Beach gani nzuri jamani Dar-es-salaam

Daah uko mbal, panafaa for holidays, ukienda ukrud unajua kesho ntapumzka tu

Barabara ndio inachosha sana,ni rough road mwanzo mwisho,na mchanga mwingi sana njiani. Ila ni kuzuri kama una chapaa.
 
Nenda kisiwa cha bongoyo, usafiri unapatikana sleepway hotel
 
Wapi hiyo ipo tafadhali naomba uelekeo sahihi wa kunifikisha hapo.
 
Haswaaa ndugu. Umeeleza ukweli kabisa. Niliwahi ibiwa camera, simu na hela zangu pale Chadibwa wakati nimechepuka ili nifanye snapshot mara vibaka wakatuvamia na mavisu wakatupukutisha kila kitu asee siwez kusahau siku ile.
 
Ewe punguani, Pangani ni 65KM kutoka Dar.? Soma vizuri kabla hujakurupuka.

Hii mijitu mingine sijui ikoje! halafu atakwambia anaishi Dar., hata Boza Beach, haijui, huko wakuja hawapajui. Kumbuka hilo.
Daah aisee hata mimi boni hia hia lakini sijaipata iko wapi. Nimegugo pia hola. Hebu tujuze basi iko pande zipi?
 
Haswaaa ndugu. Umeeleza ukweli kabisa. Niliwahi ibiwa camera, simu na hela zangu pale Chadibwa wakati nimechepuka ili nifanye snapshot mara vibaka wakatuvamia na mavisu wakatupukutisha kila kitu asee siwez kusahau siku ile.

Aisee Pole saana, kumbe ndo beach za kiswaz ziko hivyo?
 
Barabara ndio inachosha sana,ni rough road mwanzo mwisho,na mchanga mwingi sana njiani. Ila ni kuzuri kama una chapaa.

Daaah, ni kaz, ntajipanga nije nkwa mzoefu wa beach
 
Usalama ni wa kuzingatia,katika zote zilizopendekezwa,je usalama upo?....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…