Nimeamka leo hii Jumamosi ya kwanza ya mwezi Oktoba, 2025 na kukutana na video ya aliyejitambulisha kama Kapteni Tesha, afisa kutoka jeshi la anga Tanzania [nasi tuna jeshi la anga?🤣].
View attachment 3483280
Inadaiwa kuwa ni kweli huyo jamaa ni mwanajeshi wa JWTZ, kwa hiyo pia, hata hiyo video yake ni ya kweli.
Jamaa kasema haridhishwi na yanayoendelea nchini na kwamba keshawaandikia barua wakubwa zake huko jeshini kuelezea lamentations zake.
Kwa kifupi, jamaa kasema anataka jeshi lichukue nchi haraka sana ili kuweza kuweka mambo sawa.
Najua hili wazo lina mvuto kwa baadhi ya watu, hususan humu mitandaoni.
I don’t think this is a good idea. Matter of fact, it’s a very bad one.
I have never supported military putschs and I’m not going to start now.
This is a very bad slippery slope, if there ever was a good one.
It is a crossing of the rubicon that we do not want in our country.
I want soldiers to be just that. They should have the people’s back and let civilians handle their affairs.
I will have more to say later as more information comes out.
But, as of right now, a putsch to me is a no-no.