Be very careful what you wish for!

Be very careful what you wish for!

Mbona katika list yako ya viongozi wabovu hapo hujamuweka Samia na Kikwete?
Kwa level za Afrika, Kikwete ni mojawapo ya viongozi wa wastani kama si wazuri, huwezi sema ni kiongozi mbaya. Hata 50 ya viongozi wabaya haiingii na ndio maana kwa muda wake aliwahi kuwa considered kupewa tuzo ya uongozi bora ya Mo Ibrahim.

Samia huyo si mzuri ila hadi sasa kuna wabaya kupindua kumzidi. Ujue tunazungumzia level ya Afrika sio Tanzania.
Je hao kwako unawaona ni mashujaa na wanapaswa kuonwa kama mfano mzuri?

Yaani unaenda mbali kutafuta mifano ya maraisi wabovu ilihali nchi yako imejaza rekodi ya maraisi wenye sifa hizo.
Uganda jirani yako pale Museveni kaongoza miaka almost 40, ni mzuri si ndio?

Burundi hawa njaa kali wanaongozwa na watawala wa kijeshi, ni wazuri kuliko sisi?

Congo DRC iliongozwa na Mobutu muda mrefu baada ya kumtoa Lumumba. Mobutu alikuwa mzuri kuliko Lumumba?
Halafu nikuambie tu kitu. Jeshi likiwa na dhamira ya kuikalia nchi kwa mabavu haliwezi kuzuiliwa na Raisi ambaye yupo madarakani kwa kura za wananchi.
Linaweza zuiliwa, mutiny si ilizuiliwa na kina Kambona, jaribio la kina komando Tamimu na Hans Pope si lilizuiliwa? Au unaamini ni kwamba jeshi huwa tu halijisikii. Mapinduzi sio ugali kwamba wakiamua wanasonga, Turkey pale Erdogan alikuwa mapumzikoni mji wa mbali kabisa, akarudi mji mkuu na akazima jaribio na akafunga wanajeshi 10,000 tena siku ya kesho yake ya jaribio.

Kuna coups, matokeo yake, international community, sanctions, counter coups, what if ikashindikana kuna kuuwawa au kufungwa maisha, what if kukatokea mapigano utashinda?, what if unaopanga nao nao wana tamaa mkishamaliza watakuua wabaki wao, what if mkishapata pia ama wewe utaogopa kubaki na wasaliti wa serikali ya sasa au wao wataogopa kubaki na wewe msaliti wa serikali ya sasa; mtaani wanasema unamuiba mwanamke kwa mwanaume mwingine kisa una hela kisha unategemea asiibiwe na mwenye hela zaidi yako. Coup sio matako kwamba kila mtu anayo.
Kasome historia ya Guinea, Raisi alikuwa hana mamlaka yeyote kwa Jeshi. Kwa hiyo hilo unaloliogopa linaweza kutokea katika mazingira hata ya civilian government as long as kutakuwa na mtu mwenye tamaa.

Kwa hiyo kama mtu mwenye tamaa anaweza kufanya maamuzi ya kutamani madaraka, hatuwezi kuzia kwa kukataa kuikabidhi nchi kwa Jeshi kwasbabu tumeweza kuona mazingira ya Jeshi kutawala mamlaka ya Raisi iwapo tu tamaa zitawashika.

Hivyo basi busara hapo ni Jeshi lichukue nchi kutupitisha kipindi cha mpito kisha utaratibu wa kidemokrasia utarudi nchini.
Bado hujataja viongozi wazuri wa kijeshi kama mfano. Watano tu tuwajue kuwahi tokea Afrika. Yaani viongozi wa kijeshi huwa ni wabovu mno.
 
I
Nimeamka leo hii Jumamosi ya kwanza ya mwezi Oktoba, 2025 na kukutana na video ya aliyejitambulisha kama Kapteni Tesha, afisa kutoka jeshi la anga Tanzania [nasi tuna jeshi la anga?🤣].

View attachment 3483280

Inadaiwa kuwa ni kweli huyo jamaa ni mwanajeshi wa JWTZ, kwa hiyo pia, hata hiyo video yake ni ya kweli.

Jamaa kasema haridhishwi na yanayoendelea nchini na kwamba keshawaandikia barua wakubwa zake huko jeshini kuelezea lamentations zake.

Kwa kifupi, jamaa kasema anataka jeshi lichukue nchi haraka sana ili kuweza kuweka mambo sawa.

Najua hili wazo lina mvuto kwa baadhi ya watu, hususan humu mitandaoni.

I don’t think this is a good idea. Matter of fact, it’s a very bad one.

I have never supported military putschs and I’m not going to start now.

This is a very bad slippery slope, if there ever was a good one.

It is a crossing of the rubicon that we do not want in our country.

I want soldiers to be just that. They should have the people’s back and let civilians handle their affairs.

I will have more to say later as more information comes out.

But, as of right now, a putsch to me is a no-no.
Ifike muda tuanze upya kama taifa.

Dhambi zote za Tesha apewe Lucas 🫡
 
Nina mashaka sana na hio video, inaweza kuwa AI au jamaa akawa sio kapteni kabisa. Kiufupi kwa afisa wa cheo cha captain, huwa anaongoza zaidi ya wanajeshi mia.
utaumbuka vibaya we subiri
 
Mbaya sana kwa wanajeshi kuchukua nchi au hata kujihusisha na siasa, wabaki huko makambini na wasiegeme, mimi Mkenya jirani yenu tumezoea kukinukisha ndani kwa ndani lakini hatujawahi kutamani KDF wachukue uongozi, ina muelekeo mbovu sana ambao hamtaweza kurudi salama.
 
Nyumbu hawaelewi 😀.
 
Nimeamka leo hii Jumamosi ya kwanza ya mwezi Oktoba, 2025 na kukutana na video ya aliyejitambulisha kama Kapteni Tesha, afisa kutoka jeshi la anga Tanzania [nasi tuna jeshi la anga?🤣].

View attachment 3483280

Inadaiwa kuwa ni kweli huyo jamaa ni mwanajeshi wa JWTZ, kwa hiyo pia, hata hiyo video yake ni ya kweli.

Jamaa kasema haridhishwi na yanayoendelea nchini na kwamba keshawaandikia barua wakubwa zake huko jeshini kuelezea lamentations zake.

Kwa kifupi, jamaa kasema anataka jeshi lichukue nchi haraka sana ili kuweza kuweka mambo sawa.

Najua hili wazo lina mvuto kwa baadhi ya watu, hususan humu mitandaoni.

I don’t think this is a good idea. Matter of fact, it’s a very bad one.

I have never supported military putschs and I’m not going to start now.

This is a very bad slippery slope, if there ever was a good one.

It is a crossing of the rubicon that we do not want in our country.

I want soldiers to be just that. They should have the people’s back and let civilians handle their affairs.

I will have more to say later as more information comes out.

But, as of right now, a putsch to me is a no-no.
Chawa ndio mwisho wao taka usitake,kwani hata chawa mmejigeuza viziwi pamoja na uchawa weni,hivi sasa ni muda ambao Mungu ameamua kuingilia kati kuwapatia waja wake ukombozi kamili.
 
Wa
Mbaya sana kwa wanajeshi kuchukua nchi au hata kujihusisha na siasa, wabaki huko makambini na wasiegeme, mimi Mkenya jirani yenu tumezoea kukinukisha ndani kwa ndani lakini hatujawahi kutamani KDF wachukue uongozi, ina muelekeo mbovu sana ambao hamtaweza kurudi salama.
Wanachukua Kwa muda then wanamkabidhi mtu anaefaaa kuongoza taifa teule
 
You offer no real solutions to our problem.Watu kama kikwete ha wawezi kuacha kujinufaisha kwa kelele tu za wananchi.Mahakama zetu na polisi viko mikononi mwao.
Sio rahisi kufanya maandamano kama yale yaliyofanya mapinduzi katika nchi za kiarabu.Kwetu sisi walau jeshi letu ndilo tumaini letu.
 
Mbaya sana kwa wanajeshi kuchukua nchi au hata kujihusisha na siasa, wabaki huko makambini na wasiegeme, mimi Mkenya jirani yenu tumezoea kukinukisha ndani kwa ndani lakini hatujawahi kutamani KDF wachukue uongozi, ina muelekeo mbovu sana ambao hamtaweza kurudi salama.

..mbona Ghana wameweza na sasa hivi wako vizuri.

..usitutishe wewe endelea na Kenya yako, mambo ya Tanzania tuachie wenyewe.
 
1. Kuacha kupiga kura.

2. Ukiacha kupiga kura, unawanyima uhalali.

3. Watanzania karibu milioni 70 hatushindwi tukiamua kuwatimua. Unaikumbuka Tahrir Square kule Egypt? Mubarak aliondoka au alibaki?

4. Jeshi letu liwe upande wa wananchi kama ambavyo jeshi la Misri lilivyokuwa kwenye upande wa wananchi na kukataa amri haramu toka kwa Mubarak.
Your solution os not practical,kwa nature ya raia wa tanzania.Watu waache kipiga kura?Well ,hata shetani ana wafuasi.Tamaduni na malezi yanawafanya watz wawe tofautina waarbu waliofanya maandamano wakafanikiwa.
Ngabu,inawezekana haupo tz unaropoka tu bila kujua hali halisi ilivyo tz
 
You offer no real solutions to our problem.Watu kama kikwete ha wawezi kuacha kujinufaisha kwa kelele tu za wananchi.Mahakama zetu na polisi viko mikononi mwao.
Sio rahisi kufanya maandamano kama yale yaliyofanya mapinduzi katika nchi za kiarabu.Kwetu sisi walau jeshi letu ndilo tumaini letu.
Naona umeukariri tu huo msemo wa “you offer no real solutions to our problem”.

Zaidi ya hapo sidhani kama unaweza kuandika aya nzima kwa lugha ya Kiingereza kilichonyooka!

Unlike you, I don’t possess a defeatist mentality that we can’t have mass demonstrations that will topple the current regime.

I believe we can. I believe we have it in us to make it happen.

It’s just a matter of overcoming that initial fear factor and then there’s no looking back.

Only military problems require military solutions..

Political problems require political solutions and mass action is one of them.
 
Back
Top Bottom