BBC: Mgogoro mkubwa wazuka CCM, yapasuka

Wazungu kuna kitu wanakitaka sna hii tanzania ambacho hawawezi kukipata kwa magu
Na sisi tupo pamoja na Rais
[emoji119][emoji119][emoji119]

BBC wametangaza kizungu au kiswahili[emoji41]
 
BBC kama naiona haina maisha marefu Tanzania. [emoji53] [emoji18]

Ila cha kuwakumbusha jamaa zetu, BBC sio kituo cha television binafsi (kama Chanel5, ITV, MilardAyo, Udaku T.V, Azam T.V, Clouds au TANZANITE ONLINE T.V ya Musiba) ni cha Malkia wa Uingereza. Sasa kama tutaona ni "muhimu na tunahitaji" kuingia katika bifu na Malkia Elizabeth;

1) Wakifungie kituo cha BBC ofisi zake Tanzania.[emoji18]

2) Wawakamate watangazaji wa BBC.[emoji18]

3) Watu wasiojulikana wavamie ofisi za BBC nchini Tanzania.[emoji53]

Tutaimba "sindimba" kwa lugha ya kichina au kidosi.

Nawasilisha,

Au tutaimba Nyegezi[emoji41]
 
Waingereza wanatuhitaji ktk diplomasia ya ulimwengu kuliko sisi wanavyotuhitaji wao.
Wakati wa kutafuta Uhuru wa Zimbabwe tuliwahi kutaka kufuta uhusiano na UK sikia sasa kilio chao. Nataka nikuambie Tanzania ni ileile na ccm ni ileile
 
Tengua kauli yako sio watanzania wote mimi ni mtanzania ila sina imank nae, hata kama watz woteeeee watakuwa na imani nae mimi NEHI
Kuna tofauti kubwa kati ya mwananchi wa Tanzania na Raia wa Tanzania wewe uwenda ni Raia wa Tanzania
 
Watanzania wote tuna imani na Rais wetu ndio maana nimesema sisi
Kama ni wote mbona kuna upinzani hadi wengine wamewekwa ndani kinyemela, achilia mbali wanaompinga hadharani na kwenye mitandao yote ya kijamii? Hakuna KIONGOZI ambaye huwa anapendwa na watu wote, ndo maana ya hizi kelele,mivutano,kutuhumiana,kushutumiana na migongano ya kimtizamo na kimaslahi tunakokuona ndani ya CCM yenyewe kwa yenyewe kwa sasa. Tukumbuke....."mficha maradhi kifo humuumbua" na "ukiona panafuka moshi tambua ndani pana moto"
 
Waingereza wanatuhitaji ktk diplomasia ya ulimwengu kuliko sisi wanavyotuhitaji wao.
Wakati wa kutafuta Uhuru wa Zimbabwe tuliwahi kutaka kufuta uhusiano na UK sikia sasa kilio chao. Nataka nikuambie Tanzania ni ileile na ccm ni ileile
Unaonekana ni msomi mzuri mkuu, sipingi hilo wala sitaku kebehi.

ILA umetoka nje ya MADA HUSIKA, hapo sijaongelea chama (CCM) kama ulivyo kinadi, na wala sijataja chama chochote kuhusika.

Nimeongelea "MAKUMBUSHO" sambamba na "IMPACT" ambayo "INAWEZA" ikatokea pindi BBC wakichukuliwa hatua kama zinazochukuliwa kwa VYOMBO VYA HABARI VYA NDANI (Pamoja na waandishi wa habari) ambavyo vikitoa kauli kama hizo huchukuliwa.

Ningependa ungejikita zaidi kwenye hoja ya kukosoa nlichokisema, kwa "mfano" ulivyosema sisi hatuwahitaji waingereza kama wao wanavyo tuhitaji (Pia hoja yako haina mashiko, ungetoa sababu za msingi zenye mashiko kama vile labda "Tanzania tunawakopesha Uingereza pesa katika bajeti yao ya kila mwaka" au "Impact gani watapata uingereza kama tukiharibu uhusiano nao katika diplomasia ya ulimwengu" au "BBC haina uwezo wa kutuvunjia uhusiano nao hata tukiifungia" au kadha wa kadha).[emoji53] [emoji18]

Ni mtazamo wangu mkuu, maswala mengine tusikimbilie kwenye SIASA.
 
Wanataka sana ike wakati tuwe na migogoro watasubiri sana
Uzuri wetu wabongo kazi yetu kupiga kura tu nani kashinda sisi huwa hayatuhusu
 
BBC ni ya mabeberu wasioitakia mema nchi yetu.
 
wamesema CCM siyo Serikali ya TZ, lakini kwa haya yanayoendelea mitandaoni kwa wana CCM kunyukana kwa maneno huenda wanaitumia kama ishara.
 
Unaonekana ni msomi mzuri mkuu, sipingi hilo wala sitaku kebehi.

ILA umetoka nje ya MADA HUSIKA, hapo sijaongelea chama (CCM) kama ulivyo kinadi, na wala sijataja chama chochote kuhusika.

Nimeongelea "MAKUMBUSHO" sambamba na "IMPACT" ambayo "INAWEZA" ikatokea pindi BBC wakichukuliwa hatua kama zinazochukuliwa kwa VYOMBO VYA HABARI VYA NDANI (Pamoja na waandishi wa habari) ambavyo vikitoa kauli kama hizo huchukuliwa.

Ningependa ungejikita zaidi kwenye hoja ya kukosoa nlichokisema, kwa "mfano" ulivyosema sisi hatuwahitaji waingereza kama wao wanavyo tuhitaji (Pia hoja yako haina mashiko, ungetoa sababu za msingi zenye mashiko kama vile labda "Tanzania tunawakopesha Uingereza pesa katika bajeti yao ya kila mwaka" au "Impact gani watapata uingereza kama tukiharibu uhusiano nao katika diplomasia ya ulimwengu" au "BBC haina uwezo wa kutuvunjia uhusiano nao hata tukiifungia" au kadha wa kadha).[emoji53] [emoji18]

Ni mtazamo wangu mkuu, maswala mengine tusikimbilie kwenye SIASA.
Moja ya kitu kinachowasumbua nyie wafuasi wa Upinzani ni msaada wa wakoloni au Mabwenyenye nataka dunia ya sasa hakuna misaada ni Mikopo na mkopo mkopaji anaweza kukopa mahala popote.
Ktk diplomasia ya sasa ambayo Uingereza imejitoa Jumuiya ya Ulaya Tanzania ni tegemeo lake ktk diplomasia ya bara ya Africa Asia ya Kati na Asia ya Mbali na America ya kusini ambako kuna nchi nyingi.
Kwasasa tunaweza kuwafanya lolote Waingereza na wakapiga kimya kwasababu sisi ni wazuri ktk international community
 
Back
Top Bottom