BBC: Habari za Polisi wa Tanzania kuhusu ukatili wa Oct 29 zimesomwa sana kwenye chombo chao hicho cha kimataifa

BBC: Habari za Polisi wa Tanzania kuhusu ukatili wa Oct 29 zimesomwa sana kwenye chombo chao hicho cha kimataifa

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,560
Reaction score
7,914
BBC: Habari za polisi wa Tanzania kuhusu ukatili wa Oct 29 zime somwa sana kwenye chombo chao hicho cha kimataifa cha BBC.

FB_IMG_17667411886433637.jpg
 
Na iwe funzo kwa nyumbu wote wanaofikiri wanaweza kujaribu kuleta machafuko, kichapo kiliendana sawia na utovu wa nidham, hadi leo kila nyumbu kashika adabu, kabakia kigagula Maria sarungi anapost ujinga
 
Chawa watakuja hapa kutoa povu ili njia ya kwenda chooni isiote nyasi
 
Na iwe funzo kwa nyumbu wote wanaofikiri wanaweza kujaribu kuleta machafuko, kichapo kiliendana sawia na utovu wa nidham, hadi leo kila nyumbu kashika adabu, kabakia kigagula Maria sarungi anapost ujinga
nyumbu mamako choko wewe
 
Sijui kwann ICC wanachelewa kuanzisha mashtaka dhidi ya kilaza samuya, pamoja na kwamba hatafungwa ili ni embarasement kubwa na ataweka rekodi kwa nchi yetu.. Rais wa kwanza kushika madaraka kwa njia ya mtutu wa bunduki!.
 
Sasa bbc washushe na documentary moja matata sana kama walivyofanya kenya.
 
Back
Top Bottom