Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 22,463
- 32,987
Masanja,
Nitashukuru kama utaleta ushahidi wa maneno yako.
Nitashukuru kama utaleta ushahidi wa maneno yako.
I defer assessment of the details to historians. Instead, I assess the premises and conceptual process that generate his conclusions. I delve on methodology because
(i) the mode of reasoning he employs is commonplace today;
(ii) it also appears in race or gender themed papers;
(iii) his opponents use it too; and
(iv) an evaluation of this style of analysis is not only not undertaken but the necessity of doing it is also not appreciated. A flawed methodology compromises the validity of the conclusions drawn.
As stated by Prof. Hirji, Africa has a long way. Kama tunawategemea the so called wasomi Akina MS....to help us resolve social ills.....we are in for a long night. Very long night indeed.
hivi kweli kwa mtu yeyote worth his time darasani......si lazima aone mapungufu ya huyu msomi katika maandishi yake? When you read MS you simply find him as a very angry, agitative, man......who sees everything in the prism of Islam superiority. Haoni Jemma la Watu wenye Imani tofauti na Imani yake. It's really sad. Very sad.
Kwako wewe muedesi Takwimu uziitazo 'rasmi' ni lzm zitolewe na JOSEPH au Paulo Au Samweli Sita. Na waefeso wengine.
Zikitolewa na Athumani Au Abubakar kwako wewe na wenzako sio Takwimu Rasmi.
Ndio nikasema Siku zote kuwa Nyie wagalatia mna maradhi yaitwayo "selective Understanding".
Haya ni maradhi mabaya sana kwa mwenye kutaka kujua Ukweli.
Na Tiba yake ni Kuweka Kanisa na mfumo kristo wote Pembeni halafu kuyatazama Mambo Nje ya Box la Msalaba!
Swali linakuja,
Je! Wewe Mkanyageni na hao wagalatia wenzako Mtaweza Kufanya hivyo?
Reading thru some posts in this thread, It highlights some significant deficiencies our society has in general debating. Keeping that aside though, Prof. Hirji as asserted in the above quote is not assessing the accuracy or facts therein Said's paper but rather the premise of reasoning . It is the premise that is being questioned and Said need to respond to that first and foremost. He needs to come forward and defend the premise of his reasoning and not just keep throwing out questionable stats and quotes.
Unfortunately Said has a pattern and unquestionable trend of ducking real questions and taking things out of context. It is in such waters that one can find having some endless debate with him.
=Mohamed Said;Waliochaguliwa kuingia Dar esSalaam University 1985 hadi 1990
Year Christians Muslims
1985/86 85% 15%
1986/87 84% 16%
1988/89 82% 18%
1989/90 82% 18%
Watendaji Wizara ya Elimu 1987
Muslim Commissioners 1 Christian Commissioners 7
Muslim Directors 6 Christian Directors 31
Serikali 1987
Muslims Christians
Ministers 4 16
Deputy Ministers 4 7
Principal Secretaries 2 16
Regional Commissioners 5 15
District Commissioners 8 113
Mohamed Said
Inasemekana hivi sasa ndani ya Bunge Wakatoliki wanahodhi 85% yaviti na hiyo 15% imeachiwa Wakristo wa madhehebumengine na Waislam.
Religious Distribution University of Dar es Salaam 1971/72-1973/74
Year Muslim % Non-Muslim % Total
1969/70 17 83 100
*1970/71 - - -
1971/72 13 87 100
1972/73 14 86 100
1973/74 13 87 100
*1974/75 - - -
1975/76 15 85 100
Maswaili ni haya: Hivi'inasemekana' linaweza kuwa neno la mtafiti na la kiutafiti*1976/77 - - -
*1977/78 - - -
1978/79 14 86100
**1979/80 14 86 100
**1980/81 11 89 100
**1981/82 16 84 100
* Official Statistics not available
** Studentsselected for Faculty of Agriculture, Forestry and Veterinary Science and medicine notincluded.
Source: 1969/70-1978/79 University of Dar es Salaam Students Directory.
1979/80-1981/82 Daily News June 1979/1981
Hivi'inasemekana' linaweza kuwa neno la mtafiti na la kiutafiti
Pili, hivi Mohamed anawezaje kupata data za maelfu ya watu UDSM ashindwe kupatadata za wabunge 300 hadi aseme inasemekana
Tatu, kama tutakubaliana na 'inasemekana, hivi wakatoliki si Wakristo nakwanini wawe kundi jingine na kusiwe na Shia, Ismailia, kadiani n.k. katikamakundi tofauti ya waislam
Nne, kama tutakubali chanzo ni UDSM , je hiyo miaka iliyorukwa haikuwa nausajili UDSM na kwanini.
Conclusion inawezaje kufikiwa tukiwa na data ambazo hazijitoshelezi,hazijielezi na wala hazielezeki
Tano,Mohamed kasema hizi si 'official statistics''
a)je kuna tofauti gani na neno hypothetical alilotumia prof Hiriji na kwaniniiwe nongwa kwa Prof na si Mohamed
b)Mohamed anawezaje kufikia hitimisho kwa kutumia data zisizo official nakusema huo ni utafiti
Sita, Kwanini utafiti wake haukwenda kufanyika katika faculty za Agriculture,Vertenary medicine na Medicine.
Je, huko hali ikoje na sababu gani zilizopekea yeye kutokwenda huko, ikiwahitimisho lake ni takwimu za UDSM kwa ujumla
Saba, Punjab kasema Daily news ni propaganda machine ya serikali.
Kama ni hivyo, Mohamed anawezaje kwenda kuchukua data kutoka chanzo ambacho nipropaganda?
Je, mtu anaweza kuchukua takwimu za kisomi kutoka gazeti la Uwazi, RisasiJumamosi, Tanzania Daima au Nipashe, akazifanyia kazi na kutoa hitimisho lakisomi?
spin doctor keep spinning
Mohamed Said , bandiko lako # 921 lina matatizo makubwa. Nakuomba ulifute maana litazua jambo jingine.
Nimeangalia kabrasha langu moja ambalo Bi. Ubwa aliweka uchagoni kwa mzee Mhina, nimeona lipo tatizo la ukweli wa mambo katika hilo bandiko. Lifute !
Kuna makosa ya usahihi wa habari. Kuna habari si za kweli.
Futa, nikiombwa nilielezee hakika litakumaliza. Naomba nisiulizwe matatizo yapo wapi
Wewe kabiliana na takwimu, maana bandiko 921 lina matatizo.
Wala usizungumzie, hapa nakusitiri. Futa kabisa hilo bandiko tafadhali
Turudi kwenye takwimu zako ulizotoa nchi ikatetemeka, fafanua
Gramophone inapiga mziki sawa sawa, tatizo ni wewe hutaki kueleza mziki huo una maana gani.
Unachotaka ni watu waondoke katika ukweli, tusonge mbele ukiendeleza upotoshaji kwa kutumia takwimu feki, duni, dhalilli zisizokidhi hata kuitwa takwimu
Huwezi kusimama kutetea takwimu zako, halafu unataka umma uamini kile unachosema.
Unataka twende mbele tu, huko ni kubariki upotoshaji wako.
Ulimataka prof, amekuja ukakimbia. Umetuita tumekuja hutaki kukabiliana na hoja. Unachotaka ni watu kumeza tu. Wewe ni fundi wa majina ya watu, kitaaluma lipo tatizo..
Unapewa namba hujui zinazungumzia nini! Na bila aibu unaendelea kuzitumia!
Hatuondoki hadi ueleze umma kuhusu haya:
Mohamed Said
Table 2
Maswaili ni haya: Hivi'inasemekana' linaweza kuwa neno la mtafiti na la kiutafiti
Pili, hivi Mohamed anawezaje kupata data za maelfu ya watu UDSM ashindwe kupatadata za wabunge 300 hadi aseme inasemekana
Tatu, kama tutakubaliana na 'inasemekana, hivi wakatoliki si Wakristo nakwanini wawe kundi jingine na kusiwe na Shia, Ismailia, kadiani n.k. katikamakundi tofauti ya waislam
Nne, kama tutakubali chanzo ni UDSM , je hiyo miaka iliyorukwa haikuwa nausajili UDSM na kwanini.
Conclusion inawezaje kufikiwa tukiwa na data ambazo hazijitoshelezi,hazijielezi na wala hazielezeki
Tano,Mohamed kasema hizi si 'official statistics''
a)je kuna tofauti gani na neno hypothetical alilotumia prof Hiriji na kwaniniiwe nongwa kwa Prof na si Mohamed
b)Mohamed anawezaje kufikia hitimisho kwa kutumia data zisizo official nakusema huo ni utafiti
Sita, Kwanini utafiti wake haukwenda kufanyika katika faculty za Agriculture,Vertenary medicine na Medicine.
Je, huko hali ikoje na sababu gani zilizopekea yeye kutokwenda huko, ikiwahitimisho lake ni takwimu za UDSM kwa ujumla
Saba, Punjab kasema Daily news ni propaganda machine ya serikali.
Kama ni hivyo, Mohamed anawezaje kwenda kuchukua data kutoka chanzo ambacho nipropaganda?
Je, mtu anaweza kuchukua takwimu za kisomi kutoka gazeti la Uwazi, RisasiJumamosi, Tanzania Daima au Nipashe, akazifanyia kazi na kutoa hitimisho lakisomi?
wa kwanza kutoka ni Mohamed Said, hajajibu hoja zaidi ya kuleta ma "copy and paste"
anachofanya ni CONFUSING INSTEAD OF CONVICING
poor English
Human stomachs produce a new layer of mucus every 2 weeks to stop it digesting itself.
Source: Human useless facts
Kama hatolifuta tuwekee tu wazi huo uongo wake.Mohamed Said , bandiko lako # 921 lina matatizo makubwa. Nakuomba ulifute maana litazua jambo jingine.
Nimeangalia kabrasha langu moja ambalo Bi. Ubwa aliweka uchagoni kwa mzee Mhina, nimeona lipo tatizo la ukweli wa mambo katika hilo bandiko. Lifute !
Kuna makosa ya usahihi wa habari. Kuna habari si za kweli.
Futa, nikiombwa nilielezee hakika litakumaliza. Naomba nisiulizwe matatizo yapo wapi
Wewe kabiliana na takwimu, maana bandiko 921 lina matatizo.
Wala usizungumzie, hapa nakusitiri. Futa kabisa hilo bandiko tafadhali
Turudi kwenye takwimu zako ulizotoa nchi ikatetemeka, fafanua
Naona mnakasha unakaribia kuisha sasa Bi Mkuu Hahaha
msaidie mzee wako "mujadid" kujibu maswali saba ya Nguruvi3.
Mithali 26:5a "umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake"