BAVICHA wafanya kituko Butiama, Lissu afukuzwa

BAVICHA wafanya kituko Butiama, Lissu afukuzwa

Status
Not open for further replies.
Lissu anaweza kweli kujali sana Umaskini wa watu lakini kwa malipo sii ndivyo mawakili walivyo? Maana hata ukitazama tu kazi ya Uwakili ni kujali wananchi na umekusudia kuwasaidia kisheria lakini kwa malipo. He is not a Politician na hajui lugha ya Siasa. Mtu huwezi kusema maneno yale hata kwa bahati mbaya, waswahili wanasema bora ukae kimya. Mbowe Yes, ni mwanasiasa na anajua kuongea siasa na hata siku moja huwezi kumkuta akiropoka vitu kama hivi. Na watu hawa ndio walokuja mbadilisha Mbowe nimjuaye na hivyo nitaendelea kusema Ukweli. Mchukie juu yenu lakini ukweli daima utaniacha huru.
Tatizo ni pale tunapodhani kuwa mwanasiasa ni kutumia diplomasia kila tunapoongea. Kwenye siasa za ushindani za kiafrika wakati mwingine maneno yatakayowakwaza wapinzani wako ni muhimu yakawepo. Mkandara unawasikia wahuni wa ki ccm wakidai kumuenzi Nyerere kila siku. Na kwa unafiki wao wanatuhimiza tumuenzi baba wa taifa....mwingine kaanzisha kigenge chake anasema anarudisha unyerere...yaani nyerere ndo amekuwa chuma ulete ya kisiasa. Mnaijua side B ya nyerere? Mnapewa ukweli mnakasirika. Mbowe ni sawa yuko level nyingine lakini huwezi kusema Lissu ni arrogant. Hayupo kwenye kundi la watu wenye arrogance. Watu arrogant ni kama kina Lowassa!
 
Ni mkuu wa wilaya anayetembea anawaza P..u...m....b...u...ya.. vijana wa CCM. Bonde la kati litakuwa limebaki na matope tu halina hata unyevu nyevu wala utelezi


Tumekuelewa Mh mkuu wa wilaya ya Bonde la kati.
 
Kidude cha kati kilikuwa kinamuwasha huyu wakuu.
 
Naona sasa hivi utakuwa unalisha kwa ma..ka..li..o. Chezea nyama ya mgongo, akili imevurugwa

Tundu Lisu azuiwa na vijana wa Butiama pamoja na wazee kuingia nyumbani kwa mwl Nyerere. Tukio hilo lilitokea juzi tarehe 4/04/2015, hiyo ni kutokana na kashifa zake alizozitowa juu ya muasisi wa Taifa hili wakati wa Bunge la katiba.

Pia,
Vijana wa Bavicha wakiongozwa na mwenyekiti wao wa Taifa waliruhusiwa kuzuru kabri la mwl Nyerere wakiwa wameambatana na Kiongozi wa ukoo wa Brito Nyerere ambaye ni Chief Japhet wanzagi Nyerere. Vijana hao wa Chadema walitembea kwa miguu kutoka mwanza hadi Butiama.

Baada ya kutokea hilo la kuzuiliwa Tundu Lisu vijana walisahau ajenda zao zilizowasababisha watembee kutoka Mwanza kwa miguu hadi Butiama.Wamechukua masaa matatu wakiomba radhi juu ya kauli ya Tundu Lisu.Lakini ukoo huo ulikataa na kumtaka Dr Slaa aende akamuombe msamaha Lisu na kila mtu ajue ila tofauti na hapo Lisu kapigwa marufuku na ukoo huoo pamoja na wazee wa Butiama kufika nyumbani kwa mwl Nyerere.

Kituko kingine, ni pale ambapo vijana hao wa BAVICHA walipojaribu kwenda Butiama wakiwa na Bendera ya Tanganyika, ni kituko kwa sababu inaonyesha ni kwa kiasi gani vijana hao hawapo makini, labda ni kwa kukosa kujitambua na kuelewa nini wanakifanya, wamejikuta wanageuka kituko. MWALIMU NYERERE ndio MUASISI wa Muungano, tena ndio Mpinzani namba moja wa wazo la kufufua Tanganyika, leo unaenda kumdhuru na kujinafi kuwa mnafuata nyayo zake mkiwa mna bendera ya Tanganyika, kama sio UZUZU ni kitu gani..?
 
Bavicha wanaiogopa sana ACT-Wazalendo chama chenye kuenzi unyerere. Na kwa vitendo viongozi wakuu wametangaza mali zao na baada pasaka wanaenda kwenye mnara wa Azimio la Arusha. Hao wahuni wa cdm watulie Wazalendo wanataka kuirejesha nchi kwenye misingi
 
Sasa kama yeye ni mbunge wao ulitegemea afanye nini ikiwa anategemea wananchi watampa ama wataipa Chadema kura zao. He does things for a reason..Sasa Unataka nambia Mbowe au Slaa ambao hawafanyi hivyo ni arrogant?
Lowassa kayafanya na anaendelea kuyafanya haya tena akitoa fedha toka mfukoni mwake.. ina maana gani?. Tukubaliane moja aloyasema Bungeni yalikuwa maneno mazuri? na kama sio mtu huyu utamweka kundi gani?

Kaa kimya umekaribia kuongea pumba
 
Tatizo ni pale tunapodhani kuwa mwanasiasa ni kutumia diplomasia kila tunapoongea. Kwenye siasa za ushindani za kiafrika wakati mwingine maneno yatakayowakwaza wapinzani wako ni muhimu yakawepo. Mkandara unawasikia wahuni wa ki ccm wakidai kumuenzi Nyerere kila siku. Na kwa unafiki wao wanatuhimiza tumuenzi baba wa taifa....mwingine kaanzisha kigenge chake anasema anarudisha unyerere...yaani nyerere ndo amekuwa chuma ulete ya kisiasa. Mnaijua side B ya nyerere? Mnapewa ukweli mnakasirika. Mbowe ni sawa yuko level nyingine lakini huwezi kusema Lissu ni arrogant. Hayupo kwenye kundi la watu wenye arrogance. Watu arrogant ni kama kina Lowassa!
Mkuu hadith za CCM na wengineo haziwezi kunitia hasira mimi kwa sababu nawajua ni wasaka tonge. CCM imepoteza mwelekeo wala sio jana toka 1993, hivyo sii watu wa kuzungumziwa kabisa.

Tunajadili ya Chadema leo kama tulivyowasema CCM miaka ile ya Mwinyi na Mkapa. Mwana alopotea hatuna sababu wala haja ya kuendelea kumzungumzia maana tunajua wazi kwamba CCM sio chama cha Wakulima na Wafanyakazi wala sio chama cha Ujamaa. CCM haina mwelekeo wala sio kwamba wamepoteza - Hawana, lakini Chadema ambayo ilikuwa ikijinasibisha na Ujamaa, Unyerere toka wakati Mbowe akigombea Urais na nakumbuka Kingunge alimuonya Mbowe kuwa asijifananishe na Nyerere hawafanani..Mbowe yule na Slaa yule hatunao tena kutokana na hawa mapandikizi.

Leo mkaja badilisha Mrengo, mkawa na watu kama Lissu ambaye ni mwanasheria mzuri lakini sio Mwanasiasa ni kama Chenge japo wana character tofauti. Haya ya Zitto mimi kusema kweli nimependa zaidi mavuno yake maana sasa tunakuwa na mwanzo mpya. Zitto na chama chake cha ACT wamesema wao ni WAJAMAA na UNYERERE sawa tutawatazama kama kweli wanafuata UNYERERE na kama atatokea mtu kufanya siasa kinyume tutampaka vile vile.

Na Chadema sasa imebakia na watu wa mrengo wa kati Kulia, tunaziona tofauti baina yao na pengine yawezekana huko Mbele tukawa na vyama hivi viwili vikuu yaani UKAWA au Chadema kama Progressive Conservative Party na ACT ni Socialist Party mkaanza kushindana kwa itikadi badala ya kuwa na watu wasojua siasa.
 
Nina shaka kidogo na bwana Andrew nyerere kama yuko vzr,au anataka atumike na adhalilike,maana post ya kwanza kadai kuwa ndiyo vijana wa bavicha walikuja na bendera ya taifa na ila hana hakika kuwa tundu lisu alikuwepo,kwa tafsiri rahisi ni kuwa yy alikuwepo wkt vijana wanaingia ila kwa macho yke timamu hakumuona lisu,ko tyr j.shonza ni muongo na post ya pili anadai kuwa hajui chochote kinachoendelea ila anachojua chifu aliwah lalamika kuhusu cdm sasa hapa bwana Andrew tukuelewaje? Lkn pia cjaona tatzo la kwenda na bendera ya tanganyika,shonza ktk hili umelopoka na fedheha kwa mwalimu kuwa alikuwa static hawez badilika,kitu ambacho niuongo kumbuka mwlm ndiye aliyebadili mawazo na kukubali mfumo wa vyama vingi,ni mwalimu tena huyu huyu ambaye aliingiza haki za binadamu mwaka 1984,ili hali mwanzo alipuuza na hakutaka kuckia. Juliana siasa haziendi hvyo hata ck moja kumbuka uliwahi nambie kpndi kile ukiwa cdm kuwa unataka ubunge tyr umeyeyuka mpk sasa,au umesahau uliandamana peke yko toka udsm kwenda phq kupinga kukamatwa kwa mbowe? ,ctaki kuamini kuwa ulikuwa hujitambui.Lini ukiwa udsm uliwah waza kuwa ipo ck utakuwa ccm? Hayo ndo maisha ya siasa ctaki kuamini kuwa unatumika as toilet papaper,bali unajitumikisha kama toitoilet paper,ukizani kuwa unatengeneza kumbe unajiharibia bila kujua,mama pambana kwa hoja utawasaidiaje wananchi,chama chenu mtapambanaje na ufisadi,umasikini,rushwa n.k,hzo ndo resresearch za kufanya
 
Mkuu tunapokosoana sisi hakuna mtu anayedhani wala kusema Nyerere alikuwa Nabii. Hakuna mtu hata mmoja anamchukulia Nyerere kuwa chaguo la Mungu. Huu ni utovu mwingine wa adabu ambao mnapenda sana kuutumia kisha mnadai kwamba Nyerere alikuwa Baba wa Taifa ilihali mnapingana na Utaifa huo. Rangi zenu halisi zinaanza kujionyesha.

Tundu Lissu ni mtu ambaye amekuja kukiharibu chama. Nimekutana naye mara moja tu nikagundua kuwa ni arrogant, mtu mwenye majivuno na kujisikia na kibaya zaidi Mropokaji, ana jazba na hafai kuwa Mwanasiasa ila pengine wakili au mwanasheria.

Kutoa mfano wa Nyerere kuwa kati ya watu wanaopenda vya Kunyonga, vya Kuchinja haviwezi! ama kwamba alozoea Uongo, siku zote Ukweli hauwezi... Ni lugha chafu na yenye dharau kwa Taifa na wala sio Mwalimu peke yake. jambo moja tu mkubali kwamba Chadema imepoteza mwelekeo na sasa ni chama cha Kujihami badala ya kuendeleza mashambulizi.

Mkianza kukubali kukosolewa pengine itakuwa mwanzo mpya lakini hapa mlipofikia kuna dalili mbaya sana juu ya chama hiki..

Mkuu naona mnaendelea na ile kampeni yenu ya bomoa upinzani hasa CHADEMA. Umehama hata lile jukwaa la watu maalum (Great Thinker). Kapitie vigongo vya Nguruvi3.
 
Lisu ana majazba sana hafai hata kupewa uwaziri wa upishi.
 
Acha uongo wewe mwanamke, wongo hakusaidii ikitu, uongo utakuponza.soma alama za nyakati.
 
Mkuu naona mnaendelea na ile kampeni yenu ya bomoa upinzani hasa CHADEMA. Umehama hata lile jukwaa la watu maalum (Great Thinker). Kapitie vigongo vya Nguruvi3.
Don't bother with him,
He is no longer a Great thinker anymore!
He is now sailing same boat with other B7Lumumba junior members!
 
aliyetoa habari ni verified user....
Bado mpaka sasa Haijakanushwa wala kuthibitishwa toka chanzo tofauti.....

Dont't be stupid yaani kwa akili yako unategemea Lussu aache kazi zake aje na kujibu ujinga wa huyu mpumbavu ?
 
Bavicha wanaiogopa sana ACT-Wazalendo chama chenye kuenzi unyerere. Na kwa vitendo viongozi wakuu wametangaza mali zao na baada pasaka wanaenda kwenye mnara wa Azimio la Arusha. Hao wahuni wa cdm watulie Wazalendo wanataka kuirejesha nchi kwenye misingi

hatukumuogopa NYERERE itakuwa hayo mavi...
 
Unajua kwann huyu ukuu wa wilaya kakosa? Bonde la kati halivutii kushawishi kupewa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom