Be very careful what you wish for!

Be very careful what you wish for!

Kwa tafsiri yake Jeshi likichukua nchi haiwezi kuwa kama Traore

Ni kipindi cha mpito tu kwa ajili ya kufanya reforms kadhaa ili uongozi wa kidemokrasia uingie kupitia kura.

Na uzuri ni kwamba wale wahujumu nchi watakuwa washatiwa nguvuni na hapo nchi kwa namna moja au nyingine itakuwa salama.

Nasisitiza tena, tafsiri ya Captain mwenzangu mmeinukuu vibaya. Hajakusudia nchi kuwa chini ya jeshi kwa maana ya kutozingatia demokrasia bali ni kipindi tu cha mpito wakati tukisubiri marekebisho kadhaa ya kimfumo.

Halaaa Tesha..
Unapoteza nguvu kujibu machizi bro 😹
GT gani hayajui kuchambua mambo yatakuchosha..!!
 
Nina mashaka sana na hio video, inaweza kuwa AI au jamaa akawa sio kapteni kabisa. Kiufupi kwa afisa wa cheo cha captain, huwa anaongoza zaidi ya wanajeshi mia.
Hata Mimi Nina maoni kama wewe! Ni prank
 
Kwa hali ilivyo na kwa namna ccm wamejikita na mizizi mirefu, hakuna namna watatoka madarakani bila watu fulani kuingilia.
 
Jerry Rawlings wa Ghana alikuwa tofauti na mzuri.
1 kati ya 109, utaongeza na Sankara na wengine wenye mixed views kama Gaddafi. Hupati 5% ya wanamapinduzi wote Afrika walio wazuri.

Mwanamapinduzi anayependwa kihistoria hapa Afrika ni yule aliyekufa mapema. Thomas Sankara kauwawa 4 years baada ya kupindua, usikute angekaa 10 yrs angekuwa wa hovyo. Pale Nigeria General Murtala Muhammed serikali yake ilipindua kisha ikakaa madarakani miezi kama 11 akauwawa na Colonel Buka Suka Dimka. Hapo Nigerians ndio wanadai angalau alikuwa kiongozi mzuri wa kijeshi ila akina Ibrahim Babangida waliokaa miaka mingi wanalaumiwa sana.

Viongozi wa kiraia unaweza tajiwa wengi waliokaa miaka 10, 15, 20, 25 na wakawa wazuri. Wa kijeshi ni vigumu sana.
 
Nawewe ni mfaidika wa wanamtandao, bado hujafikia kwenye liwalo na liwe
Hivi kwa nini mtu akitoa alternative point of view kimbilio lenu ni kudai ni mfaidika au mnufaika wa status quo?

That’s dumb.
 
Afrika imepata mapinduzi zaidi ya mara 100, tutajie coup moja pekee ambayo ilisema utawala wa kijeshi utadumu milele.

Ni mapinduzi gani hawakusema wataondoka waachie utawala wa kiraia, je wanaondoka? Je wana mabadiliko ya maana wamefanya nchini kwako tofauti na civilian governments?
Ni civilian goverments ngapi hapa Afrika ambazo maraisi kabla ya kampeni walitoa ahadi nyingi na tamu lakini baada ya kupata madaraka hawajatekeleza?

Je mliaacha kuamini mfumo wa civilian goverment?

Sasa kwanini past records za mataifa mengine kuhusu jeshi kuchukua nchi na baadaye kuleta tamaa binafsi ziwe sababu ya sisi kutounga mkono Jeshi letu kuchukua nchi katika kipindi cha mpito?
 
Nina mashaka sana na hio video, inaweza kuwa AI au jamaa akawa sio kapteni kabisa. Kiufupi kwa afisa wa cheo cha captain, huwa anaongoza zaidi ya wanajeshi mia.
Mjomba ile YENYEWE KABISA. Hakuna Ai wala nini.
 
Which Civilians ? Kikwete, RA. We need to end this fckn hereditary successions...kila Siku ni mwinyi kikwete na wajukuu waje watutawale just to protect their Cake...ona sasa hivi familia ya Samia nayo ishaingiza wabunge wa familia 🗑️
That’s why you should choose the couch on October 29.

But a putsch? No bueno.
 
Kwahiyo mkuu hujui kuwa tuna Airforce Command kweli, that means hata kujua tuna komandi ngapi katika jeshi letu hujui. Yeah tunayo na huyo ni miongoni mwa maafisa wenye cheo cha CAPTAIN katika JWTZ.
Naona kejeli yangu hujaiona na imepita juu ya kichwa chako 🤣.
 
lkn kuna uwezekanao wa soft coup pia kama aliyofanyiwa mugabe, alifwatwa ikulu kwa upole kabisa na jeshi na kumwambia kwa unyenyekevu mkubwa a-step down kwa heshima na kumwachia makamu wake, iliwezekana na maisha yaliendelea siyo kila coup ni bloody kuna soft coups pia, unawekwa house arrest na mipango mingine ikiendelea …
Hii ndio option...

Mimi nasapoti soft coup...

LAKINI wakiendelea kushupaza shingo, then total military coup haiepukiki...

Honestly speaking, tumechoka na utawala wa CCM. We don't want them anymore...

Ni heri tupite kwenye njia hii (utawala wa kijeshi) kuliko kuendelea kuwa chini ya CCM
 
Nimeamka leo hii Jumamosi ya kwanza ya mwezi Oktoba, 2025 na kukutana na video ya aliyejitambulisha kama Kapteni Tesha, afisa kutoka jeshi la anga Tanzania [nasi tuna jeshi la anga?🤣].

View attachment 3483280

Inadaiwa kuwa ni kweli huyo jamaa ni mwanajeshi wa JWTZ, kwa hiyo pia, hata hiyo video yake ni ya kweli.

Jamaa kasema haridhishwi na yanayoendelea nchini na kwamba keshawaandikia barua wakubwa zake huko jeshini kuelezea lamentations zake.

Kwa kifupi, jamaa kasema anataka jeshi lichukue nchi haraka sana ili kuweza kuweka mambo sawa.

Najua hili wazo lina mvuto kwa baadhi ya watu, hususan humu mitandaoni.

I don’t think this is a good idea. Matter of fact, it’s a very bad one.

I have never supported military putschs and I’m not going to start now.

This is a very bad slippery slope, if there ever was a good one.

It is a crossing of the rubicon that we do not want in our country.

I want soldiers to be just that. They should have the people’s back and let civilians handle their affairs.

I will have more to say later as more information comes out.

But, as of right now, a putsch to me is a no-no.
Polepole anamwambia taratibu Samia ajiuzulu tutafute muafaka wa kitaifa. Kama hawataki kumsikiliza Polepole option ya pili ni jeshi kuchukua nchi kusimamia kupata katiba mpya, mchakato ulio wazi, huru na haki. Halafu wanarudi kambini.

Ni bora jeshi kuchukua nchi kwa muda miezi sita, mwaka kuliko kuendelea na wahuni wa sasa.
 
Nimeamka leo hii Jumamosi ya kwanza ya mwezi Oktoba, 2025 na kukutana na video ya aliyejitambulisha kama Kapteni Tesha, afisa kutoka jeshi la anga Tanzania [nasi tuna jeshi la anga?🤣].

View attachment 3483280

Inadaiwa kuwa ni kweli huyo jamaa ni mwanajeshi wa JWTZ, kwa hiyo pia, hata hiyo video yake ni ya kweli.

Jamaa kasema haridhishwi na yanayoendelea nchini na kwamba keshawaandikia barua wakubwa zake huko jeshini kuelezea lamentations zake.

Kwa kifupi, jamaa kasema anataka jeshi lichukue nchi haraka sana ili kuweza kuweka mambo sawa.

Najua hili wazo lina mvuto kwa baadhi ya watu, hususan humu mitandaoni.

I don’t think this is a good idea. Matter of fact, it’s a very bad one.

I have never supported military putschs and I’m not going to start now.

This is a very bad slippery slope, if there ever was a good one.

It is a crossing of the rubicon that we do not want in our country.

I want soldiers to be just that. They should have the people’s back and let civilians handle their affairs.

I will have more to say later as more information comes out.

But, as of right now, a putsch to me is a no-no.
Dah NN acha madharau. DRC, CAR, Chad na Burundi n.k wana jeshi la anga sembuse sisi?
 
Jamaa ana wazo zuri lakini bahati mbaya wazo lake haliwezi kufanya kazi kutokana na umbulula wa waTz, hawa mambulula hata mtoto wa mwaka mmoja anaweza kuwaswaga na fimbo kama ng'ombe na wakaenda huko wanapotakiwa kwenda.

Sasa ukijichanganya ukajidai unataka ujitoe muhanga kwaajili yao ujue haya mambulula hayana msaada, mambo yaki bounce ukapelekwa mahakamani yenyewe yatabaki tiktok yanafanya challenge za kukata viuno hadi watoto wakiume wananengua saa hiyo hawana habari na wewe wako kama manyumbu
 
Back
Top Bottom