How?Nyani Ngabu umetuaibisha.
Binadamu anatawala wanyama wote duniani pamoja na uchache wake. Kuku wako billion 20, ndege wengine wako billion 50 na bado wanaliwa tu na binadamu.Nimewadanganyaje watu?
Watanzania tunakaribia milioni 70 lakini hatuwezi kufanya chochote dhidi ya kundi dogo la watu!
That’s an indictment on us.
We are too docile.
Uko sahihi! Wao wawepo kulinda WANANCHI SIKU TA TAREHE 29! Wananchi wanajua wanachotaka! Jeshi liwepo kuwalinda wasikutwe na chochote!Nimeamka leo hii Jumamosi ya kwanza ya mwezi Oktoba, 2025 na kukutana na video ya aliyejitambulisha kama Kapteni Tesha, afisa kutoka jeshi la anga Tanzania [nasi tuna jeshi la anga?🤣].
View attachment 3483280
Inadaiwa kuwa ni kweli huyo jamaa ni mwanajeshi wa JWTZ, kwa hiyo pia, hata hiyo video yake ni ya kweli.
Jamaa kasema haridhishwi na yanayoendelea nchini na kwamba keshawaandikia barua wakubwa zake huko jeshini kuelezea lamentations zake.
Kwa kifupi, jamaa kasema anataka jeshi lichukue nchi haraka sana ili kuweza kuweka mambo sawa.
Najua hili wazo lina mvuto kwa baadhi ya watu, hususan humu mitandaoni.
I don’t think this is a good idea. Matter of fact, it’s a very bad one.
I have never supported military putschs and I’m not going to start now.
This is a very bad slippery slope, if there ever was a good one.
It is a crossing of the rubicon that we do not want in our country.
I want soldiers to be just that. They should have the people’s back and let civilians handle their affairs.
I will have more to say later as more information comes out.
But, as of right now, a putsch to me is a no-no.
Jibu konki na ukweliSasa Kama Unanufaika na uongozi wa sasa utakubalianaje na mabadiliko?
Lazima uzingatie Historia katika kushauri !!.Nimewadanganyaje watu?
Watanzania tunakaribia milioni 70 lakini hatuwezi kufanya chochote dhidi ya kundi dogo la watu!
That’s an indictment on us.
We are too docile.
Kwa hiyo Watanzania wengine wote, ukiondoa CCM na dola yao, ni wanyama? Ni nyumbu?Binadamu anatawala wanyama wote duniani pamoja na uchache wake. Kuku wako billion 20, ndege wengine wako billion 50 na bado wanaliwa tu na binadamu.
Wewe ushawahi kuandamana hata mara moja?Lazima uzingatie Historia katika kushauri !!.
Lazima uzingatie Asili .
Watanzania ni watu ambao kufanya jambo ni lazima mbele yao au nyuma yao kuwepo na watu wanaowahakikishia "UHAI WAO".
Alichokifanya huyu Captain, kinathaman kubwa sana kushinda hata ya Polepole ndio Sababu Kikundi Cha Wahuni kimeanza kazi ya kuizonga Familia ya Mwanajeshi huyu na sahizi inasemekana wameanza Kufatilia taarifa zake nyeti za MARAFIKI wake.
CCM imeogopa, tuendelee hapahapa
Hayo ya Jeshi Sijui nini, tuyaache... KWA SASA NI KUIONDOA CCM MADARAKANI KWA NAMNA YOYOTE
Okay….just be very careful what you wish for…
Traore kaikomboa kweli Burkina au ni stori tu?If all this is true, then this junior commissioned officer is extremely naive. Hatua za kijeda hazifanyiki kwa style hii. Atatiwa misukosuko sana, kama sio kuwa court-martialed na kuachishwa Jeshi kwa fedheha.
Hata Ibrahim Traore angetumia style hii, asingeweza kuikomboa Burkina Faso!
🤣🤣Kwa tafsiri yake Jeshi likichukua nchi haiwezi kuwa kama Traore
Ni kipindi cha mpito tu kwa ajili ya kufanya reforms kadhaa ili uongozi wa kidemokrasia uingie kupitia kura.
Na uzuri ni kwamba wale wahujumu nchi watakuwa washatiwa nguvuni na hapo nchi kwa namna moja au nyingine itakuwa salama.
Nasisitiza tena, tafsiri ya Captain mwenzangu mmeinukuu vibaya. Hajakusudia nchi kuwa chini ya jeshi kwa maana ya kutozingatia demokrasia bali ni kipindi tu cha mpito wakati tukisubiri marekebisho kadhaa ya kimfumo.
Halaaa Tesha..
Kamwekee mama yako akiwa kwenye podium*** off 🖕🖕
Hatuwezi kumhukumu mtu kwa historia ya watu wengine.🤣🤣
Wote wanasemaga na kuahidi hivyo hivyo.
Hakuna jipya hapo.
Hamjui mkitakacho.
Kwa hatua iliyofika Tanzania sasa Military intervention is necessary.Nimeamka leo hii Jumamosi ya kwanza ya mwezi Oktoba, 2025 na kukutana na video ya aliyejitambulisha kama Kapteni Tesha, afisa kutoka jeshi la anga Tanzania [nasi tuna jeshi la anga?🤣].