Alexander The Great
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 4,514
- 23,702
Mjumbe hauwawi, kazi yake kupeleka ujumbe tu mkuu.[emoji23] [emoji23] [emoji23]haahaaaaa kweli wewe ni Alexander The Great
Mjumbe hauwawi, kazi yake kupeleka ujumbe tu mkuu.[emoji23] [emoji23] [emoji23]haahaaaaa kweli wewe ni Alexander The Great
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji120][emoji106]BBC kama naiona haina maisha marefu Tanzania. [emoji53] [emoji18]
Ila cha kuwakumbusha jamaa zetu, BBC sio kituo cha television binafsi (kama Chanel5, ITV, MilardAyo, Udaku T.V, Azam T.V, Clouds au TANZANITE ONLINE T.V ya Musiba) ni cha Malkia wa Uingereza. Sasa kama tutaona ni "muhimu na tunahitaji" kuingia katika bifu na Malkia Elizabeth;
1) Wakifungie kituo cha BBC ofisi zake Tanzania.[emoji18]
2) Wawakamate watangazaji wa BBC.[emoji18]
3) Watu wasiojulikana wavamie ofisi za BBC nchini Tanzania.[emoji53]
Tutaimba "sindimba" kwa lugha ya kichina au kidosi.
Nawasilisha,
Usisahau na umatonya wako fyekeleeeeeeea mbali kureeeeeeeIndeed
Wadhungu fyeeekelea mbali
BAVICHA fyeeekelea mbali
Membe fyeeekelea mbali
Chadrama mcharuko mizee ya matukio fyeeekelea mbali
Mgogoro wa ccm wapinzan wameingiaje mbona unaandika ki amber ruttybibisi inatumika vibaya na wapinzani.
Kwa Mfano Ofisi za BBC zikiwa kwenye Ubalozi wa Uingereza wanaweza vamia?BBC kama naiona haina maisha marefu Tanzania. [emoji53] [emoji18]
Ila cha kuwakumbusha jamaa zetu, BBC sio kituo cha television binafsi (kama Chanel5, ITV, MilardAyo, Udaku T.V, Azam T.V, Clouds au TANZANITE ONLINE T.V ya Musiba) ni cha Malkia wa Uingereza. Sasa kama tutaona ni "muhimu na tunahitaji" kuingia katika bifu na Malkia Elizabeth;
1) Wakifungie kituo cha BBC ofisi zake Tanzania.[emoji18]
2) Wawakamate watangazaji wa BBC.[emoji18]
3) Watu wasiojulikana wavamie ofisi za BBC nchini Tanzania.[emoji53]
Tutaimba "sindimba" kwa lugha ya kichina au kidosi.
Nawasilisha,
Nyoo[emoji47] hicho kitekenyo chake mungu anajua tu.Kwa Mfano Ofisi za BBC zikiwa kwenye Ubalozi wa Uingereza wanaweza vamia?
Wazungu kuna kitu wanakitaka sna hii tanzania ambacho hawawezi kukipata kwa magu
Na sisi tupo pamoja na Rais
[emoji119][emoji119][emoji119]
Wewe na wale ma propesa ndio waTz wote?Watanzania wote tuna imani na Rais wetu ndio maana nimesema sisi
Wewe na ndugu zakoWatanzania wote tuna imani na Rais wetu ndio maana nimesema sisi
Kitu gani wanakitaka?Wazungu kuna kitu wanakitaka sna hii tanzania ambacho hawawezi kukipata kwa magu
Na sisi tupo pamoja na Rais
[emoji119][emoji119][emoji119]
Kweli naunga mkono Upumbavu wako,Kuwa ukoo wenu wote wote wamefika chuo kikuuProphet of doom
Toka mwaka 2015 tunaambiwa CCM imepasuka lakini ukichunguza unagundua kuwa CCM imeimarika. Ikumbukwe kabla ya 2016 ilikuwa unazomewa mitaani ukivaa nguo za CCM lakini kwa sasa zimekuwa kama fashion.
Wewe unaongea nini? Mbona kama umepagawa vile?Nchi za kiafrika zikiwa na utulivu hawa wadhungu watapata wapi pesa?
Bavicha magoti njaa tu na bado!
Wazungu kuna kitu wanakitaka sna hii tanzania ambacho hawawezi kukipata kwa magu
Na sisi tupo pamoja na Rais
[emoji119][emoji119][emoji119]
Watanzania wote tuna imani na Rais wetu ndio maana nimesema sisi