Be very careful what you wish for!

Be very careful what you wish for!

Your solution os not practical,kwa nature ya raia wa tanzania.Watu waache kipiga kura?Well ,hata shetani ana wafuasi.Tamaduni na malezi yanawafanya watz wawe tofautina waarbu waliofanya maandamano wakafanikiwa.
Ngabu,inawezekana haupo tz unaropoka tu bila kujua hali halisi ilivyo tz
Hicho Kiingereza chako sasa 🤣.
 
Naona umeukariri tu huo msemo wa “you offer no real solutions to our problem”.

Zaidi ya hapo sidhani kama unaweza kuandika aya nzima kwa lugha ya Kiingereza kilichonyooka!

Unlike you, I don’t possess a defeatist mentality that we can’t have mass demonstrations that will topple the current regime.

I believe we can. I believe we have it in us to make it happen.

It’s just a matter of overcoming that initial fear factor and then there’s no looking back.

Only military problems require military solutions..

Political problems require political solutions and mass action is one of them.
Nilidhani tunajadili hoja bila kufungwa na lugha,kumbe wewe unaona ufahari kujieleza kwa kiingereza .Siku zote huwa nakuona mpuuzi tu.
 
Who cares!Wameuliwa watu hakuna uchunguzi,wanafungwa wanasiasa hakuna kitu,dharau zimezidi sana sijali chochote.We have been living this life with CCM since 1977 and nothing has changed.I don't care whether there will be coup or something else.Enough is enough man.
mkuu na wengine wanaosoma hapa, labda nikuulize swali; sijui umri wako lakini umri wa chama is not a hoja North Korea even hawana chama ila wanaendeshwa na fikra na maono mbele ya kiongozi wao WA KWANZA Kim Jong lakini wanasonga na kuendelea kama ungekuwa kiongozi wa CCM at 1980's ungekuwa umefanya nini kwa nchi yako na nini ingekuwa mtazamo wako au dira yako to just 2030's ?
 
Sijaelewa swali lako vizuri maana ni kama umepishana na nlichoandika.

Anyway,North Korea ukitoa mambo yao ya uwekezaji kwenye jeshi na silaha za kivita wanabaki na nini?(najua utakuja na habari za sanctions kutoka kwa mabepari kwamba ni kikwazo).

Kuhusu CCM nadhani umekuja na swali lako jingine tofauti na maelezo yangu.Jibu ni jepesi hata ningekuwa hiyo CCM unayosema ni kwamba nchi haiongozwi na fikra za mtu au kama familia.Nimekutajia CCM kueleza tabu zote ambazo wametupitisha na huku mtoa mada bado hakidai tunapenda mapinduzi lakini hatujui nini tunalilia.
 
But, as of right now, a putsch to me is a no-no.
When it comes to choosing between a "putsch" and Samia's gang; it's no brainer; a putsch wins hands down!
It's as simple as that.

You cannot be afraid of a "slippery slope" when you know you're stuck in the mud!
Get yourself out of the mud, then worry about the slope as you go along.

Nyinyi watu mmeshikiliwa kwelikweli na CCM kiasi kwamba akili zenu zimewaruka kabisa. Utaogopa vipi mTanzania, mwanajeshi; wakati huko ndani ya CCM wamejazana huko? Si ni hao akina Mabeyo waliotuletea balaa hili linalo tuandama sasa hivi?
 
..mbona Ghana wameweza na sasa hivi wako vizuri.

..usitutishe wewe endelea na Kenya yako, mambo ya Tanzania tuachie wenyewe.

Hili ni jukwaa ambalo kila mmoja yuko huru kujadili na kutoa maoni ya nchi yoyote bila kupangiana, Kenya hujadiliwa humu, hata Marekani hujadiliwa humu na raia wasio Wamarekani.
Hivyo huna jeuri ya kunizuia kutoa maoni kama jirani wa Tanzania tena mwenye maslahi ya kibiashara ndani ya hiyo Tanzania, tena nina ndugu humo.

Kwa maoni yangu siafiki JWTZ kuchukua uongozi, wakishaonja hayo madaraka tamaa itawaingia hawataachia, ni kama Simba akisha mla binadamu hataacha kuwinda watu.
Kuna milango isiyo ya kufunguliwa dunia hii, bora ikaachwa ikiwa imefungwa, kuhusisha jeshi la nchi kwenye siasa ni kosa kubwa sana, kumbuka humo jeshini sio wote wataunga mkono hayo maamuzi na wanaweza wakaishia kupigana wenyewe kwa wenyewe na kutumbukiza nchi kwenye machafuko.
 
Kwa maoni yangu siafiki JWTZ kuchukua uongozi, wakishaonja hayo madaraka tamaa itawaingia hawataachia, ni kama Simba akisha mla binadamu hataacha kuwinda watu.
Wewe kama mtu toka nje, unapozungumzia maswala ya ndani kama haya ya utawala ni lazima uambiwe kuwa unavuka mpaka.
Maswala ya ndani waachie wenyewe wayamalize.
Sasa mwishowe utatuambia kuwa kwa kuwa wewe ni jirani; halafu unayo maslahi ndani ya nchi yetu na unao marafiki; utaanza kuwapa msaada maadui zetu watutawale?

Hata huko Marekani unakotusemea kama mfano, inaonyesha wazi hujui kinacho endelea huko.

Uhuru wako wa kusemea maswala ya namna hii unaishia pale mpakani.
 
Nimeamka leo hii Jumamosi ya kwanza ya mwezi Oktoba, 2025 na kukutana na video ya aliyejitambulisha kama Kapteni Tesha, afisa kutoka jeshi la anga Tanzania [nasi tuna jeshi la anga?🤣].

View attachment 3483280

Inadaiwa kuwa ni kweli huyo jamaa ni mwanajeshi wa JWTZ, kwa hiyo pia, hata hiyo video yake ni ya kweli.

Jamaa kasema haridhishwi na yanayoendelea nchini na kwamba keshawaandikia barua wakubwa zake huko jeshini kuelezea lamentations zake.

Kwa kifupi, jamaa kasema anataka jeshi lichukue nchi haraka sana ili kuweza kuweka mambo sawa.

Najua hili wazo lina mvuto kwa baadhi ya watu, hususan humu mitandaoni.

I don’t think this is a good idea. Matter of fact, it’s a very bad one.

I have never supported military putschs and I’m not going to start now.

This is a very bad slippery slope, if there ever was a good one.

It is a crossing of the rubicon that we do not want in our country.

I want soldiers to be just that. They should have the people’s back and let civilians handle their affairs.

I will have more to say later as more information comes out.

But, as of right now, a putsch to me is a no-no.
Tatizo ni CCM kufunga milango ya kuleta mabadiliko kwa njia ya kidemokrasia na ya kistaarabu hivyo CCM ndiyo imefungua milango ya kutumia mabavu. Laiti tungekuwa na chaguzi huru na haki hakuna mtu angefikiria jeshi kuchukua madaraka. Mchawi ni kundi la Kikwete na wanamtandao wenzake kuhodhi siasa za nchi hii. Jeshi lichukue nchi na kuvifuta vyama vyote vya siasa tuanze upyaaaa baada ya miaka mitano ndiyo ufanyike uchaguzi.
 
Hili ni jukwaa ambalo kila mmoja yuko huru kujadili na kutoa maoni ya nchi yoyote bila kupangiana, Kenya hujadiliwa humu, hata Marekani hujadiliwa humu na raia wasio Wamarekani.
Hivyo huna jeuri ya kunizuia kutoa maoni kama jirani wa Tanzania tena mwenye maslahi ya kibiashara ndani ya hiyo Tanzania, tena nina ndugu humo.

Kwa maoni yangu siafiki JWTZ kuchukua uongozi, wakishaonja hayo madaraka tamaa itawaingia hawataachia, ni kama Simba akisha mla binadamu hataacha kuwinda watu.
Kuna milango isiyo ya kufunguliwa dunia hii, bora ikaachwa ikiwa imefungwa, kuhusisha jeshi la nchi kwenye siasa ni kosa kubwa sana, kumbuka humo jeshini sio wote wataunga mkono hayo maamuzi na wanaweza wakaishia kupigana wenyewe kwa wenyewe na kutumbukiza nchi kwenye machafuko.

..sasa hivi polisi na tiss hawana tofauti na Ccm. Kwa hiyo tumeshavuka hicho unachokiogopa. Ua wewe kwako jeshi ni Jwtz tu, hao wengine sio majeshi?

..halafu hata Jwtz nao wamekuwa wakiingizwa kwenye siasa kwa namna mbalimbali. Kwa mfano kuna senior officers wa Jwtz ambao ni Regional Commissioners, au District Commissioners. Ukishashika hizo nafasi pia unakuwa mkuu wa kamati za siasa za Ccm katika eneo lako. Moja ya kazi zako zinakuwa na kutafuta ushindi kwa Ccm.

..Siasa za Tanzania inabidi uwe zaidi ya makini kuelewa tunachopitia. Kwa juu juu unaweza ukadhani kuna watawala waungwana, lakini ukweli ni kwamba kinachoendelea kinafanana na hali ilivyokuwa Kenya wakati wa utawala wa Toroitich Arap Moi.
 
Lazima uzingatie Historia katika kushauri !!.

Lazima uzingatie Asili .

Watanzania ni watu ambao kufanya jambo ni lazima mbele yao au nyuma yao kuwepo na watu wanaowahakikishia "UHAI WAO".

Alichokifanya huyu Captain, kinathaman kubwa sana kushinda hata ya Polepole ndio Sababu Kikundi Cha Wahuni kimeanza kazi ya kuizonga Familia ya Mwanajeshi huyu na sahizi inasemekana wameanza Kufatilia taarifa zake nyeti za MARAFIKI wake.

CCM imeogopa, tuendelee hapahapa

Hayo ya Jeshi Sijui nini, tuyaache... KWA SASA NI KUIONDOA CCM MADARAKANI KWA NAMNA YOYOTE

Nyinyi hamfikiri , Hiyo CCM imewekwa madarakani na hao wanajeshi , yaani utawala wa nchi unaongozwa na jeshi jee jeshi lijipinduwe ??
 
..sasa hivi polisi na tiss hawana tofauti na Ccm. Kwa hiyo tumeshavuka hicho unachokiogopa. Ua wewe kwako jeshi ni Jwtz tu, hao wengine sio majeshi?

..halafu hata Jwtz nao wamekuwa wakiingizwa kwenye siasa kwa namna mbalimbali. Kwa mfano kuna senior officers wa Jwtz ambao ni Regional Commissioners, au District Commissioners. Ukishashika hizo nafasi pia unakuwa mkuu wa kamati za siasa za Ccm katika eneo lako. Moja ya kazi zako zinakuwa na kutafuta ushindi kwa Ccm.

..Siasa za Tanzania inabidi uwe zaidi ya makini kuelewa tunachopitia. Kwa juu juu unaweza ukadhani kuna watawala waungwana, lakini ukweli ni kwamba kinachoendelea kinafanana na hali ilivyokuwa Kenya wakati wa utawala wa Toroitich Arap Moi.

Wengi hawaelewi kuwa nchi inaongozwa na majeshi zamani
 
Nina mashaka sana na hio video, inaweza kuwa AI au jamaa akawa sio kapteni kabisa. Kiufupi kwa afisa wa cheo cha captain, huwa anaongoza zaidi ya wanajeshi mia.
Umeambiwa AI haiwezi kutengeza video yenye ubora hafifu kama hiyo maana haijaundiwa kufanya makosa....
 
Wewe kama mtu toka nje, unapozungumzia maswala ya ndani kama haya ya utawala ni lazima uambiwe kuwa unavuka mpaka.
Maswala ya ndani waachie wenyewe wayamalize.
Sasa mwishowe utatuambia kuwa kwa kuwa wewe ni jirani; halafu unayo maslahi ndani ya nchi yetu na unao marafiki; utaanza kuwapa msaada maadui zetu watutawale?

Hata huko Marekani unakotusemea kama mfano, inaonyesha wazi hujui kinacho endelea huko.

Uhuru wako wa kusemea maswala ya namna hii unaishia pale mpakani.

Humu JF tutaongea kuhusu popote kwa yeyote na kwa vyovyote bila kupangiwa.... Mkishaanika utopolo wenu mtajadiliwa kote.
 
Back
Top Bottom