya Nguruvi3 na hoja za Prof Hirji

Data zako zime backfire!

hatuandiki historia kwa kutumia EMOTIONAL QUOTIENT (E.Q.) bali INTELLIGENCE QUOTIENT (I. Q.)

Mtoto wa mzazi mmoja.
Naona unahara ovyo tu kwa sababu umejificha nyuma ya hicho kisimu chako cha mchina.
Hivi nyie wagalatia lini mtaweza kuwa na Busara za kujadili na wazee wenye umri sawa na baba zenu japo kuwa wewe babako humtambui?

Ile laana ya asili bado inawaandama mpaka leo 2015!?
Duhh!
Laanatullah kelbu wahed.
 
Nyakageni,
Hapa tulipofikishana ndugu yangu panatosha.
Kuanzia sasa mimi sitajibu chochote kutoka kwako.

Nakusihi uheshimu msimamo wangu.
Picha hiyo naingia hoteli Makka tayari kwa ibada ya hijja.

001%2B%282%29.jpg

hapa sawa, kuanzia sasa weka picha za hijja na umra na si picha za nchi za "makafiri" za Ulaya & Marekani
 
Sheikh Mohamed. Prof Hirji is a very wise person. baada ya yeye kutoa balanced view yake kama "analyst", hawezi kujiingiza kwenye huu "utoto" (ashakum si matusi) wa kubishana humu jamvini.

hilo kawaachia ninyi "zealots" wa Kikristo na Kiislamu.

Kutokana na ideology background yake, yeye Bwana Hirji Fk hawezi/hathubutu hata siku moja kuwa balanced,proportional and/or impartial/objective kwenye views zake za aina yoyote ile! Hata shughuli zake nyingi za statistics pia zina utata kadhaa!...labda kwa wale wasomfahamu uzuri ndo ati watapata/wanapata dhiki ya kutambua nini khasa dhamira ya ile critique yake na amekusudia kuwakilisha interest amma opinion ya group/s zipi anazokhis yakua anaziwakilisha na kujiona yeye ndoo ile "mouthpiece"...critique yake kama umeibaini, basi utaona yakua imejazana ile loads of sarcasms and satire against his fellow Scholar Dr Said!? Daah!

To put it into context, I think it fair to say that Dr Hirjis' sense of judgement has been coloured by both...I mean his social and political ideology.

Nakuhakikishia yakua, hata yeye Dr Hirji anafahamu fika yakua mojawapo ya sababu kubwa za kumfanza ashindwe kua-verified user na kungia hapa mnakashani japo temporarily...ni yakua anakwepa na kuogopa masuali magumu dhidi ya zile critique zake dhaifu...ninamaanisha zoote, yaani ile ya awali alojaribu kuikana na hiyo aloita ati ndo "full version"!? Daah!

Ahsanta!
 
MS hii mada hujaitendea haki........vijana wako intellectual debate hawawezi...wameamua kutukana wagalatia....cha muhimu ungejibu hola za Prof. Hirji. To be honest MS I feel sad kwamba you are putting yourself in the same league na Hawa vijana wako ambao wao kwao........matusi ndo utaratibu wao.

MS redeem yourself!
 
Masanja, you redeem your friends first if your friends did not started the use of words like Upuuzi and Mpumbavu the others would not have answered in kind.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom