BAVICHA wafanya kituko Butiama, Lissu afukuzwa

Status
Not open for further replies.

Juliana Shonza

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
2,009
Reaction score
1,609
Tundu Lisu azuiwa na vijana wa Butiama pamoja na wazee kuingia nyumbani kwa mwl Nyerere. Tukio hilo lilitokea juzi tarehe 4/04/2015, hiyo ni kutokana na kashifa zake alizozitowa juu ya muasisi wa Taifa hili wakati wa Bunge la katiba.

Pia,
Vijana wa Bavicha wakiongozwa na mwenyekiti wao wa Taifa waliruhusiwa kuzuru kabri la mwl Nyerere wakiwa wameambatana na Kiongozi wa ukoo wa Brito Nyerere ambaye ni Chief Japhet wanzagi Nyerere. Vijana hao wa Chadema walitembea kwa miguu kutoka mwanza hadi Butiama.

Baada ya kutokea hilo la kuzuiliwa Tundu Lisu vijana walisahau ajenda zao zilizowasababisha watembee kutoka Mwanza kwa miguu hadi Butiama.Wamechukua masaa matatu wakiomba radhi juu ya kauli ya Tundu Lisu.Lakini ukoo huo ulikataa na kumtaka Dr Slaa aende akamuombe msamaha Lisu na kila mtu ajue ila tofauti na hapo Lisu kapigwa marufuku na ukoo huoo pamoja na wazee wa Butiama kufika nyumbani kwa mwl Nyerere.

Kituko kingine, ni pale ambapo vijana hao wa BAVICHA walipojaribu kwenda Butiama wakiwa na Bendera ya Tanganyika, ni kituko kwa sababu inaonyesha ni kwa kiasi gani vijana hao hawapo makini, labda ni kwa kukosa kujitambua na kuelewa nini wanakifanya, wamejikuta wanageuka kituko. MWALIMU NYERERE ndio MUASISI wa Muungano, tena ndio Mpinzani namba moja wa wazo la kufufua Tanganyika, leo unaenda kumdhuru na kujinafi kuwa mnafuata nyayo zake mkiwa mna bendera ya Tanganyika, kama sio UZUZU ni kitu gani..?

UFAFANUZI:
Nilisema nitaandika clarification. Ndiyo hii. Haya mambo yalitokea juzi.

Tundu Lissu hakufika hapa juzi. Uongo wa juliana wa kwanza. Vijana wa BAVICHA hawakuomba msamaha kwa muda wa saa tatu. Uongo wa Juliana namba mbili.

Butiama haikusema inataka Dr. Slaa aje kuomba radhi kwa niaba ya chadema la sivyo Tundu Lissu asije Butiama. Uongo wa Juliana namba tatu.

Maamuzi:

Juliana anafungiwa kwa kuleta upotoshaji jukwaani kwa maslahi anayoyajua mwenyewe!
 
Kila siku nakwambia utabakia kuwa mwanasisiem wa kwenye mitandao tu,
Wenye U-DC wao wanapeta tu na Ukuu wa Wilaya,
Ushakuwa co.n.do.m
 
Mara hii umeshatoka katika msafara wa Kinana tayari umeshaingia kwenye msafara mwingine wa Bavicha, kweli wewe ni kiboko
 
Tundu Lisu azuiwa na vijana wa Butiama pamoja na wazee kuingia nyumbani kwa mwl Nyerere. Tukio hilo lilitokea juzi tarehe 4/04/2015, hiyo ni kutokana na kashifa zake alizozitowa juu ya muasisi wa Taifa hili wakati wa Bunge la katiba.

Pia,
Vijana wa Bavicha wakiongozwa na mwenyekiti wao wa Taifa waliruhusiwa kuzuru kabri la mwl Nyerere wakiwa wameambatana na Kiongozi wa ukoo wa Brito Nyerere ambaye ni Chief Japhet wanzagi Nyerere. Vijana hao wa Chadema walitembea kwa miguu kutoka mwanza hadi Butiama.

Baada ya kutokea hilo la kuzuiliwa Tundu Lisu vijana walisahau ajenda zao zilizowasababisha watembee kutoka Mwanza kwa miguu hadi Butiama.Wamechukua masaa matatu wakiomba radhi juu ya kauli ya Tundu Lisu.Lakini ukoo huo ulikataa na kumtaka Dr Slaa aende akamuombe msamaha Lisu na kila mtu ajue ila tofauti na hapo Lisu kapigwa marufuku na ukoo huoo pamoja na wazee wa Butiama kufika nyumbani kwa mwl Nyerere.

Kituko kingine, ni pale ambapo vijana hao wa BAVICHA walipojaribu kwenda Butiama wakiwa na Bendera ya Tanganyika, ni kituko kwa sababu inaonyesha ni kwa kiasi gani vijana hao hawapo makini, labda ni kwa kukosa kujitambua na kuelewa nini wanakifanya, wamejikuta wanageuka kituko. MWALIMU NYERERE ndio MUASISI wa Muungano, tena ndio Mpinzani namba moja wa wazo la kufufua Tanganyika, leo unaenda kumdhuru na kujinafi kuwa mnafuata nyayo zake mkiwa mna bendera ya Tanganyika, kama sio UZUZU ni kitu gani..?
Msariti sasa naona damu ya usaliti inaanza kukutafuna sijui umekuwa mwehu na jinsi ulivyo kijeba noma

swissme
 
Ukiona post ya Juliana Shonza hutegemei atatoa maoni kinyume na mwajiri wake
 
Kamwombe radhi aliyechukua akili zako na kukuachia kamasi unazotumia kuandika ----- huu
 
Wewe binti ni mpu.mbavu. Unaonyesha namna gani uko desparate na maisha. Yeyote akisoma hiki anaona ni namna gani ulijiingiza kwenye siasa bila kujua siyo fani yako. picha unayoichora ni kwamba hata shuleni ulikosoma ulikuwa bolizozo, hamanzo.

Mpumbavu akikaa kimya huonekana ana hekima.

Ujing wkao unaonyesha kabila huna mwelekeo wowote, huna sifa wala mlango wa kutokea.

Jaribu kitu kingine huna taaluma ya kazi na siasa huwezi!.

NIMEONA NIKUAMBIE UKWELI KAMA WENGINE WANAKUACHA KWA SABABU YA KUKUDHARAU.

Tundu Lisu azuiwa na vijana wa Butiama pamoja na wazee kuingia nyumbani kwa mwl Nyerere. Tukio hilo lilitokea juzi tarehe 4/04/2015, hiyo ni kutokana na kashifa zake alizozitowa juu ya muasisi wa Taifa hili wakati wa Bunge la katiba.

Pia,
Vijana wa Bavicha wakiongozwa na mwenyekiti wao wa Taifa waliruhusiwa kuzuru kabri la mwl Nyerere wakiwa wameambatana na Kiongozi wa ukoo wa Brito Nyerere ambaye ni Chief Japhet wanzagi Nyerere. Vijana hao wa Chadema walitembea kwa miguu kutoka mwanza hadi Butiama.

Baada ya kutokea hilo la kuzuiliwa Tundu Lisu vijana walisahau ajenda zao zilizowasababisha watembee kutoka Mwanza kwa miguu hadi Butiama.Wamechukua masaa matatu wakiomba radhi juu ya kauli ya Tundu Lisu.Lakini ukoo huo ulikataa na kumtaka Dr Slaa aende akamuombe msamaha Lisu na kila mtu ajue ila tofauti na hapo Lisu kapigwa marufuku na ukoo huoo pamoja na wazee wa Butiama kufika nyumbani kwa mwl Nyerere.

Kituko kingine, ni pale ambapo vijana hao wa BAVICHA walipojaribu kwenda Butiama wakiwa na Bendera ya Tanganyika, ni kituko kwa sababu inaonyesha ni kwa kiasi gani vijana hao hawapo makini, labda ni kwa kukosa kujitambua na kuelewa nini wanakifanya, wamejikuta wanageuka kituko. MWALIMU NYERERE ndio MUASISI wa Muungano, tena ndio Mpinzani namba moja wa wazo la kufufua Tanganyika, leo unaenda kumdhuru na kujinafi kuwa mnafuata nyayo zake mkiwa mna bendera ya Tanganyika, kama sio UZUZU ni kitu gani..?
 
aliyetoa habari ni verified user....
Bado mpaka sasa Haijakanushwa wala kuthibitishwa toka chanzo tofauti.....
 
Hujitambui wewe! Umebaki kama makapi tuu. Na huyo aliyekuoa kama anaona haya ufanyayo na hakukemei basi ni mume -----. Hivi hakuna mwenye picha yake aiweke tumjue mume ----- anafananaje?
 
Huyu mama kumbe yupo? Baada ya kukosa ukuu wa wilaya basi kachanganyikiwa kabisa.
 
Tatizo la ufupi na akili imefupishwa.

swissme
 
Tundu Lisu azuiwa na vijana wa Butiama pamoja na wazee kuingia nyumbani kwa mwl Nyerere. Tukio hilo lilitokea juzi tarehe 4/04/2015, hiyo ni kutokana na kashifa zake alizozitowa juu ya muasisi wa Taifa hili wakati wa Bunge la katiba.

Pia,
Vijana wa Bavicha wakiongozwa na mwenyekiti wao wa Taifa waliruhusiwa kuzuru kabri la mwl Nyerere wakiwa wameambatana na Kiongozi wa ukoo wa Brito Nyerere ambaye ni Chief Japhet wanzagi Nyerere. Vijana hao wa Chadema walitembea kwa miguu kutoka mwanza hadi Butiama.

Baada ya kutokea hilo la kuzuiliwa Tundu Lisu vijana walisahau ajenda zao zilizowasababisha watembee kutoka Mwanza kwa miguu hadi Butiama.Wamechukua masaa matatu wakiomba radhi juu ya kauli ya Tundu Lisu.Lakini ukoo huo ulikataa na kumtaka Dr Slaa aende akamuombe msamaha Lisu na kila mtu ajue ila tofauti na hapo Lisu kapigwa marufuku na ukoo huoo pamoja na wazee wa Butiama kufika nyumbani kwa mwl Nyerere.

Kituko kingine, ni pale ambapo vijana hao wa BAVICHA walipojaribu kwenda Butiama wakiwa na Bendera ya Tanganyika, ni kituko kwa sababu inaonyesha ni kwa kiasi gani vijana hao hawapo makini, labda ni kwa kukosa kujitambua na kuelewa nini wanakifanya, wamejikuta wanageuka kituko. MWALIMU NYERERE ndio MUASISI wa Muungano, tena ndio Mpinzani namba moja wa wazo la kufufua Tanganyika, leo unaenda kumdhuru na kujinafi kuwa mnafuata nyayo zake mkiwa mna bendera ya Tanganyika, kama sio UZUZU ni kitu gani..?

wewe siku hizi umekuwa kama chizi au ndo umeshachizika sio bure.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom