Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

Mzee Muddy hawezi kuwazuia vijana wake wasitukane.
Inawezekana hafahamu kwamba vijana wake wanaandika lugha chafu- labda kaizoea na yeye.
Au inawezekana, there is no harm ilmradi tu wanaotukanwa sio wale wanaom-support.
Ama inawezekana haipendezi kwake kuwakanya supporters wake.
Yuko hivi kwenye minakasha mingi ya hapa JF. Hata hivyo, matusi yao yatapelekea thread hii kufungwa tu.
Nanren, who will stop the CDM guys who have matusi against The Prophet Muhammad PBUH is it Mbowe?
 
Last edited by a moderator:
Mzee Muddy hawezi kuwazuia vijana wake wasitukane.
Inawezekana hafahamu kwamba vijana wake wanaandika lugha chafu- labda kaizoea na yeye.
Au inawezekana, there is no harm ilmradi tu wanaotukanwa sio wale wanaom-support.
Ama inawezekana haipendezi kwake kuwakanya supporters wake.
Yuko hivi kwenye minakasha mingi ya hapa JF. Hata hivyo, matusi yao yatapelekea thread hii kufungwa tu.
Nijuavyo mimi alumni wa madrasa sio watu wa matusi-lakini hapa JF nimeshangaa sana
 
Mzee Muddy hawezi kuwazuia vijana wake wasitukane.
Inawezekana hafahamu kwamba vijana wake wanaandika lugha chafu- labda kaizoea na yeye.
Au inawezekana, there is no harm ilmradi tu wanaotukanwa sio wale wanaom-support.
Ama inawezekana haipendezi kwake kuwakanya supporters wake.
Yuko hivi kwenye minakasha mingi ya hapa JF. Hata hivyo, matusi yao yatapelekea thread hii kufungwa tu.
Usiwe mnafiki unapotaka kuelezea haki wewe hauoni matusi wanayotukanwa Waislam au unafurahi sababu wewe ni Mkirsto, Mohamed Said ajaleta mtu humu JF kila mtu kaja JF peke yake unapompa lawana nikumuonea yeye mwenyewe anatukanwa sema ni mvumilivu.
 
Usiwe mnafiki unapotaka kuelezea haki wewe hauoni matusi wanayotukanwa Waislam au unafurahi sababu wewe ni Mkirsto, Mohamed Said ajaleta mtu humu JF kila mtu kaja JF peke yake unapompa lawana nikumuonea yeye mwenyewe anatukanwa sema ni mvumilivu.

Nimekusoma.
 
Nanren, who will stop the CDM guys who have matusi against The Prophet Muhammad PBUH is it Mbowe?

And how can you be sure that whoever insults The Prophet is a CDM guy? You are making the same mistake as that of Mohamed Said who assumes that anyone with arabic name is a muslim and anyone with English/western name is a Roman catholic!
 
Last edited by a moderator:
Nijuavyo mimi alumni wa madrasa sio watu wa matusi-lakini hapa JF nimeshangaa sana

Hata mimi nimekuja kujulia hapa, kuwa baadhi ya waliopita madrasa wana lugha za namna hii. Niliokua nao na ninaoishi nao wako tofauti kabisa.
 
Heshima kwako mkuu,mimi nina maswali kidogo,nimesoma mada zako nyingi,umejaribu kuonyesha kwamba waislam katika nchi hii wanabaguliwa sana katika nyanja mbalimbali,yaani kuna ubaguzi wa kitaasisi,kiasi kwamba kwa kijana wa kiislam kuweza kupenya ni kufanikiwa maishani ni vigumu sana,sasa swali langu,ni kwamba nchi hii imeishatawaliwa na marais waislam wawili,sasa kwanini hawaubadili mfumo huo? Au kuna nguvu nyingine kutoka nje ambayo inawazuia,kama Marekani au nchi za ulaya,CIA,MOSSAD nk,na kwanini haya mambo hayawekwi wazi kupitia radio tv,ili watz tuweze kujua,na kurekebisha kama kuna sehemu ya jamii imekuwa ikibaguliwa kiasi hicho

Juan Emmanuel,
Kuwa na marais Waislam si ufunguo wa tatizo.

Tatizo ni kuwa hakuna rais Muislam au Mkristo anaekubali kuwa nchi yetu ina
tatizo la udini.

Hili ni suala nyeti kupita kiasi.

Ikiwa itakubalika kuwa kuna udini kwanza ni lazima iwe Waislam ndiyo
wanaobaguliwa.

Ikiwa hivyo lazima ijulikane ubaguzi huu umeanza lini na nani alisimamia
ubaguzi huu.

Hapo ndipo panapotisha.
Kwa ajili hii basi hakuna aliyekuwa tayari kumfunga paka kengele.

Prof.Hamza Njozi aliandika kitabu kuonyesha ubaguzi dhidi ya Waislam kupitia
kitabu chake, "Mwembechai Killings..."

Yaliyokuwa ndani ya kitabu na ni ukweli mtupu ulitisha serikali.
Kitabu kikapigwa marufuku.

Ukipenda unaweza kukisoma kitabu hicho mtandaoni.
Ukikutwa na kitabu hicho utafunguliwa kosa la jinai.
 
Juan Emmanuel,
Kuwa na marais Waislam si ufunguo wa tatizo.

Tatizo ni kuwa hakuna rais Muislam au Mkristo anaekubali kuwa nchi yetu ina
tatizo la udini.

Hili ni suala nyeti kupita kiasi.

Ikiwa itakubalika kuwa kuna udini kwanza ni lazima iwe Waislam ndiyo
wanaobaguliwa.

Ikiwa hivyo lazima ijulikane ubaguzi huu umeanza lini na nani alisimamia
ubaguzi huu.

Hapo ndipo panapotisha.
Kwa ajili hii basi hakuna aliyekuwa tayari kumfunga paka kengele.

Prof.Hamza Njozi aliandika kitabu kuonyesha ubaguzi dhidi ya Waislam kupitia
kitabu chake, "Mwembechai Killings..."

Yaliyokuwa ndani ya kitabu na ni ukweli mtupu ulitisha serikali.
Kitabu kikapigwa marufuku.

Ukipenda unaweza kukisoma kitabu hicho mtandaoni.
Ukikutwa na kitabu hicho utafunguliwa kosa la jinai.

Mohamed Said, naona kama umekwepa swali uliloulizwa! Naomba nami niulize swali.
Inasemekana BAKWATA ilianzishwa na Nyerere kwa malengo yake binafsi, kama ndivyo kwanini basi BAKWATA isifutiliwe mbali na kuunda chombo kingine chenye kulinda na kutetea masuala muhimu ya ndugu zetu Waislam ktk utawala wa Mzee Ruksa? Aidha unasemaje ktk utawala huu wa awamu ya nne?
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Said, naona kama umekwepa swali uliloulizwa! Naomba nami niulize swali.
Inasemekana BAKWATA ilianzishwa na Nyerere kwa malengo yake binafsi, kama ndivyo kwanini basi BAKWATA isifutiliwe mbali na kuunda chombo kingine chenye kulinda na kutetea masuala muhimu ya ndugu zetu Waislam ktk utawala wa Mzee Ruksa? Aidha unasemaje ktk utawala huu wa awamu ya nne?

Patience,
Mimi sina sababu ya kukwepa swali kwani hapa mimi sipo ili nishinde mjadala.
Mimi nipo hapa ili nielezeze ukweli.

Huwezi kuifuta BAKWATA.
Tumejaribu hilo siku za nyuma.

Mwaka wa 1992 vijana walivamia ofisi za BAKWATA na kuichukua kwa nguvu.
Serikali iliingilia kati na viongozi wa BAKWATA wakarudishwa madarakani.

Hili si suala la kuwa na rais Muislam ni suala la kwanza ikubalike lipo tatizo.
Hapo ndipo kwa kuanzia.

Inawezekana kwa kuwa wewe si Muislam ukawa unashangazwa na mengi kwa
kuwa unaona inawezekana Waislam kufanya hili na lile.

Ukweli ni kinyume kabisa.

Kuna mfumo ndani ya serikali ambao una uwezo wa kuzuia chochote chenye
manufaa kwa Waislam.

Nimeshatoa mifano mingi hapa lakini ni bahati mbaya kuwa hamuizingatii.
Jiulize ni kitu gani kilisababisha kitabu cha Hamza Njozi kipigwe marufuku?

Umekisoma kitabu chenyewe?

Umesoma kitabu changu na kuona niliyoeleza ndani kwenye "Part Three:?
Conspiracy Against Islam."
 
Patience,
Hebu soma haya kutoka, "Christian Hegemony and the Rise of Muslim
Militancy in Tanzania":

The Second Muslim Crisis [1] and the Formation of the Supreme Council of Islamic Organisations and Institutions of Tanzania (Baraza Kuu)

By 1993 BAKWATA was literally dead. Its decision to appease the government and to distance itself from each and every Muslims issue made it irrelevant. Yet its leadership had the audacity to blame the government that it had not supported it by allowing other independent organisations to exist. On 17 April, 1991 during an Idd Baraza at Arnautoglo Hall, Dar es Salaam President Mwinyi was invited to the occasion by BAKWATA as a guest of honour. In his speech to welcome the president, the Vice-Chairman of BAKWATA, Suleiman Hegga accused the government of indecision in hesitating to curb Muslim groups which in his views were undermining BAKWATA. Hegga's speech was in fact a lament to the government that it had withdrawn its support to a long time ally in face of opposition from a common foe.[2] It was not that the government had abandoned BAKWATA. Not at all the fact of the matter was that the highest seat of power in the country was no longer in the hand of the Church. That privileged position could no longer be used against Muslims. That was the first reason, the second reason was that Muslims were now organising more freely because the anchor which used to occupy the highest seat in the country had vacated. There was a Muslim president and the Christian Lobby was now working from outside and that had emasculated it. It was no longer possible for the Church to conspire with a Muslim president against fellow Muslim.

In his reply President Mwinyi calmly told the BAKWATA leadership to stop complaining and advised them to convene a meeting of all Muslim organisations to discuss whatever differences BAKWATA might be having with Muslims they claim to represent. This was unprecedented. The government had never before acknowledged that there were fundamental differences between the Muslim umma and BAKWATA. This advice by the government was ignored by BAKWATA. What BAKWATA envisaged was for the government to use its powers to effect a crackdown of those independent Muslims organisations to enable BAKWATA enjoy centre stage in Muslims affairs which it had been enjoying for many years during Nyerere's rule. There was a time Muslims were caught in a quagmire of trying unsuccessful to try to unseat BAKWATA. This consumed a lot of time, resources and energy and at the end of the day there was nothing to show. But Warsha had shown Muslims the way, that is, the only way to get out of that abyss was to form organisations however crude they were and the only way forward was for each organisation in its locality to try and help Muslims in its own way. As these Muslims became engaged in various activities from building simple madras to providing tuition to school children BAKWATA increasingly became redundant and hence the statement by BAKWATA that the government was allowing other Muslim organisations to "meddle" into their exclusive zone. It was a case of who pay the piper chooses the song.

BAKWATA had nothing to show. It was now obvious that BAKWATA did not command support nor respect of Muslims. It did not have a competent leadership in terms of education and experience to administer such an organisation. BAKWATA did not have a single graduate in its administrative machinery. It had become the norm rather than the exception that in order for a Muslim to be accepted in BAKWATA his education has to be mediocre. Since Muslims were supportive to these independent organisation it was felt that it was high time for these organisations to manifest themselves and take-over the leadership from BAKWATA for the interest of Muslims and Islam. This it was felt was important and necessary in order to formalise and confirm the status of these many organisations as true representatives of Muslims in Tanzania.

The only organisation thought fit to co-ordinate all those Muslim organisations and convene a meeting to discuss the future of Islam in Tanzania was the Dar es Salaam University Muslim Trusteeship (DUMT). DUMT convened a meeting in which all Muslim organisations based in Dar es Salaam including BAKWATA were invited. The agenda of the meeting was how to solve the leadership crisis in BAKWATA. The meeting was held at the University of Dar es Salaam and was chaired by Tewa Said Tewa, TANU founder member, minister in the first independence cabinet and former chairman of the EAMWS.[3] BAKWATA refused to attend this meeting. Several meting were held at the university under the chairmanship of DUMT between July and September, 1991. Emissaries were sent to the regions to consult with the independent Muslim leadership in mosques on the possibility of convening a national Muslim conference to debate on the future of Islam in Tanzania. The responses from the regions were very encouraging. BAKWATA tried its best to sabotage the conference. It sent its own emissaries to the region to try to persuade Muslims not to attend the conference. It also sent a letter to the government to ask for its intervention to stop the conference. But times had changed the government was now confronted by a people it could hardly identify as they did not have any political office or position in the party. These were ordinary Muslims whose aim was simply to serve Allah.

On 15 September, 1991 a National Muslim Conference was held at Nkrumah Hall of Dar es Salaam University. [4] Appreciating the sensitivity of Muslim politics the select committee which was co-ordinating Muslim affairs sent each and every minutes of the meeting to the President's Office. President Mwinyi realising religious issues which required government intervention, he established a special desk of religious affairs. President Mwinyi sent Abdulrahman Kinana, Deputy Minister of Foreign Affairs and International Co-operation to open the conference. Kinana delivered a message from the government which vowed that the government would cooperate with Muslims in finding a solution to their problems so long as Muslims pursued their goal peacefully.

In the history of Muslim movement in Tanzania never before had such a huge number of Muslim activists assembled in one place. Delegates came as far as Kagera and Rukwa. All who rose to speak had nothing but condemnation to BAKWATA leadership and none was more vocal than Sheikh Kassin bin Juma. In his speech to the delegates he said he supported the new initiative to provide a strong and dependable leadership to Muslims of Tanzania but was worried with the fact that the leadership which was poised to lead Muslims comprised of the Ansars . The conference by acclamation ousted the BAKWATA from power on the ground that it did not have qualifications to lead any Muslim organisation with the exception of the Grand Mufti Sheikh Hemed bin Juma bin Hemed. A 15-man caretaker committee under Sheikh Salum Khamis, a retired civil servant was elected and given the task to prepare for general election to enable Muslims choose its own leadership freely.

The committee was to run the organisation for an interim period of three months after which a general election was to be called. Its other task was to give BAKWATA direction according to the Holy Qur'an and Sunna of the Prophet. But its most important responsibility was the amendment of the constitution passed in Iringa in 1968 and change of the official name. This had a special significance to Muslims and the organisation as a whole because the amendment of the constitution and change of name meant a break with the dark past. The BAKWATA constitution was a replica of the constitution of the then ruling party TANU. This was a slap on the face of Nyerere who had founded BAKWATA. The committee issued a statement which said that:

BAKWATA had been used to control Muslims instead of dealing with their development. As a result of this Muslims in different parts of the country had formed their own organisations to look after their religious interests. There was a lot of animosity between the council and the various organisations which effected the development of Muslims in the country.[5]

It is said that at this juncture the Christian Council of Tanzania (CCT) sent a secret delegation to the Minister of Home Affairs Augustine Mrema, a Roman Catholic to request him to use his powers to prevent the new Muslim leadership from coming to power in BAKWATA for what it feared was a strong Muslim independent leadership which will challenge Christian hegemony wherever it existed and would promote "Muslim fundamentalism." The Caretaker Committee requested a meeting with the Minister of Home Affairs and the Registrar of Societies in order to have their co-operation for a peaceful and orderly transition but all of them refused to meet the Committee. The Registrar wrote to the committee accusing it of flouting the constitution.

Meanwhile rumors were circulating in Dar es Salaam that BAKWATA leadership had asked Nyerere to intervene and use his powers to prevent the new leadership into coming to power. These rumors incensed Muslims and hostility to BAKWATA leadership was intensified to the extent that it had to be provided with security by the government. Sheikh Hemed bin Juma the Grand Mufti nor the Acting Secretary General Rajab Kundya, who was at the centre of criticism because he was married to a Christian, could freely go to their offices for fear of being physically attacked by Muslims. BAKWATA was overwhelmed by hostility from the Muslim community. Meanwhile the BAKWATA leadership under the Grand Mufti Sheikh Hemed bin Juma refused to hand over power to the popular will of Muslims. BAKWATA issued a statement which stated that the constitution of the organization protected its leadership from being ousted and therefore the leadership was still in power.[6] By the end of December signs of violent change were evident.

On 4 th January, 1992 Muslims held a meeting at the Diamond Jubilee Hall. This followed the conference held at the Nkrumah Hall in September, 1991. It was at that conference that Muslims were informed that even as they were deliberating in the hall, the committee had ordered the invasion of BAKWATA headquarters and Dar es Salaam regional office including Al Haramain School. The conference was informed that the offices have been secured and occupied. President Mwinyi intervened and called a meeting in his office between the Grand Mufti Sheikh Hemed bin Juma and his Executive Committee and the Caretaker Committee of Sheikh Salum Khamis. The Caretaker Committee told the president that it would accept nothing short of resignation of the Vice-Chairman Suleiman Hegga, a former broadcaster and that of Acting Secretary General Rajab Kundya, who was at the center of criticism and was considered a disgrace to Islam for being married to a Christian. These people the committee reiterated were not fit to lead Muslims. It was then decided to resolve the crisis on the following terms:

1. The crisis should be solved through due process of law. BAKWATA offices forcefully occupied by the committee should be opened and its officials allowed to perform their duties.
2. All executive posts in BAKWATA should be advertised to enable qualified Muslims to apply.
3. BAKWATA and Baraza Kuu should form a committee of five persons each forming a central committee of 10 members which would be required to do the following:
i. to conduct elections from grassroots level of the mosques up to national level
ii. and to prepare proposal for a new constitution.

The President ordered the two parties to solve the leadership crisis fast and peacefully and ended with a threatening note to the two parties that if they disturbed the peace the government will come very strong against them. The Committee assured the president that it would solve the Muslim crisis sensibly. While the Muslim committee fulfilled its part of the agreement, BAKWATA did not adhere to the above and refused to fulfill theirs. The Grand Mufti chose to snub President Mwinyi. On 12 February, in a live broadcast from Songea during Maulid celebrations, Sheikh Hemed bin Jumaa sneered at the efforts of the President arguing that president Mwinyi was involving himself in trying to effect changes to BAKWATA without being conversant with its history and objectives; and without knowing why it was formed by the government of Julius Nyerere in the first place.[7] This time round the slap on the face was on President Mwinyi not former president Nyerere. Failing to dislodge BAKWATA from its offices the committee decided to lodge its own application to the Registrar of Societies for registration. Muslims had come up with an innovation which would force the government to officially allow another national Muslim organization to operate and serve the Muslim community. The government sat on the application for more than a year. Meanwhile Baraza Kuu continued to operate and enjoy Muslim support. The vacuum created by BAKWATA for its non-compliance of the wishes of Muslims was ably filled by Baraza Kuu. [8] Meanwhile BAKWATA sank deep into oblivion as Muslims ignored it completely."



[1] The first Muslim crisis was in 1968 which culminated in the ban of the EAMWS by the government and creation of BAKWATA.

[2] Hotuba ya Suleiman Hega Aliyotoa Kwenye Baraza la Idi El Haj Tarehe 23 June, 1991 Mbele ya Mheshimiwa Rais.

[3] It should be beared in mind that organized effort to get support from Muslims had begun in 1987 and several meetings were held in Dar es Salaam under different venues. See minutes: Muhtasari wa Kikao cha Kamati ya Kupendekeza Muundo wa Chombo Kilichofanyika Tarehe 17/9/89 Shule ya Haramein. Contents of the minutes show that the thrust of the meeting was to forge unity among different da'awa groups and avoid duplication of efforts.

[4] The night before the meeting in an attempt to play down the Muslim National Conference the state-radio announced in its prime time news bulletin that the conference was for involving delegates from Dar es Salaam only.

[5] Daily News, 17 September, 1991.

[6] Mfanyakazi, 18 September, 1991.

[7] Part of the speech appears verbatim in An-Nuur, June, 1993, "Mufti Hemed Afichua Siri Kubwa."

[8] Baraza Kuu la Jumuiya na Tasisi za Kiislam 16 Mei, 1992 Kauli Rasmi ya Baraza Kuu, Mkutano wa Chuo Kikuu Dar es Salaam 15 Septemba 1991 na Diamond Jubilee Dar es Salaam 4 Januari, 1992.
 
Mohamed Said, kama kuna machinery ndani ya serikali ya CCM kwa nini msitoe fatwa ya kuikataa SERIKALI YA CCM? Hamna unity?
 
Last edited by a moderator:
Kikwete anachukiwa kutokana na "dini yake"

Mkuu Matola, kuna muda ninapata taabu kumuelewa huyu mzee! Analaumu `inside job' ya serikali meaning anawalaumu CCM kwani ndiyo pekee walioongoza nchi toka Adam. Lakini wafuasi wake akina Faiza, Punjab/ritz, Bill Cosby Kahtaan ni makada nguli wa CCM!!!
WHO IS HIS REAL ENEMY?
 
Back
Top Bottom