Plot4Sale Viwanja vya ufukweni vinauzwa katika mradi wa Kaole Beach Plots, Bagamoyo

Jul 26, 2022
34
12
🏖️ Kaole Beach Plots Project!

Je, Unataka kuwa jirani na bahari? Mradi wa Viwanja Kaole Beach Plots unakusubiri! Eneo lipo mita 500 tu kutoka baharini, Bei ni TZS 13,000/= kwa mita ya mraba.

Huduma zote za kijamii zinapatikana, ikiwa ni pamoja na maji, umeme, na barabara. Mradi wa viwanja 48 na sasa vimebaki viwanja 40 tu.

Viwanja vinaanzia ukubwa wa sqm 600 mpaka sqm 5,000 vinamatumizi mbalimbali (Makazi, Biashara, Godown n.k.)

Hivyo fursa hii ni ya haraka sana.
#PataKiwanjaKaribunaBahari! 🌊 0742749886

je squaire mita 600 vipo na sh ngapi?
cha bei rahisi kabisa kitakuwa sh ngapi?
 
Milioni saba na Laki Nane lakini cha bei Ya Chini Ni tsh milioni tatu karibu sana Vyote Unalipia Taratibu taratibu na Site Tunaenda Siku zote...
 
Eneo hilo si nasikia limetengwa kwa ajili ya bandari mpya itakayojengwa? Sasa itakuwaje kwa watakaonunua viwanja?
 
najiridhisha vp kwamba hivi viwanja havitaniletea shida maana kampun nyingi zina utapeli siku hizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom