Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

Thanks for the advice, I am fine with my choice.

Kuna choice na option, kuna wakati unaweza kuchaguwa option pasipo choice kama nia yako hasa ni kujumuika pamoja kuelimika na kuelimisha.

Kuna gape naiona kwenye michango yako kuna wengi wanapitwa na michango yako kwa sababu ya choice yako.

Au nikuulize swali dogo unadhani ni kwa nini JF kuna jukwaa rasmi la kingereza na linakosa wachangiaji? Je Member wengi hawajui kusoma kuelewa na kuandika kingereza?

Nina imani hata Mzee Mohamed Said angechaguwa lugha ya kingereza kama ndio lugha yake rasmi hapa JF basi hata mada zake zingekosa mvuto.

Binafsi am fine sina tatizo nakusoma vyema tu.
 
Una point nzuri sana kwenye michango yako ila kama unaweza kusoma kiswahili nina imani na kuandika unajuwa pia.

Jifunze utamaduni wa kuandika kwa kiswahili pia watanufaika wengi na michango yako. Ni ushauri tu utaki unaacha.

Hivi wewe Matola unaelewa haswa kilichoandikwa? watu wengine kwa kujishauwa, hebu mfahamishe kwa Kingereza basi.

Kuna siku mada ilikuwa ya Kingereza kuna mtu akajibu Kiswahili wewe ukajidai "English Please" au umesahau? leo kulikoni?

JF is never Boring - The Boss
 
Kuna choice na option, kuna wakati unaweza kuchaguwa option pasipo choice kama nia yako hasa ni kujumuika pamoja kuelimika na kuelimisha.

Kuna gape naiona kwenye michango yako kuna wengi wanapitwa na michango yako kwa sababu ya choice yako.

Au nikuulize swali dogo unadhani ni kwa nini JF kuna jukwaa rasmi la kingereza na linakosa wachangiaji? Je Member wengi hawajui kusoma kuelewa na kuandika kingereza?

Nina imani hata Mzee Mohamed Said angechaguwa lugha ya kingereza kama ndio lugha yake rasmi hapa JF basi hata mada zake zingekosa mvuto.

Binafsi am fine sina tatizo nakusoma vyema tu.

Ungeanza kwa kumueleza mleta mada, au unaona kaleta mada kwa Kichina?

Kama unamsoma vyema hebu mjibu kwa Kingereza basi. Hapo sasa!

Punguani Wahed.
 
Ulimi hauna mfupa, nnauhakikta hata unachokisoma hukielewi, hiyo ndiyo tofauti kubwa kati ya shule yangu na yako.

Kumbuka hilo.

Nikiendelea kubishana na wewe nitakuwa mjinga kama wewe. Nakupa pole
 
Ungeanza kwa kumueleza mleta mada, au unaona kaleta mada kwa Kichina?

Kama unamsoma vyema hebu mjibu kwa Kingereza basi. Hapo sasa!

Punguani Wahed.

F.F

Mkuu kwa heshima yako hivi unajua huyo unaebisha nae ni mshinda barabaran wa pale SHEKILANGO MLA GOMBA TUH HUYO NA MVUTA HASHISHI??

HUTAPATA LA MAANA HAPO,,NI WA KUMPUUZA NA KUMUHURUMIA TUH

WAZAZ WAKE WALIPOHAMA NA KUHAMIA KIMARA NAYEYE KAHAMA NAO,,SASA JITU ZIMA MIAKA ZAID YA 30 LINAISH KULA KULALA KWA BABA ANAWEZA VUTA TENSION ZA WATU??

teh teh teh
 
FF,
Marhabaaaaaa!

Mkuu Mzee Mohammed Said. Nina swali moja tu kwako mzee wangu. Je, unaridhika na jinsi akina FF na THE BIG SHOW wanavyojibu hoja za Prof Hirji?
Tupo tunaojifunza katika mjadala huu na tunasubiri kwa hamu kubwa hoja zako kumjibu Prof Hirji. Tafadhali mzee, tutendee haki, maana naona akina FF wao wamesoma kipengele cha maumau tu katika article nzima ya prof Hirji.
Mzee wa watu kakiri kosa na kulirekebisha publicly, lakini wao (pengine kwa kukosa cha kuongea kwenye hoja zingine) wameamua kubaki hapohapo. (kwa jinsi ninavyoufahamu uungwana wako mzee MS, sitegemei kuwa unafurahishwa na hili).
 
Jibu swaliiii,,,kisha PIGA MAGOTI..!!:heh:
Longo longo za nin sasa Mkuu??
Umeulizwa kwenye hilo jopo la hao wasomi wewe unaweza ruhusiwa hata kwenda kukaa hapo na kudumia japo chai na kahawa??
Hata uwaitor hapo huambulii,
Kuangalia kitu kwa udini kivp sasa
Ndiyo angepewa mualiko na hao wasomi waliobobea kias hicho??
Kalubandika naweee....!!aaah wacha mambo yako wewe.

kwani hilo jopo wewe unafikiria ni la wanataaluma gani? unataka kila mtu huko aliko akihudhuria warsha, semina, kongamano nk za kitaaluma akimbilie JF kujitangaza? wanajopo wenyewe wamevaa kapelo kama wako kwenye vijiwe vya kahawa; jengeni hoja za kuchalenji andiko la prof Karim Hirji siyo kutambiana mialiko, kwa taarifa yako kama ni wingi wa kuhudhuria mialiako watu aina ya Manyere ndio wanaongoza ingawa hawajivuni kama huyu aliyehudhuria nairobi halafu anataka kila mtu ajue. Tukaeni kwenye hoja ya profesa ili tuijue historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika na siyo wa kariakoo.
 
Mkuu heshima kwako, ila usitegemee kama watajkita kwenye hoja za PROF, si unaona FF anavyohangaika?
 
Mkuu Mzee Mohammed Said. Nina swali moja tu kwako mzee wangu. Je, unaridhika na jinsi akina FF na THE BIG SHOW wanavyojibu hoja za Prof Hirji?
Tupo tunaojifunza katika mjadala huu na tunasubiri kwa hamu kubwa hoja zako kumjibu Prof Hirji. Tafadhali mzee, tutendee haki, maana naona akina FF wao wamesoma kipengele cha maumau tu katika article nzima ya prof Hirji.
Mzee wa watu kakiri kosa na kulirekebisha publicly, lakini wao (pengine kwa kukosa cha kuongea kwenye hoja zingine) wameamua kubaki hapohapo. (kwa jinsi ninavyoufahamu uungwana wako mzee MS, sitegemei kuwa unafurahishwa na hili).

It takes only one word to discredit an academic paper especially the one from "Professor", can you imagine a mass who have been misled from January when that paper was first issued to date?

"Professor" mwenyewe kaja na kakubali kuwa kafanya "makosa ya kitoto" na kaomba msamaha, tena kumbuka, si mara moja, nimeona akiomba msamaha mara tatu katika post zake tatu za mwanzo. Hivi unafikiri ni jambo dogo hilo kwa "Professor"?

Hujaona mpaka post nzima #1 imebadilishwa kimya kimya bila hata indhari ya "editing". Halafu wewe unadhani FaizaFoxy anafanya mzaha hapa?

Ujuwe "Professor" ni old school, nnakuhakikishia kakosa usingizi kwa lile kosa.

Yapo na mengine nimeyaainisha nisome vizuri utayaona, na bado nnamchambuwa tartiiiibu kwa bandiko lake jipya kabisa "full version".

Chintu, ushauri wa bure; Tumia fursa na wasaa huu uliokujia ghafla kujifunza mengi sana kupitia hii mada.
 
Asante dada, Naupokea ushauri wako kwa mikono miwili na ndio maana nasubiri kwa hamu kubwa gwiji wa Historia atuweke sawa juu ya "upotoshaji" wa Prof Hirji, maana hadi sasa bado mnanifundisha la maumau na majimaji tu, nami nadhani hilo nimeshalielewa. Tupeni na mengine aliyotupotosha sasa.
 
Mkuu heshima kwako, ila usitegemee kama watajkita kwenye hoja za PROF, si unaona FF anavyohangaika?

Gautama,
FF anajibu vizuri hapana tatizo.
FF hawezi kuhangaika.

Huyo ni above average.
Tafuta habari zake.

Mashaallah...
Allah kamjalia akili na kipaji cha lugha Kizungu na Kiarabu.

Masatu Joshua,

Huyo unaemsema kavaa kapelo ni marehemu Prof. William Ochieng.
Nadhani humjui ndiyo maana ukampima kwa kivazi cha kofia.

Tafuta taarifa zake upate kumwelewa.

Kujitangaza mimi hapana...
Ili iwe nini?

Ndugu zanguni napenda nitoe ushauri.
Kabla ya kuchangia hoja angalau chukua muda wa kusoma somo.

Vinginevyo hapa utajifedhehesha.
Siku hizo yuko Prof. Google.

Nusu saa ushakuwa mjuzi.
 
Kwi kwi kwi teh teh teh, hakuna siku yenye raha kama leo.

Mimi nnahangaika? hivi unajuwa ni nani aliyegunduwa makosa mpaka "professor" kaja kuomba msamaha mara tatu tatu? na kuibadilisha kabisa nyuzi! pitia nyuzi umjuwe ni nani.

Watu (wafuasi wa "Professor") wamehangaika humu mpaka na "cadaver" za "medical school", watu wamekwenda kupekuwa makabrasha mpaka wakaja na kusema "kama hayajaliwa na panya" na bado nawasubiri, wameshindwa mpaka dakika hii ku justify simple question niliyowauliza, leo ya pili inakatika, bado nnasubiri. Halafu ni mimi huyo wakuhangaika?

Unanchekesha!
 
Asante dada, Naupokea ushauri wako kwa mikono miwili na ndio maana nasubiri kwa hamu kubwa gwiji wa Historia atuweke sawa juu ya "upotoshaji" wa Prof Hirji, maana hadi sasa bado mnanifundisha la maumau na majimaji tu, nami nadhani hilo nimeshalielewa. Tupeni na mengine aliyotupotosha sasa.

"It takes only one word to discredit an academic paper especially the one from "Professor", can you imagine a mass who have been misled from January when that paper was first issued to date?

"Professor" mwenyewe kaja na kakubali kuwa kafanya "makosa ya kitoto" na kaomba msamaha, tena kumbuka, si mara moja, nimeona akiomba msamaha mara tatu katika post zake tatu za mwanzo. Hivi unafikiri ni jambo dogo hilo kwa "Professor"?

Hujaona mpaka post nzima
#1 imebadilishwa kimya kimya bila hata indhari ya "editing". Halafu wewe unadhani FaizaFoxy anafanya mzaha hapa?

Ujuwe "Professor" ni old school, nnakuhakikishia kakosa usingizi kwa lile kosa.

Yapo na mengine nimeyaainisha nisome vizuri utayaona, na bado nnamchambuwa tartiiiibu kwa bandiko lake jipya kabisa "full version.""

Gautama,
FF anajibu vizuri hapana tatizo.
FF hawezi kuhangaika.

Huyo ni above average.
Tafuta habari zake.

Mashaallah...
Allah kamjalia akili na kipaji cha lugha Kizungu na Kiarabu.

Masatu Joshua,

Huyo unaemsema kavaa kapelo ni marehemu Prof. William Ochieng.
Nadhani humjui ndiyo maana ukampima kwa kivazi cha kofia.

Tafuta taarifa zake upate kumwelewa.

Kujitangaza mimi hapana...
Ili iwe nini?

Ndugu zanguni napenda nitoe ushauri.
Kabla ya kuchangia hoja angalau chukua muda wa kusoma somo.

Vinginevyo hapa utajifedhehesha.
Siku hizo yuko Prof. Google.

Nusu saa ushakuwa mjuzi.

teh teh teh

Mudeeer hawa wasomi wetu wamesomea mambo ya MKOMBOZI BANK tuh wallahi teh teh teh

Si unaona sasa??

ETI ANAMDHARAU PROFESA OCHIENG' KISA TUH KAVAA KAPELO??

ha ha ha ha

Nakusoma sana Mwalimu wangu.

Kama kawaida yetu TUMESHAWEKA KAMBI.
 
Nilikuwa nataka kuandika Maji Maji ni kaandika Mau Mau samahani kosa la kitoto.

Aaaah Profesa...!!acha bana mambo yako banaa...

WEE PROFESA MZIMA UNAOMBA MSAMAHA KWA KUANDIKA UTOTO KWELI??

SASA WELEDI UKO WAPI??

PROFESA MZIMA UNAANDIKAJE UTOTO THEN UKATOKEA MBELE ZA WATU NA KUITANGAZA KUWA NI PAPER??

HUU UTOTO HUU NDIYO UNAWAGHARIM MAPROFESA KAMA NYINYI NA KINA TIBAIJUKA...

Mi samahan yako siipokei wala nin

SAMAHAN HIYO MUOMBE MWENYEWE MUHUSIKA MTAALAM Mohamed Said uliyemwekea maneno mdomoni mwake

SIYO SISI...

:heh: :heh: :rockon:
 
Last edited by a moderator:
Gautama,
FF anajibu vizuri hapana tatizo.
FF hawezi kuhangaika.

Huyo ni above average.
Tafuta habari zake.

Mashaallah...
Allah kamjalia akili na kipaji cha lugha Kizungu na Kiarabu.

Masatu Joshua,

Huyo unaemsema kavaa kapelo ni marehemu Prof. William Ochieng.
Nadhani humjui ndiyo maana ukampima kwa kivazi cha kofia.

Tafuta taarifa zake upate kumwelewa.

Kujitangaza mimi hapana...
Ili iwe nini?

Ndugu zanguni napenda nitoe ushauri.
Kabla ya kuchangia hoja angalau chukua muda wa kusoma somo.

Vinginevyo hapa utajifedhehesha.
Siku hizo yuko Prof. Google.

Nusu saa ushakuwa mjuzi.

Unaongea mno Mohamed Said, sasa ni muda uzijibu hoja za Hirji,
FF hana lolote amekimbia swali langu kurasa za nyuma kidogo,
naweza tumia maneno yake mwenyewe kwamba kwa sasa anahororoja tu.
 
Last edited by a moderator:
Asante dada, Naupokea ushauri wako kwa mikono miwili na ndio maana nasubiri kwa hamu kubwa gwiji wa Historia atuweke sawa juu ya "upotoshaji" wa Prof Hirji, maana hadi sasa bado mnanifundisha la maumau na majimaji tu, nami nadhani hilo nimeshalielewa. Tupeni na mengine aliyotupotosha sasa.

Nakuomba pitia mada kuna sehemu nyingi sana nimeongelea kuhusu "hypothetically...Data..." aka Data za kufikirika, halafu naomba uniletee academic paper yoyote ya history yenye "hypothetical data" na ukipitia vizuri utaona argument yangu si "hypothetical data" pekee bali hypothetical statistics, imaginary "four people" na imaginary answers.

Hayo yote hujayaona?
 
Back
Top Bottom