BBC: Mgogoro mkubwa wazuka CCM, yapasuka

Kwao kila anayewakosoa ni adui, huwa najiuliza hivi CCM nasikia kuna wasomi madokta na maprofesa, hivi hawa wote hawakuwahi kushiriki malumbano ya hoja kwenye debating clubs mashuleni hadi waamini katika matumizi ya nguvu kuwa suluhu ya kila kitu?
Ukikaa kujiuliza mambo ya ccm utachanganyikiwa wewe kuliko wao, cheza na kingine lkn sio dish.
 
Mbona rahisi tu.
Wizara ya Mnyakyusa wa Polonium inaizingua BBC,
Halafu Wizara ya Mahiga inakanusha kuwa siyo msimamo wa Taifa
BBC kama naiona haina maisha marefu Tanzania. [emoji53] [emoji18]

Ila cha kuwakumbusha jamaa zetu, BBC sio kituo cha television binafsi (kama Chanel5, ITV, MilardAyo, Udaku T.V, Azam T.V, Clouds au TANZANITE ONLINE T.V ya Musiba) ni cha Malkia wa Uingereza. Sasa kama tutaona ni "muhimu na tunahitaji" kuingia katika bifu na Malkia Elizabeth;

1) Wakifungie kituo cha BBC ofisi zake Tanzania.[emoji18]

2) Wawakamate watangazaji wa BBC.[emoji18]

3) Watu wasiojulikana wavamie ofisi za BBC nchini Tanzania.[emoji53]

Tutaimba "sindimba" kwa lugha ya kichina au kidosi.

Nawasilisha,
 
Wazungu kuna kitu wanakitaka sna hii tanzania ambacho hawawezi kukipata kwa magu
Na sisi tupo pamoja na Rais
[emoji119][emoji119][emoji119]
Utakuwa huwaelewi wazungu, labda wasiamue
 
Inaonesha BBC wanapata habari za kizushi kutoka JF
 
Acha woga wewe ! Malkia ana mamlaka gani ya kuiamulia Tanzania zaidi ya kuwa mkoloni wa zamani ? Tutatawaliwa na kasumba za kikoloni mpaka karne ya ngapi ? Rais huyu anang'oa mizizi ya utegemezi in the long run ndio maana hao kina BBC want to thwart the efforts and momentum !
 
BBC kama naiona haina maisha marefu Tanzania. [emoji53] [emoji18]

Ila cha kuwakumbusha jamaa zetu, BBC sio kituo cha television binafsi (kama Chanel5, ITV, MilardAyo, Udaku T.V, Azam T.V, Clouds au TANZANITE ONLINE T.V ya Musiba) ni cha Malkia wa Uingereza. Sasa kama tutaona ni "muhimu na tunahitaji" kuingia katika bifu na Malkia Elizabeth;

1) Wakifungie kituo cha BBC ofisi zake Tanzania.[emoji18]

2) Wawakamate watangazaji wa BBC.[emoji18]

3) Watu wasiojulikana wavamie ofisi za BBC nchini Tanzania.[emoji53]

Tutaimba "sindimba" kwa lugha ya kichina au kidosi.

Nawasilisha,

KAMA KUNA KITU BIBI ELIZABETH HATAKI UTANI NACHO NI KUCHEZEA BBC YAKE.....
SECTOR YA MEDIA KWA BRITISH INALINDWA SANAAAAA
 
Wazungu kuna kitu wanakitaka sna hii tanzania ambacho hawawezi kukipata kwa magu
Na sisi tupo pamoja na Rais
[emoji119][emoji119][emoji119]
Usitumee sote sema wewe na familia yako ndio mko naye kwa wengine hatufai
 
Back
Top Bottom