Juliana Shonza
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 2,009
- 1,609
- Thread starter
- #81
Tatizo la wanaccm wanaamini nyerere ni wao tu na si vyama vingine. Nahisi hii stori imetungwa lumumba!
Na picha zimepigwa Kizota Dodoma au sio..
Tatizo la wanaccm wanaamini nyerere ni wao tu na si vyama vingine. Nahisi hii stori imetungwa lumumba!
Na picha zimepigwa Kizota Dodoma au sio..
Zubeda bana sasa juliana kaingiaje tena kwenye mada hii.Juliana ujakoma na kushushuliwa na yale uliyoreport kutokea Arusha wakati waziara ya Kinana? Baado unaendelea na wongo wakati Lissu hakuwepo? Viwanda vya Lumumba punguzeni wongo hauna tija unazidi kuwachafua
Zubeda bana sasa juliana kaingiaje tena kwenye mada hii.
Pale bavicha hakuna mwenyeakili timamu hata mmoja wote wamepwelewa sana tu.
Dada angu Juliana Shoza. Elimu ya mjinga ni majungu, acha majungu tujenge chama chetu. Hivi mumeo akisoma haya mtusi unazani anajisikiaje kweli, afu inaelekea bado unaipenda Cdm haiwezekani mume aliye kufukuza unafuatlia kila hatua ya maisha yake aibu dada, kama bado unapenda cdm omba msamaha urudi.
Pale bavicha hakuna mwenyeakili timamu hata mmoja wote wamepwelewa sana tu.
Huyu nae ange takiwa awe mwalimu! afundishe watoto wetu...loo!!! yani dada upo mtupu kama utupu, una jitia aibu sana, hukatazwi kufanya propaganda, hapa umeandika utoto sana,
Hivi ww ni kiongozi kweli?.....nachelea kusema kuondoka kwako chadema, ili kuwa ni faida kubwa sana kwa BAVICHA.
wewe tangu lini ulianza kumwamini huyu dada msaliti , aliyetimuliwa bavicha kama paka mwizi aliyekunywa maziwa ya mtoto ? halafu hebu tuwekee hapa hayo matusi aliyotukanwa nyerere na Tundu lissu .kosa la juliana ni kusema ukweli au tatizo nini?mnapoambiwa bavicha ni ziro kichwani nimeamin,
mlitaka afiche ukweli au mlitaka afanyaje,au wakati huyo lissu anamtukana nyerere mliona sawa,acha sindano ipenyeze dawa ndio mtapona