Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Hijalishi hata km ni green berry ili mradi iwe na bb pin tu basi!yellowberry je unataka?
Afu tandale gram ya dhahabu 3500
ni hii hii ya buwagi au ya kiwira?
Mpwa cheki na Preta kwanza kama ana Blackberry..Nitakuazima BB yangu ukisha mpata unasema ulikabwa Tandale
Hahahaha!wala hujakosea,wengi wanakuwa wamezishika km pambo tu zinakuwa zimefungiwa hata mwezi mzima!Mkuu washangae tuu hao
Wakishindwa kulipa tuu au kuweka air time ya kutosha kitu kinafungwa
Wanaringa tuu na hizo BBM Pin zao wakiwa na air time za kutosha
Mtu una BB halafu salio buku mbili
Wacha nikae na torch yangu salio laki tatu
😛oa:washing:Babu x- mass imepita salama kweli naona leo ni mwendo wa ishara za katuni tu,
Japo sijaelewa sana inamaanisha ushanikubalia lol!
:A S kiss:😛hoto::tongue:
Babu hapa sijaelewa unaflash nn?😛oa:washing:
Hahahaha!wala hujakosea,wengi wanakuwa wamezishika km pambo tu zinakuwa zimefungiwa hata mwezi mzima!
Hivi vitochi vyetu hata km huna salio unakopa tigo na maisha yanaendelea raha sana!
:A S kiss:😛hoto:
Yani naomba nimnukuu kaka yangu Fidel80;Hizi ni anasa tu!,zitapita zitakuja tekinolojia zingine!Utashangaa mtu ana BB haina hata access ya net wala hizo BBM zao
watu wanaishia kutuma sms na kupiga au kupigiwa simu kama wana nokia torch
bora nikae na kanokia kangu bana full mtandao hata nikiwa kijijini
😛eep:Babu naona hangover za xmass hazijakutoka
mbona leo ni mwendo wa vikatuni tuu bila maelezo
Au na wewe kuna mtu kakuomba BBM Pin
Yani naomba nimnukuu kaka yangu Fidel80;Hizi ni anasa tu!,zitapita zitakuja tekinolojia zingine!
Dah! nashukuru umemwona babu na stail yake ya leo,inawezekana ni maandalizi ya kuaga mwaka na kuanza mwaka mwingine kwa satil mpya lol!
😛eep:
Mpwa kuna binti alinimwaga kisa sina BBM PIN...
Nitakuazima BB yangu ukisha mpata unasema ulikabwa Tandale
mmmh wazee wa kwetu wote wanazo aiseenipo moshi huku kila mtu anataka kupiga picha akiwa ameshililia bb yangu. Nimemuonyesha mzee mmoja wa merereani bbm inavyofanya kazi amenogewa anataka tubadilishane anipe ki nissan duet!
:A S kiss:😛hoto:
:iamwithstupid:Babu leo kweli umeamua
Ngoja nikamuulize Matesha amekufanyia nini leo
:hat::hat::hat::majani7::bange::ban:Lips zako
zinafaa kurumangia na ugali
haina haja ya mboga hapa
Nipo moshi huku kila mtu anataka kupiga picha akiwa ameshililia BB yangu. Nimemuonyesha mzee mmoja wa merereani BBM inavyofanya kazi amenogewa anataka tubadilishane anipe ki nissan duet!