Naipenda sana BBC na Kwa kweli ni mfuatiliaji wa taarifa Kwa miaka na miongo kadhaa. Lakini Kwa Muda mrefu wamekuwa KERO Kwa kupitisha ajenda, tamaduni na Mila za ulaya na Amerika Kwa Waafrika. Inakera sana Kwa Sasa Kila taarifa zao wasipotangaza mambo ya mashoga na wasagaji kipindi Chao hakikakamilika. Tunawaambia kupitia mgomo wa KANISA LA AFRIKA dhidi papa Wakala wenu hatutaki.!!