BAVICHA wafanya kituko Butiama, Lissu afukuzwa

BAVICHA wafanya kituko Butiama, Lissu afukuzwa

Status
Not open for further replies.
Tundu Lisu azuiwa na vijana wa Butiama pamoja na wazee kuingia nyumbani kwa mwl Nyerere. Tukio hilo lilitokea juzi tarehe 4/04/2015, hiyo ni kutokana na kashifa zake alizozitowa juu ya muasisi wa Taifa hili wakati wa Bunge la katiba.

Pia,
Vijana wa Bavicha wakiongozwa na mwenyekiti wao wa Taifa waliruhusiwa kuzuru kabri la mwl Nyerere wakiwa wameambatana na Kiongozi wa ukoo wa Brito Nyerere ambaye ni Chief Japhet wanzagi Nyerere. Vijana hao wa Chadema walitembea kwa miguu kutoka mwanza hadi Butiama.

Baada ya kutokea hilo la kuzuiliwa Tundu Lisu vijana walisahau ajenda zao zilizowasababisha watembee kutoka Mwanza kwa miguu hadi Butiama.Wamechukua masaa matatu wakiomba radhi juu ya kauli ya Tundu Lisu.Lakini ukoo huo ulikataa na kumtaka Dr Slaa aende akamuombe msamaha Lisu na kila mtu ajue ila tofauti na hapo Lisu kapigwa marufuku na ukoo huoo pamoja na wazee wa Butiama kufika nyumbani kwa mwl Nyerere.

Kituko kingine, ni pale ambapo vijana hao wa BAVICHA walipojaribu kwenda Butiama wakiwa na Bendera ya Tanganyika, ni kituko kwa sababu inaonyesha ni kwa kiasi gani vijana hao hawapo makini, labda ni kwa kukosa kujitambua na kuelewa nini wanakifanya, wamejikuta wanageuka kituko. MWALIMU NYERERE ndio MUASISI wa Muungano, tena ndio Mpinzani namba moja wa wazo la kufufua Tanganyika, leo unaenda kumdhuru na kujinafi kuwa mnafuata nyayo zake mkiwa mna bendera ya Tanganyika, kama sio UZUZU ni kitu gani..?

Mdogo wangu Juliana angalia maana ya kuwa na ELIMU:
Mwl Nyerere alikuwa ana elimu ya kawaida: Performance yake ni haishikiki!
Mandela alikuwa na elimu ya kawaida: Perfromance yake haishikiki!
Nkuruma alikuwa na elimu ya kawaida: Performance yake haishikiki!
HUYU bwana Lissu ana elimu ya kawaida na bado ana muda wa kutosha..: Performance yake haina shaka na anaelekea kwenye hivyo vichwa nilivyo vitaja hapo juu.
SASA: Hata ufanye nini huyu jamaa huwezi kumdhuru kwa cheap propaganda, his doors are open and will be always open for him.
 
Tundu Lissu anavuna alichopanda. Alitaka umaarufu kwa kuwatukana Nyerere na Karume ili apendwe na Waarabu wa CUF waingie UKAWA, akafanikiwa. Itabidi afurahi kwa kupata hawo marafiki wapya lakini asitegemee wale waliokashifiwa watabaki marafiki.
Mkuu unafikiri kunachochote kitamuathiri juu ya hili au atapungukiwa kitu
 
Sina wasiwasi na siasa za hapa nchini BALI nayo wasiwasi kubwa mno na WANASIASA wa hapa nchini,
Siasa za kuchafuana ili kupata wafuasi wengi si siasa safi, tuige mifano ya wenzetu Wamarekani nadra sana kusikia wanapondana, wanakashifiana, wanadhalilishana.
JULIANA SHONZA wewe ni mwanasiasa ama umelazimishwa kufanya siasa wakati sio fani yako?
Unadhalilisha wanawake wenzio humu jf kwa ujumbe huu usio kuwa na mantiki yoyote.
Umetumwa na nani kuja kutoa ujumbe huu humu ndani, Umesahau unajishushia hadhi ww mwenyw.
siandiki zaidi, JULIANA SHONZA kabla ujatoa ujumbe wowote soma sana na tafuta ukweli wake.
 
by Andrew Nyerere;
Tundu. Lissu sijui kama alikuwepo. Lakini ndiyo wale vijana walitembea na bendera ya Tanganyika toka Mwanza hadi Butiama.

cc Juliana Shonza.
Invisible tunaomba mpandishe hii post juu kwenye uzi wa huyu kilaza, maana anataka kudanganya umma hapa!

Asante sana mkuu Andrew Nyerere.
 
Last edited by a moderator:
mbna mnamshambulia mleta mada badala ya mada??

lisu kama ni kweli amejaribu kwenda butiama atakua amekatika mshipa wa aibu au mshipa wa kumbukumbu

kwa shudu alizomtolea Mwalimu JKN anathubutu kwenda butiama

lol

ID nyingine ya mleta mada
 
Tundu Lisu azuiwa na vijana wa Butiama pamoja na wazee kuingia nyumbani kwa mwl Nyerere. Tukio hilo lilitokea juzi tarehe 4/04/2015, hiyo ni kutokana na kashifa zake alizozitowa juu ya muasisi wa Taifa hili wakati wa Bunge la katiba.

Pia,
Vijana wa Bavicha wakiongozwa na mwenyekiti wao wa Taifa waliruhusiwa kuzuru kabri la mwl Nyerere wakiwa wameambatana na Kiongozi wa ukoo wa Brito Nyerere ambaye ni Chief Japhet wanzagi Nyerere. Vijana hao wa Chadema walitembea kwa miguu kutoka mwanza hadi Butiama.

Baada ya kutokea hilo la kuzuiliwa Tundu Lisu vijana walisahau ajenda zao zilizowasababisha watembee kutoka Mwanza kwa miguu hadi Butiama.Wamechukua masaa matatu wakiomba radhi juu ya kauli ya Tundu Lisu.Lakini ukoo huo ulikataa na kumtaka Dr Slaa aende akamuombe msamaha Lisu na kila mtu ajue ila tofauti na hapo Lisu kapigwa marufuku na ukoo huoo pamoja na wazee wa Butiama kufika nyumbani kwa mwl Nyerere.

Kituko kingine, ni pale ambapo vijana hao wa BAVICHA walipojaribu kwenda Butiama wakiwa na Bendera ya Tanganyika, ni kituko kwa sababu inaonyesha ni kwa kiasi gani vijana hao hawapo makini, labda ni kwa kukosa kujitambua na kuelewa nini wanakifanya, wamejikuta wanageuka kituko. MWALIMU NYERERE ndio MUASISI wa Muungano, tena ndio Mpinzani namba moja wa wazo la kufufua Tanganyika, leo unaenda kumdhuru na kujinafi kuwa mnafuata nyayo zake mkiwa mna bendera ya Tanganyika, kama sio UZUZU ni kitu gani..?

Shonza ni muongo acha kupotosha umma.Lissu aliongea sawa kabisa.NYERERE ALIKUWA NI BINADAMU TU WA KAWAIDA NA WALA HAKUWA NABII
 
Sijui jambo gani limetokea. Lakini. Chief amewahi kunung'unika kuhusu chadema kumkashifu mwalimu. Baadaye i will clarify this. S.asa hivi simu yangu charge iko down.
 
Shonza ni muongo acha kupotosha umma.Lissu aliongea sawa kabisa.NYERERE ALIKUWA NI BINADAMU TU WA KAWAIDA NA WALA HAKUWA NABII
Mkuu tunapokosoana sisi hakuna mtu anayedhani wala kusema Nyerere alikuwa Nabii. Hakuna mtu hata mmoja anamchukulia Nyerere kuwa chaguo la Mungu. Huu ni utovu mwingine wa adabu ambao mnapenda sana kuutumia kisha mnadai kwamba Nyerere alikuwa Baba wa Taifa ilihali mnapingana na Utaifa huo. Rangi zenu halisi zinaanza kujionyesha.

Tundu Lissu ni mtu ambaye amekuja kukiharibu chama. Nimekutana naye mara moja tu nikagundua kuwa ni arrogant, mtu mwenye majivuno na kujisikia na kibaya zaidi Mropokaji, ana jazba na hafai kuwa Mwanasiasa ila pengine wakili au mwanasheria.

Kutoa mfano wa Nyerere kuwa kati ya watu wanaopenda vya Kunyonga, vya Kuchinja haviwezi! ama kwamba alozoea Uongo, siku zote Ukweli hauwezi... Ni lugha chafu na yenye dharau kwa Taifa na wala sio Mwalimu peke yake. jambo moja tu mkubali kwamba Chadema imepoteza mwelekeo na sasa ni chama cha Kujihami badala ya kuendeleza mashambulizi.

Mkianza kukubali kukosolewa pengine itakuwa mwanzo mpya lakini hapa mlipofikia kuna dalili mbaya sana juu ya chama hiki..
 
mbona mtoa mada Juliana Shonza unaandika mada kama vile unadinywa? kahamie ACT kwani mpango wenu wa usaliti umeishatimia. wafuate waumezo ACT.
 
Last edited by a moderator:
kiburudisho wakati wa makongamano na mikutano Dodoma na Zanzibar
 
Mkuu tunapokosoana sisi hakuna mtu anayedhani wala kusema Nyerere alikuwa Nabii. Hakuna mtu hata mmoja anamchukulia Nyerere kuwa chaguo la Mungu. Huu ni utovu mwingine wa adabu ambao mnapenda sana kuutumia kisha mnadai kwamba Nyerere alikuwa Baba wa Taifa ilihali mnapingana na Utaifa huo. Rangi zenu halisi zinaanza kujionyesha.

Tundu Lissu ni mtu ambaye amekuja kukiharibu chama. Nimekutana naye mara moja tu nikagundua kuwa ni arrogant, mtu mwenye majivuno na kujisikia na kibaya zaidi Mropokaji, ana jazba na hafai kuwa Mwanasiasa ila pengine wakili au mwanasheria.

Kutoa mfano wa Nyerere kuwa kati ya watu wanaopenda vya Kunyonga, vya Kuchinja hawaviwezi! ama kwamba alozoea Uongo, siku zote Ukweli hauwezi... Ni lugha chafu na yenye dharau kwa Taifa na wala sio Mwalimu peke yake. jambo moja tu mkubali kwamba Chadema imepoteza mwelekeo na sasa ni chama cha Kujihami badala ya kuendeleza mashambulizi.

Mkianza kukubali kukosolewa pengine itakuwa mwanzo mpya lakini hapa mlipofikia kuna dalili mbaya sana juu ya chama hiki..
Mkuu ni mtazamo wako. Lissu sio arrogant. Wewe umekutana nae siku moja tu ndio umedraw conclusion mbaya namna hiyo? Sisi tuko na Lissu kila siku. Lissu anaumizwa na huu umaskini wa watanzania. Lisu analizwa na mfumo kandamizi uliopo sasa. Lissu analizwa na umaskini wa watanzania. Lissu analizwa na jinsi wachache wanavyotumia dhuluma kujinufaisha. Huwezi kumpata yoyote ndani ya CCM mwenye roho ya upendo, upole, msikilizaji, anaye feel matatizo ya watu kama TL. Approach anayoitumia imekaa kiharakati lakini mradi yeye ni 'mdomo' wa mamilioni ya watanzania wanyonge mbele ya watawala sisi hatujali.
 
mbona mtoa mada Juliana Shonza unaandika mada kama vile unadinywa? kahamie ACT kwani mpango wenu wa usaliti umeishatimia. wafuate waumezo ACT.

Hahaaaahaaaa! Anadinywa? Mkuu tpaul umenikumbusha mchezo wa kujificha na ule wa baba na mama!
 
Last edited by a moderator:
Nilishawambia musiwe mnamjibu kitu huyu binti.Kumjibu chochote ni kumwongezea sifa asizokuwa nazo,maana toka ametimuliwa BAVICHA akili yake ina virus.Ni kumuona tu na akili yake yenye virus kisha mnampuuza na kumwacha.
 
Mkuu ni mtazamo wako. Lissu sio arrogant. Wewe umekutana nae siku moja tu ndio umedraw conclusion mbaya namna hiyo? Sisi tuko na Lissu kila siku. Lissu anaumizwa na huu umaskini wa watanzania. Lisu analizwa na mfumo kandamizi uliopo sasa. Lissu analizwa na umaskini wa watanzania. Lissu analizwa na jinsi wachache wanavyotumia dhuluma kujinufaisha. Huwezi kumpata yoyote ndani ya CCM mwenye roho ya upendo, upole, msikilizaji, anaye feel matatizo ya watu kama TL. Approach anayoitumia imekaa kiharakati lakini mradi yeye ni 'mdomo' wa mamilioni ya watanzania wanyonge mbele ya watawala sisi hatujali.
Hakuna lolote mkuu wangu wewe pengine unamtazama Lissu kama Mheshimiwa basi lakini he is arrogant. Sisi wengine tumajaliwa kipaji cha kumtazama mtu anavyojivuta anavyoongea ukajua tayari character zake. Ulimi (kauli) wako ni sehemu kubwa sana ya utambulisho wako.

Lissu anaweza kweli kujali sana Umaskini wa watu lakini kwa malipo sii ndivyo mawakili walivyo? Maana hata ukitazama tu kazi ya Uwakili ni kujali wananchi na umekusudia kuwasaidia kisheria lakini kwa malipo. He is not a Politician na hajui lugha ya Siasa. Mtu huwezi kusema maneno yale hata kwa bahati mbaya, waswahili wanasema bora ukae kimya. Mbowe Yes, ni mwanasiasa na anajua kuongea siasa na hata siku moja huwezi kumkuta akiropoka vitu kama hivi. Na watu hawa ndio walokuja mbadilisha Mbowe nimjuaye na hivyo nitaendelea kusema Ukweli. Mchukie juu yenu lakini ukweli daima utaniacha huru.
 
Tundu Lissu anavuna alichopanda. Alitaka umaarufu kwa kuwatukana Nyerere na Karume ili apendwe na Waarabu wa CUF waingie UKAWA, akafanikiwa. Itabidi afurahi kwa kupata hawo marafiki wapya lakini asitegemee wale waliokashifiwa watabaki marafiki.
Katika maombi ninayofanya kila siku, ikifika wakati wa kuwaombea wanasiasa, huwa sisahau kuwaombea Mbowe, Slaa na Tundu Lissu. Hakika damu ya Yesu iwafunike, waendelee kuwa na nguvu, pamoja na kupitishwa kwenye magumu na mazito, Bwana Yesu aendelee kuwapa ujasiri na uimara!
Lissu hamtamuweza. Hata Kikwete anajua
 
Sijui jambo gani limetokea. Lakini. Chief amewahi kunung'unika kuhusu chadema kumkashifu mwalimu. Baadaye i will clarify this. S.asa hivi simu yangu charge iko down.

Ndugu, wewe ni msemaji wa familia ya Mwl.? Tunaomba utuwekee hapa ukweli tafadhali ili kuondoa upuuzi wa huyu binti.
 
Hakuna lolote mkuu wangu wee kpengine unamtazama kama Mheshimiwa basi lakini he is arrogant. Sisi wengine tumajaliwa kipaji cha kumtazama mtu anavyojivuta anavyoongea ukajua tayari character zake. Ulimi (kauli) wako ni sehemu kubwa sana ya utambulisho wako.

Lissu anaweza kweli kujali sana Umaskini wa watu lakini kwa malipo sii ndivyo mawakili walivyo? Maana hata ukitazama tu kazi ya Uwakili ni kujali wananchi na umekusudia kuwasaidia kisheria lakini kwa malipo. He nis not a Politician na hajui lugha ya Siasa. MBowe Yes ni mwanasiasa na anajua kuongea kisiasa na hata siku moja huwezi kumkuta akirpoka vitu kama hivi. Na watu hawa ndio walokuja mbadilisha Mbowe nimjuaye na hivyo nitaendelea kusema Ukweli. Mchukie juu yenu lakini ukweli daima utaniacha huru.
Mkuu wangu Mkandara, pale Singida kuna watu waliwekwa ndani kwa kukataa michango ovu na kandamizi inayobuniwa na serikali dhalimu ya CCM kila kukicha. Wakafunguliwa kesi mahakamani. Lissu alisimama nao na wakatoka wote na hakupewa hata shilingi Mia.

Maeneo mengi amesaidia wanyonge hasa akina mama bila kudai hata senti. Kuna watu wamedhulumiwa mashamba huko Arumeru, Songea na hata hapa Chalinze. Lissu hawaombi hata mafuta ya gari lake. Hiyo arrogance umeiona wapi ndugu yangu Mkandara?
Lissu ni msomi. Anaitumia elimu yake kuwafungua macho watanzania bila ya hila wala soni wala kutukana wala kujiona. Angekuwa Arrogant si angekuwa anakaa kimya tu? Jamani mnyonge mnyongeni....
 
Sasa kama yeye ni mbunge wao ulitegemea afanye nini ikiwa anategemea wananchi watampa ama wataipa Chadema kura zao. He does things for a reason..Sasa Unataka nambia Mbowe au Slaa ambao hawafanyi hivyo ni arrogant?
Lowassa kayafanya na anaendelea kuyafanya haya tena akitoa fedha toka mfukoni mwake.. ina maana gani?. Tukubaliane moja aloyasema Bungeni yalikuwa maneno mazuri? na kama sio mtu huyu utamweka kundi gani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom